Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Gwajima anatukana wasaidizi wa Mh. Rais Samia wazi wazi. Kwa hiyo wasaidizi wa Mh. Rais Samia ni Mbweha. Watu wanaomzunguka Mh. Rais ni mbweha?

Hili halikubaliki, Mh. Rais, kama Mwenyekiti wetu Taifa CCM, fukuza huyu mtu CCM kabisa, this guy is fala kabisa, plz plz. Mbweha ndio Gwajima mwenyewe, Gwajima mbweha kabisa, CCM fukuzeni huyu mtu, anaichafua mipango ya serikali kuhusu Covid-19 yaani ana mislead watu, plz plz CCM get rid of this mbweha haraka.
 
Hahaha nimeona mahubiri yake . amemsifu rais kila dakika. Huyu lazma atachanjwa ni swala la muda tu .
Huyu ni km pet dog. Akiona nyama anatikisa mkia. Hana muda atatumbuliwa tu
 
Hahaha nimeona mahubiri yake . amemsifu rais kila dakika. Huyu lazma atachanjwa ni swala la muda tu .
Hana lolote.Hofu imemjaa.Anakumbuka jinsi alivyokamatwa na kuhojiwa halafu akawa anashinda kwenye wheelchair analialia na kupenga mikamasi kama piglet.Alijiliza hasa akidai anaonewa sana.
 
Naomba kuuliza kuwa is it ethical kwa kiongozi wa kiimani kujihusisha na shughuli za kisiasa directly kama anavyofanya Gwajima?!
Mbona hujahoji kuhusu bagonza, shoo na mwamakula?
 
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.

Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.

Mungu ni mwema wakati wote!
Bweha namba moja ni wewe!!!!
 
Hahaha nimeona mahubiri yake . amemsifu rais kila dakika. Huyu lazma atachanjwa ni swala la muda tu .
****** kachanjwa sasa huyu mcheza sinema za utupu asichanjwe hawezi kuruhusiwa kuingia bungeni kamwe
 
Back
Top Bottom