Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kiongozi mambo yanayoendelea nchini kwetu hayapo poa, hamna mwenye akili timamu anaweza kukubaliana nayo. Mimi nachopambana nacho ni kuwaabudu hawa wanasiasa na kuamini wao ni miungu na hawakosei, ni wahuni tu hawa. Siwezi kupelekeshwa na watu kama Mbowe, Msigwa, Lissu, Zitto, Heche, Samia, Bashiru, Polepole, Mbatia, Magufuli (Marehehemu) na wengine wa aina hiyo, hao wote wapo team moja, wanapigiana simu kila siku na kupeana mikakati jinsi gani wanavuta hela za mabeberu. Wewe endelea kuwaamini (kama siyo mmoja wao).Juha mwenzio mwingine huyu hapa ZWAZWA.
Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja majina yao, umma utashangaa na kushindwa kuamini. KATIBU MKUU WA (CCM), DK. ALLY BASHIRU. Sambamba...www.jamiiforums.com