Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Sijawahi kufurahia hayo mambo ya akina James na huyu Kihongosi anayoongea now, kinachokera ni kuwa na wapinzani fake, Hii ishu ya huyo jamaa yenu Abubakar yenyewe imetengenezwa tu, naye ni muhusika katika utengenezaji huo (Nyie vilaza mnalibeba zimazima), mnajua kuchezewa sana aisee, poleee
mchawi kaloga wee sasa ANAJILOGA na yeye
 
Unaogopa vipi kupambana na wapinzani FEKI katika uchaguzi huru na wa haki na kuamua kutumia mtutu na Tume FEKI ya uchaguzi!? Hebu acha kuonyesha UJUHA wako hadharani. Upinzani FEKI unawaogopaje hadi kuwabambikia kesi FAKE? Watanzania wenye utindio wa ubongo kama wewe ni mkosi mkubwa sana Kwa Taifa.
umenena kijana.
 
Hamna upinzani TZ wewe jamaa, amka! Kungekuwa na upinzani TZ 2015 Jasusi aliyebobea asingepewa nafasi kugombea urais huko unakoita upinzani
 
Narudia tena Wapumbavu kama wewe ni janga kubwa la Taifa. Eti hamna upinzani Tanzania halafu unahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi!?

Katiba mpya italetwa na CCM (CCM kama chama na vibaraka wake akina mbowe) muda ukifika, kwa sasa endeleeni kukata viuno mitandaoni
 
Kwa kuwa Babaako anakata viuno usidhani kila mtu anafanya huo upumbavu.

Hajabadili gia angani Cc: peppapig

Huyu kaambiwa na "wakubwa" kwamba aendelee kuzungumzia covid ila akileta fyokofyoko %&(()€$#

Yaani ni mnafiki wa kupitiliza.
Hata hivyo nampa salute kwa ku deal na Paulo. Ile ilikuwa si kawaida. Nadhani P mwenyewe ana m respect " Bishop" .

Lakini hii movie yake ya sasa script ndio imefanyiwa editing. Haiwezi kwisha kama wengi walivyotegemea.
Mbona editing🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kuwa Babaako anakata viuno usidhani kila mtu anafanya huo upumbavu.
Hahaha, hao watu unawapigania wamekwa kwa mipango maalumu, matahira kama wewe ndiyo mnakomaa kutoa mapovu humu, CDM kimewekwa kwa mpango maalum, wewe endelea na hizo harakati zako za kifala, hata hujui kwa sasa Abubakar yupo wapi na anafanya nini, unajamba jamba tu hapa jukwaani
 
Ungekuwa una akili KAMWE usingepigia debe wahuni kama hawa. Wewe ni ZWAZWA TU usiyejitambua zaidi ya KUKENUA KENUA na kusifia hilo genge la wahuni, majizi, magaidi na wauaji maadui wakubwa wa Watanzania.

Tahira, leo hii Polepole ameshakuwa rafiki yako tena??!! Mtu mliyekuwa mnamtukana miezi kadhaa nyuma!! Guys kubalini mmeshazidiwa kete, hamna jipya kwa sasa! Hao watu wote mnaowategemea washakuwa compromised! Kwa taarifa yako sasa Abubakar hayupo mahabusu, mnachezewa akili nyinyi matahira
 
Wapi nilipoandika nina urafiki na huyo Chakubanga? Nakuonyesha ukweli aliousema hadharani lakini akashindwa kuufanyia kazi kwa sababu maccm yote ni majizi na majambazi. Hivyo maovu yao yote dhidi ya Watanzania wanakingiana kifua.
Tahira, leo hii Polepole ameshakuwa rafiki yako tena??!! Mtu mliyekuwa mnamtukana miezi kadhaa nyuma!! Guys kubalini mmeshazidiwa kete, hamna jipya kwa sasa! Hao watu wote mnaowategemea washakuwa compromised! Kwa taarifa yako sasa Abubakar hayupo mahabusu, mnachezewa akili nyinyi matahira
 
Juha mwenzio mwingine huyu hapa ZWAZWA.
Tahira, leo hii Polepole ameshakuwa rafiki yako tena??!! Mtu mliyekuwa mnamtukana miezi kadhaa nyuma!! Guys kubalini mmeshazidiwa kete, hamna jipya kwa sasa! Hao watu wote mnaowategemea washakuwa compromised! Kwa taarifa yako sasa Abubakar hayupo mahabusu, mnachezewa akili nyinyi matahira
 
Yale majani ya huko kyela nani kampa huyu mchunga kondoo wa Bwana
 
Back
Top Bottom