BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kuongoza MAZWAZWA si sifa ya Kiongozi.
Ana uwezo wa kuongoza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana uwezo wa kuongoza!
Kwahiyo Ufipa ni mazwazwa?Kuongoza MAZWAZWA si sifa ya Kiongozi.
Hahaha! CCM chama kubwa, ni kama Communists Party of China, Untouchables in this worldMchezo mdogo sana tiss wamemwita kumpa masharti yao....kwa nini unamzuia rais asifanye kazi? Wewe hustahili kuwa mbunge na kanisa lako tunalifuta.....weww mbubge uwe no1 kusifia mwenyekiti wako....sasa tor hii hapa ukatengue ulichooongea ....badili msimamo wako kijinga na kanisa na waumini....haraka sana pia uwnde ukachanjwe hata kama ni maji .....nedia zote ziwepo....
Kwahiyo Ufipa ni mazwazwa?
Kwani amebadili msimamo wake?Mchezo mdogo sana tiss wamemwita kumpa masharti yao....kwa nini unamzuia rais asifanye kazi? Wewe hustahili kuwa mbunge na kanisa lako tunalifuta.....weww mbubge uwe no1 kusifia mwenyekiti wako....sasa tor hii hapa ukatengue ulichooongea ....badili msimamo wako kijinga na kanisa na waumini....haraka sana pia uwnde ukachanjwe hata kama ni maji .....nedia zote ziwepo....
Kwani wajumbe wa kamati kuu ya Chadema siyo viongozi?Lini alipewa uongozi Chadema?
Hahaha! CCM chama kubwa, ni kama Communists Party of China, Untouchables in this world
Kwani wajumbe wa kamati kuu ya Chadema siyo viongozi?
Gwaji anapoteza mwelekeo sana, na ana lugha zisizo za staha.Hii ndio tunaita kubadili gia angani!
😂😂😂Hahaha nimeona mahubiri yake . amemsifu rais kila dakika. Huyu lazma atachanjwa ni swala la muda tu .
Huyu ana lake jamboNaomba kuuliza kuwa is it ethical kwa kiongozi wa kiimani kujihusisha na shughuli za kisiasa directly kama anavyofanya Gwajima?!
CCM hawaogopi hivyo vitu, wapo tayari kuvipokea, tatizo wanaoongoza harakati ya hivyo vitu ni njaa tupu. Mifano Mdee, Slaa, Waitara, Mashinji, Gekul, Katambi, Silinde na wengineo wengi, Mliwaita makamanda na kuwasifia kwa kila majina mitandaoni but now wako wapi?? Upinzani mmejaa watu wa njaa tu huko, hamna kitu....Nobody mwenye akili can take you serious guysAcha ujinga wewe!!! Chama kikubwa hakiogopi Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi. Hakiogopi uchaguzi HURU na wa HAKI.
Anastahili kupigwa mawe hadi afeGwajiboy ni tapeli tu hana chembe ya kustahili kuitwa Kiongozi.
Hata yule ampingae Jonson!!? Anyway natazama jinsi anavyo yumba kwani Kutumikia mabwana 2 ni kazi kweli kweli.Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.
Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.
Mungu ni mwema wakati wote!
Chama kubwa kwenye nchi maskini ni sawa na ujinga tu.Hahaha! CCM chama kubwa, ni kama Communists Party of China, Untouchables in this world
Hahaha, Umaskini ni relative not absoluteChama kubwa kwenye nchi maskini ni sawa na ujinga tu.
Hahahaaaa.. .....wingi wa watu bila maarifa!Chama kubwa kwenye nchi maskini ni sawa na ujinga tu.
Why Mkuu?Anastahili kupigwa mawe hadi afe
Hahahaaaa.. .....wingi wa watu bila maarifa!Chama kubwa kwenye nchi maskini ni sawa na ujinga tu.