Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Mchezo mdogo sana tiss wamemwita kumpa masharti yao....kwa nini unamzuia rais asifanye kazi? Wewe hustahili kuwa mbunge na kanisa lako tunalifuta.....weww mbubge uwe no1 kusifia mwenyekiti wako....sasa tor hii hapa ukatengue ulichooongea ....badili msimamo wako kijinga na kanisa na waumini....haraka sana pia uwnde ukachanjwe hata kama ni maji .....nedia zote ziwepo....
Hahaha! CCM chama kubwa, ni kama Communists Party of China, Untouchables in this world
 
Kwani amebadili msimamo wake?
 
Acha ujinga wewe!!! Chama kikubwa hakiogopi Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi. Hakiogopi uchaguzi HURU na wa HAKI.
Hahaha! CCM chama kubwa, ni kama Communists Party of China, Untouchables in this world
 
Acha ujinga wewe!!! Chama kikubwa hakiogopi Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi. Hakiogopi uchaguzi HURU na wa HAKI.
CCM hawaogopi hivyo vitu, wapo tayari kuvipokea, tatizo wanaoongoza harakati ya hivyo vitu ni njaa tupu. Mifano Mdee, Slaa, Waitara, Mashinji, Gekul, Katambi, Silinde na wengineo wengi, Mliwaita makamanda na kuwasifia kwa kila majina mitandaoni but now wako wapi?? Upinzani mmejaa watu wa njaa tu huko, hamna kitu....Nobody mwenye akili can take you serious guys
 
Zile mbwembwe zote za jumapili anarudi tena ndio zimeishia hapo? kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai, japo ameshakula sadaka za wajinga.
 
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.

Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hata yule ampingae Jonson!!? Anyway natazama jinsi anavyo yumba kwani Kutumikia mabwana 2 ni kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom