Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

Una ufinyu mkubwa wa akili. Kwa miaka 30 sasa maccm wanaikimbia Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi.
Ficha ujuha wako hadharani kwa kuwazungumzia hao malaya wa kisiasa na wachumia tumbo.
Kama hakuna anayeichukulia Chadema serious basi kungekuwa hakuna sababu ya kuhofia Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi hivyo genge la wahuni wa ccm watumie mtutu wa bunduki ná Tume FEKI ya uchaguzi ili KUPORA chaguzi.
Watanzania Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
CCM hawaogopi hivyo vitu, wapo tayari kuvipokea, tatizo wanaoongoza harakati ya hivyo vitu ni njaa tupu. Mifano Mdee, Slaa, Waitara, Mashinji, Gekul, Katambi, Silinde na wengineo wengi, Mliwaita makamanda na kuwasifia kwa kila majina mitandaoni but now wako wapi?? Upinzani mmejaa watu wa njaa tu huko, hamna kitu....Nobody mwenye akili can take you serious guys
 
Hajabadili gia angani Cc: peppapig

Huyu kaambiwa na "wakubwa" kwamba aendelee kuzungumzia covid ila akileta fyokofyoko %&(()€$#

Yaani ni mnafiki wa kupitiliza.
Hata hivyo nampa salute kwa ku deal na Paulo. Ile ilikuwa si kawaida. Nadhani P mwenyewe ana m respect " Bishop" .

Lakini hii movie yake ya sasa script ndio imefanyiwa editing. Haiwezi kwisha kama wengi walivyotegemea.
 
Una ufinyu mkubwa wa akili. Kwa miaka 30 sasa maccm wanaikimbia Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi.
Ficha ujuha wako hadharani kwa kuwazungumzia hao malaya wa kisiasa na wachumia tumbo.
Kama hakuna anayeichukulia Chadema serious basi kungekuwa hakuna sababu ya kuhofia Katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi hivyo genge la wahuni wa ccm watumie mtutu wa bunduki ná Tume FEKI ya uchaguzi ili KUPORA chaguzi.
Watanzania Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Hahaha, wewe unaamini una akili? CCM hawajawahi kukimbia katiba mpya, Kikwete alianzisha huo mchakato, ukaenda vizuri, mwisho wa siku jamaa zako unaowaamini wakauharibu makusudi, hao jamaa ni Mbowe,Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu, Lipumba na Mbatia, wakaunda UKAWA (BTW hao wote wanatumiwa na CCM kuwalaghai vilaza kama wewe), then wakamkaribisha TISS mbobevu awe mgombea wenu wa urais 2015, mkasanda, kilichofuatia ni historia!! Stupid people kama wewe mnadanganywa danganywa na mnabeba kila kitu! Poor you
 
Mpuuzi kweli wewe!!! Unadhani kwanini ndani ya maccm hawa wazee wawili tu Butiku na Warioba ndiyo wanaoongelea umuhimu wa kuwepo Katiba mpya. Kikwete DHAIFU umemsikia kasema chochote kuhusu umuhimu wa katiba mpya.

Wewe ni zaidi ya mpuuzi! Hao Butiku na Warioba walishika vyeo vikubwa sana nchi hii, waliwahi kupush hiyo hoja ya katiba mpya wakiwa kwenye hivyo vyeo vyao? At least Kikwete alijaribu, hata kama baadaye aliwatumia mamluki wake waliopo kwenye hivyo vyama vyenu kuuzima mchakato mzima, baadaye akawakabidhi na Lifisadi Lowassa mlisimamishe ligombee urais, Nyambaf
 
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.

Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hayo ameyazungumza akiwa kanisani kwake au mkutano na waandishi wa habari?
 
Siku ukitia akili kichwani ZWAZWA wewe utaelewa tu kwamba hao maccm ni magaidi na ni adui mkubwa wa Watanzania. Muuaji huyu anatamka haya hadharani na hii Serikali haramu iko kimya kabisa lakini ZWAZWA wewe unakenua kenua tu na kupiga makofi.

Wewe ni zaidi ya mpuuzi! Hao Butiku na Warioba walishika vyeo vikubwa sana nchi hii, waliwahi kupush hiyo hoja ya katiba mpya wakiwa kwenye hivyo vyeo vyao? At least Kikwete alijaribu, hata kama baadaye aliwatumia mamluki wake waliopo kwenye hivyo vyama vyenu kuuzima mchakato mzima, baadaye akawakabidhi na Lifisadi Lowassa mlisimamishe ligombee urais, Nyambaf
 
Leo kabadili tone?

I don’t get why people follow this charlatan.
 
Siku ukitia akili kichwani ZWAZWA wewe utaelewa tu kwamba hao maccm ni magaidi na ni adui mkubwa wa Watanzania. Muuaji huyu anatamka haya hadharani na hii Serikali haramu iko kimya kabisa lakini ZWAZWA wewe unakenua kenua tu na kupiga makofi.

Sijawahi kufurahia hayo mambo ya akina James na huyu Kihongosi anayoongea now, kinachokera ni kuwa na wapinzani fake, Hii ishu ya huyo jamaa yenu Abubakar yenyewe imetengenezwa tu, naye ni muhusika katika utengenezaji huo (Nyie vilaza mnalibeba zimazima), mnajua kuchezewa sana aisee, poleee
 
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.

Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.

Mungu ni mwema wakati wote!
aanze na SUKUMA GANG ambapo wewe GWAJI ni mmojawapo.
 
Unaogopa vipi kupambana na wapinzani FEKI katika uchaguzi huru na wa haki na kuamua kutumia mtutu na Tume FEKI ya uchaguzi!? Hebu acha kuonyesha UJUHA wako hadharani. Upinzani FEKI unawaogopaje hadi kuwabambikia kesi FAKE? Watanzania wenye utindio wa ubongo kama wewe ni mkosi mkubwa sana Kwa Taifa.

Back
Top Bottom