Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Chadema mmebwekaa wewe sasa naona mmetulia [emoji1787][emoji1787]ziko wapi mbwebwe zenu za maandamano mmebaki kupiga kelele kwenye mitandao poleni sana nyie endeleen kubweka Tanzania inasonga mbele asiyetaka aame nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gwajima ni smart Sana alafu amezoea bunge Kama amekaa miaka 10 kumbe ndio Mara ya kwanza keep going Gwajima
Huyu jamaa ana shahada ya saikologia kama anavyosema mwenyewe,ana kanisa lake ana waongopea Wafuasi wake kila siku

Sasa unategemea nini, Gwajima bin Rashid amezoea kuongea na watu,ni mzoefu wa kudanganya na kushifu watu..

Kutokana na stori yake mwenye kuwa alitupwa masikitini na wazee wake

Huyu jamaa hana malezi,huyu jamaa sio mfano mzuri kwa jamii..

Wanaomsifu itakuwa mtu kama wewe,hujijui hujitambui, mfano wa Mwafrika chini ya Jangwa la Sahara..sub human being..
 
Unamuwaza sana Lissu, sisi hapa tunamzungumzia Ngwajima...
Kwan Gwajima ndo alikuwa anagombea urais na Lisu nawashangaa kwanini mnachukia hvyo mtu ambaye hajawahi hata kukutana nawe chuki za nini eti Yan kumsifia Rais kwenu kero sasa mnataka nini yan
 
Kwan Gwajima ndo alikuwa anagombea urais na Lisu nawashangaa kwanini mnachukia hvyo mtu ambaye hajawahi hata kukutana nawe chuki za nini eti Yan kumsifia Rais kwenu kero sasa mnataka nini yan
Thread inamzungumzia Ngwajima na hotuba yake, Mimi nimechangia hilo, wewe unani comment unamtaja Lissu. Utakuwa una matatizo ama huenda we ni mchepuko wa Lissu uko obssessed naye
 
Kama kunamtu hafai kuigwa basi ni Lisu maana historia yake mwanzo mwisho ni ukorofi alafu Gwajima hakutupwa na Familia yake fuatilia Historia vzuri na kila jambo linalotokea kwenye maisha linasababu aliishi msikini kwa sababu pia hvyo usimuhukumu mtu kwasababu ya historia ya maisha yake we mwenyewe hajazaliwa mbinguni ni hapahapa dunian
 
Thread inamzungumzia Ngwajima na hotuba yake, Mimi nimechangia hilo, wewe unani comment unamtaja Lissu. Utakuwa una matatizo ama huenda we ni mchepuko wa Lissu uko obssessed naye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kanisani kwake wahumini wanapungua kwa kasi ya mwanga ✌️✌️
 
Thread inamzungumzia Ngwajima na hotuba yake, Mimi nimechangia hilo, wewe unani comment unamtaja Lissu. Utakuwa una matatizo ama huenda we ni mchepuko wa Lissu uko obssessed naye
Vip nafaka unauza mazao nin tufanye biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amazungumza kama mwenyeji
 
Ushuzi Kabisa ndy huo u smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…