Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Je tutumie hoja yako kuwanyoa chadema kuhusu ujenzi wa ofisi?
Wewe ndio huna hadhi na huna akili. Video za kutengeneza ili kumchafua ndio unaziamini! Huna akili,usipoteze muda wako kujibishana na watu wenye hekima kama mimi.
Kamanda mwenzangu unaniaibisha, Ambulance hazina umuhimu! Tuache kupinga kila kitu.He is moreless like pumpkin
Lawama ni kwa kiongozi wetu Mbowe, amefuga wanachama ambao hawana ufahamu wa nini maendeleo ya watu.Chadema hapo ndipo mko hovyo kabisa. Hivi mnapohubili maendeleo ya watu huwa mnaigizaigiza tuuu? Mbunge wenu toka awe kawe amepeleka amburance ngapi? Utajengaje maendeleo ya watu miundo mbinu ya afya ikiwa hafifu?...
Upo sawa.Tumia hoja ya kuwaahidi waTanzania kuwa kila mmoja wao atanunuliwa NOAH!!
Kwamba ambulance ndiyo we issue ya mtu kukupa kura? Ambulance ina umuhimu, lakini si kitu cha kumfanya mtu akupe kura simply kwa vile utaleta ambulance!Kamanda mwenzangu unaniaibisha,Ambulance hazina umuhimu! Tuache kupinga kila kitu.
ALISHAWAHI PELEKA ATA BAJAJI KWENYE KATA IPI NDANI YA UTAWALA WAKE WA MIAKA KUMI?Kwamba ambulance ndiyo we issue ya mtu kukupa kura? Ambulance ina umuhimu, lakini si kitu cha kumfanya mtu akupe kura simply kwa vile utaleta ambulance!
Hayo unayasema wewe ambae unauhakika wa maisha. Kawe kuna masikini wengi sana ambao wanahitaji mbunge kama Gwajima. Halima aligeuka akawa mzee wa mahakama hawafai tena.
Mkuu Mstaafu, The Retired, kwanza its good to know, kuwa wewe ni mwana Kawe mwenzangu na ni kweli Kawe ina changamoto nyingi na uhitaji wa ambulance sii miongoni mwa changamoto za Kawe. Ungelisaidia sana jukwaa hili kama ungezitaja hizo changamoto ambazo Gwajima hataweza kuzitatua.Unajidanganya, Kawe hatuhitaji ambulance. Kwanza ambulance zinatupeleka wapi na zitabeba wangapi kwa popln ya Kawe? Kila mgonjwa wa Kawe akiugua ataipata wapi? and by the way wanaugua wangapi a day in Kawe kuwa kipaumbele chao ziwe ambulance? In the first place, kwa foleni za Dar kwa mahitaji ya mtu wa kawaida wa Kawe, they are as useless as you are useless to us!
Umewaona wajinga kiasi hicho kuwa moved na ambulance? Zina umuhmu sawa, lkn haiwezi kuwa agenda ya mpiga kura kukupa kura yake simply umeahidi ambulance!
Make another attempt, this has failed!
Angekuwa amenunua ambulance kabla ya kugombea ubunge halafu safari hii akasema atajenga hospital bila shaka ungekuja kuuliza kwanini hakujenga hospital kabla kuwa mbunge. Gwajima hazuiliki
Hapana hagombei kuwa mganga mkuu wa hospital. Anagombea nafasi ya ubunge ambayo mpaka sasa njia ni nyeupe ya kushinda.Hazuiliki kwa ahadi ya kununua ambulance, kwani anagombea kuwa mganga mkuu wa hospitali?
Chadema inavowapa ahadi kemkem wananchi huku ruzuku wakipata kale ka ofisi ka ufipa hawakakumbuki nao ni akina Gwajima tu, una ahidi makubwaa wakati kibanda chako kinakutoa jasho
Hapana hagombei kuwa mganga mkuu wa hospital. Anagombea nafasi ya ubunge ambayo mpaka sasa njia ni nyeupe ya kushinda.
Acha wivuuuu
Lazima kuwe na proportional kwenye kila kitu, hizo ambulance kwa kila kata zitakuwa zinapeleka wapi hao wagonjwa.Kamanda mwenzangu unaniaibisha,Ambulance hazina umuhimu! Tuache kupinga kila kitu.
Kinachompa ushindi Gwajima ni ahadi zake kwa sisi wakazi wa kawe ikiwemo ambulance comradeSema njia ni nyeupe, na sio kwakuwa kaahidi ambulance, maana haendi kuongoza wagonjwa.
Unajua watu hawana tafakuri wanadhani ambulance ni gari ya kawaida kama daladala au tax.Hahaha kwanza ni wapi Tanzania hii mmewahi kusikia au kuona Ambulance imemfuata mgonjwa nyumbani?!
Nani alimwambia sisi ni wagonjwa?!
Gwajima a.k.a UNO boy acha maigizo.