Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nayajua yote hayo uliyoandika hakuna kipya. Unajua jimbo la kawe lina kata ngapi?
Jf sio kanisani. Jaribu kuwa na fikra comrade.kule Kanisani huwa hatuulizani maswali tunaishi kwa imani
Hahaha andika Mkolomije halafu searchaende akatapeli kijijini kwake huko Kolomije siyo Kawe.
angalia hizi hapa chini ni results za search ya Gwajima kwenye site ya Amazon.
View attachment 1569237View attachment 1569238View attachment 1569239
Hapana hagombei kuwa mganga mkuu wa hospital. Anagombea nafasi ya ubunge ambayo mpaka sasa njia ni nyeupe ya kushinda.
Sina majibu ya swali lako comrade. Ila anaenda kununua ambulance kwenye kila kata kwa ajili yetu wakazi wa kawe.Kanisani kwake kaweka Ambulance ngapi?
Sawa ,Samahani sana Mkuu, kutokana na ujirani mimi niikafikiria ya kwamba hata Goba nayo ni sehemu ya jimbo la uchaguzi la Kawe. Ila ni lazima abadilike Gwajima na kujipanga upya ili apate timu nzuri ya kampeni, yenye kumshauri hoja zenye kuakisi matatizo halisi ya wana Kawe...
Kuamini maneno ya Gwajiboy unahitaji kujitoa ufahamu kwa kiwango cha PHD je alifanikiwa kumfufua Amina Chifupa RIP?Sina majibu ya swali lako comrade. Ila anaenda kununua ambulance kwenye kila kata kwa ajili yetu wakazi wa kawe.
Unajua jimbo kawe lina kata ngapi?
Kwa kweli uyo Gwajiboy unayemzungumzia simfahamu na sijui kama alifanikiwa kumfufua.Kuamini maneno ya Gwajiboy unahitaji kujitoa ufahamu kwa kiwango cha PHD je alifanikiwa kumfufua Amina Chifupa RIP?
Unachotaka kusema ni kuwa kwa sababu Kawe ni mjini kwa hiyo Ambulance haina umuhimu sana? Unadhani Kawe hakuna akina mama ambao wanakosa usafiri wa kuwawaisha kwenda kujifungua? Mwananchi wa Kawe na Ukerewe wana utofauti gani pale inapohitajika Ambulance kwa ajili ya msaada wa dharula?Ambulance ina umuhimu, tena sana, lkn kwa mtu anayejitambua, acha hawa lumpen proletariats, class unconscious people, huwezi kumshawishi akupe kura kwa vile utaleta ambulance KAWE! Kwa Dar na foleni zake na poln ya Kawe, si kitu chenye ushawishi mkubwa kumgeuza mtu IMANI akupe kura! I can imagine unapeleka ambulance Kalebezo ambako kwenda hospitali ya wilaya Ukerewe kwa mgonjwa mahututi/mja mzito it can have an impact kwa mazingira ya vijijini kutoka kwenye dispensary! Siyo mjini kama Kawe! Do you see my point!?
.....au ndo baada ya matokeo hayo magari yatahitajika......Huku jengo la kanisa likiwa nimemshinda kujenga anatangatanga. Lakini angeanza na kuboresha miundombinu ya shule ingefaa kuliko hayo magari.
Umeshanunua kitabu chake Amazon?Kwa kweli uyo Gwajiboy unayemzungumzia simfahamu na sijui kama alifanikiwa kumfufua.
Mimi namzungumzia Gwajima nadhani umeniquote kimakosa.
Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Kwa kuwa wao sio wananchi hao waumini!!Wajinga ndio waliwao, waumini wake wanasalia kwenye jua, ameshindwa kuwajali ndio ataweza kununua ambulance? Hivi anadhani wananchi wa kawe ni kama hao waumini wake wanaosadiki porojo zake? Mbona hizo ahadi za kitapeli ni za enzi za watu wakiwa na ufahamu mdogo, au na yeye kaamua kuja na swagga za kuifanya Tanzania kama ulaya na Kigoma kuwa Dubai?
Kabisa mkuu!
Hapana.Umeshanunua kitabu chake Amazon?
Sijui unaongelea nini comrade.😀 😀 😀 Sasa inakuwaje utake kulisha watu matangopori?
Kama unaona uzinzi,umalaya na uasherati ni sifa yakujivunia basi una shida yakufikiri ndugu.Bora mchezaji porn kuliko Mdee anayeshinda Twitter akitukanana na watu.