Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

Ukikumbuka nothing last forever, unajua hizi ni mbwembwe za duniani tu..unaua ila kuna siku utakufa pia, its all nonsense.
 
kuna mmoja humu ka comment kuwa umeshiba viazi na magimbi

naoma n kweli
Kwani si hata nilipokuwa wa Kwanza kusema hapa hapa JamiiForums ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Haji Manara ni Kirusi ndani ya Simba SC na kwamba ni Yanga SC na wanamtumia mlinitukana na Kunidhihaki hivi hivi?

Je, kimetokea au hakijatokea? Na kwanini wengi wenu sasa mnanipigia Saluti katika hizo Threads zangu na hata katika PM yangu? Mightier sijawa " Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed " hivi kwa bahati mbaya. Najiamini 100%.
 
Mbona juzi alikuwa Mpole na mwenye Huruma mno tofauti na nyuma? Tatizo ni nini?

Kakumbuka shuka kukiwa Kumeshakucha. Kategwa patamu kweli kweli na kapaingia vile vile.
Kazi keshaimaliza kitambooo wamchukie tu
 
Kwahiyo mleta mada ndio kusema Jima karuka kojo kakanyaga nyesi na kudondokea hapo.
 
Unavizia kumuua mwanadamu mwenzako kama njiwa.this is a Satan in human uniform
Kuna mahala popote pale nimesema kuwa Askofu Gwajima anaenda Kuuawa / Kuuwawa? Nionyeshe tafadhali...!!!
 
Mjuaji saaaana af kichwani hola
 
Jumapili nitakuwa kiti cha mbele kabisa wanapokaa maUshers...kusikiliza namna baba Askofu atavyokuwa akisimulia kwa mbwembwe jinsi alivyopangua mitego ya adui...

🤭🤭🤭
 
Jumapili nitakuwa kiti cha mbele kabisa wanapokaa maUshers...kusikiliza namna baba Askofu atabyokuwa akisimulia kwa mbwembwe jinsi alivyopangua mitego ya adui...

🤭🤭🤭
Endeleeni tu Kumponza ila hatoamini...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…