#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Halafu Hopi lake la madaktari na wafamasia wanaomdanganya ni very shoddy

they are not the cream
 
Huyu jamaa mbona anaichezea sana serikali...na ukimya wa serikali tutautafasiri kama ukweli kwa kinachosemwa na mtumishi G
 
Anapointi ila kwa watanzania hawa kila wakati ni waongowaongo.Anagalia hata kazi za ikulu zimeeudi Dar kalibia mwezi na matokeo yake hera nyingi zinatumika kulioana posho
Kwahiyo point ni kusema wataalamu wetu lazima nao wazifanyie research chanjo?
Kwahiyo madawa yote tunayotumia kutoka Pharmacies zetu yalifanyiwa kwanza research na Wafamasia wetu?
Ndio maana inasemwa, shule hizi ni muhimu.
Sipingani na wewe kuhusu hilo la viongozi kukosa misimamo.
 
Katika yote namuunga mkono kwenye viongozi vigeugeu waondoke wakalime tu.
 
Gwajima anaitafuta nafasi ya urais wa jmt hivyo anapiga jaramba baada ya kuona ombwe lililopo! Ni kweli ana watu wengi Sana nyuma yake ambao ni wale wasiojitambua ( illiterate) na ukabila kwani yeye ni kiongozi wa wale wa Kanda pendwa kule fb! Mkijashtuka yupo magogoni au chamwino!
 
Keshawaambia ukishadadia anakupa risasi ya kichwa spiritual.I mean spiritual kama aliyopewa makonda.
 
Marisasi tena ?
 
Gwajima amejitokeza front na anapambana kwelikweli
hiyo vita itakuwa mbaya sana na macho yote ni kwa Gwajima
namwomba sana Gwajima akae standby
Hana vita wala nini

if the people decide, anapotea mazima

kakobe yuko wapi
 
Mama kazidi kuwa mpole aisee ,huyu kenge si wa kuchekea hata kidogo
 
IZilipendwa...yeye kishakuwa zama za kale.
Atuletee pia wataalamu wa kuhakiki wafu anaowafufua.
Watu wanachanjwa na tutachanjwa kwa hiyari yetu, tukifa hatotufufua.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Jibu hoja. Mbona povu?? Mbuzi ni yule anayetumia matusi kumshambulia mtoa hoja.
 
nashangaa hata hao wanaoacha kazi zao na kwenda hapo kilingeni kwa huyo tapeli sijui akili zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…