Linawapeleka peleka na yenyewe ipo ipo tu wala haishtuki!Ndo maana sisi wengine tunaamini 100pc kuwa hamna kitu pale ni utapeli tu wa kukusanya sadaka za misukule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linawapeleka peleka na yenyewe ipo ipo tu wala haishtuki!Ndo maana sisi wengine tunaamini 100pc kuwa hamna kitu pale ni utapeli tu wa kukusanya sadaka za misukule.
Halafu Hopi lake la madaktari na wafamasia wanaomdanganya ni very shoddyGwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la korona
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai
Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?
Gwajima anahoji lile jiko sasa wana alitumia kwa kazi gani pale muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo
Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona?
Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike
Anasema viongozi makini wangejiuzuru kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
Huyu jamaa mbona anaichezea sana serikali...na ukimya wa serikali tutautafasiri kama ukweli kwa kinachosemwa na mtumishi GGwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la korona
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai
Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?
Gwajima anahoji lile jiko sasa wana alitumia kwa kazi gani pale muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo
Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona?
Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike
Anasema viongozi makini wangejiuzuru kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
Kwahiyo point ni kusema wataalamu wetu lazima nao wazifanyie research chanjo?Anapointi ila kwa watanzania hawa kila wakati ni waongowaongo.Anagalia hata kazi za ikulu zimeeudi Dar kalibia mwezi na matokeo yake hera nyingi zinatumika kulioana posho
Katika yote namuunga mkono kwenye viongozi vigeugeu waondoke wakalime tu.Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la korona
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai
Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?
Gwajima anahoji lile jiko sasa wana alitumia kwa kazi gani pale muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo
Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona?
Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike
Anasema viongozi makini wangejiuzuru kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
Marisasi tena ?Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la korona
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai
Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?
Gwajima anahoji lile jiko sasa wana alitumia kwa kazi gani pale muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo
Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona?
Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike
Anasema viongozi makini wangejiuzuru kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
Ashughulikiwe ili iwe funzo kwa wajinga wengine
Hana vita wala niniGwajima amejitokeza front na anapambana kwelikweli
hiyo vita itakuwa mbaya sana na macho yote ni kwa Gwajima
namwomba sana Gwajima akae standby
Mama kazidi kuwa mpole aisee ,huyu kenge si wa kuchekea hata kidogohivi hii mbuzi inachotaka ni nini jasa? hayo mambo siyaliisha isha?
hii mbuzi imesahahu kama yenyewe iliiambia hiyo misukule yake kwamba haiwezi kugombea ubunge maana ni demotion?
nimeshagundua kinachoisumbua hii mbuzi inataka umaarufu wa kuongelewa mitandaoni
Jibu hoja. Mbona povu?? Mbuzi ni yule anayetumia matusi kumshambulia mtoa hoja.hivi hii mbuzi inachotaka ni nini jasa? hayo mambo siyaliisha isha?
hii mbuzi imesahahu kama yenyewe iliiambia hiyo misukule yake kwamba haiwezi kugombea ubunge maana ni demotion?
nimeshagundua kinachoisumbua hii mbuzi inataka umaarufu wa kuongelewa mitandaoni
nashangaa hata hao wanaoacha kazi zao na kwenda hapo kilingeni kwa huyo tapeli sijui akili zipohivi hii mbuzi inachotaka ni nini jasa? hayo mambo siyaliisha isha?