#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Anapointi ila kwa watanzania hawa kila wakati ni waongowaongo.Anagalia hata kazi za ikulu zimeeudi Dar kalibia mwezi na matokeo yake hera nyingi zinatumika kulioana posho
Gwajima aungwe mkono. Anayo hoja nzito na maono makubwa ktk hili
 
Sasa "mheshimiwa" Gwajima, unataka kutuambia wewe sio kigeugeu kuliko hao viongozi unaowatuhumu?

Umesahau kwamba ilipotangazwa kwamba corona imeingia duniani, wewe uliuambia ulimwengu wote kwamba kwa nguvu za kiroho ulizonazo umefunga corona isiingie Tanzania? Lakini ulivyo KIGEUGEU (KIWANGO CHA RELI YA STANDARD GAUGE), wewe huyo huyo ndio ulitengeneza video kufundisha watu namna ya kunawa mikono ili wajikinge na corona ambayo wewe ulishasema umeifunga haitakuja Tanzania kamwe ??

Je, unasahau kwamba ulisema KAMWE hutaki cheo chochote cha kisiasa maana cheo chako cha uaskofu ni kikubwa hata kuliko waziri au rais? Sasa kwa nini ulibugia tena matapishi yako ukakubali kugombea ubunge? Wewe sio kigeugeu kuliko hao viongozi unaowashutumu?

Mbona humtii Yesu ambaye wewe unasema ni Mungu wako na kiongozi wako? Yeye si alisema kwenye Mt 7:3 kwamba TOA KWANZA BORITI LILILO JICHONI MWAKO NDIPO UWEZE KUONA VIBANZI VILIVYO MACHONI MWA VIONGOZI WA NCHI?
 
Achana na Gwajima, hutomweza atakupoteza kwenye ulimwengu wa siasa kwa jina la Yesu. Kamuulize walichomfanya paulo.
Gwajima anaitafuta nafasi ya urais wa jmt hivyo anapiga jaramba baada ya kuona ombwe lililopo! Ni kweli ana watu wengi Sana nyuma yake ambao ni wale wasiojitambua ( illiterate) na ukabila kwani yeye ni kiongozi wa wale wa Kanda pendwa kule fb! Mkijashtuka yupo magogoni au chamwino!
Keshawaambia ukishadadia anakupa risasi ya kichwa spiritual.I mean spiritual kama aliyopewa makonda.
Jamaaa kiboko ila kiukweli anajua
Mnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!

Mfano mdogo tu ni wakati ule clip yake ya ngono ilipo vuja sambaa kwenye mitandao ya kijamii! Alifanya nini, zaidi tu ya kuishia kujikanyaga, kuufyata mkia wake, kumaliza uhasama wake na Bashite, na mwisho wa siku kurudi ccm kwa lazima!
 
Sasa naanza kuamini hili ni tatizo la taifa. Kuna watanzania wengi mtu anapofanya jambo wanadhani ni kwa ushindani nao.

Wizara ya afya inaenda na mdundo wake, aijalazimisha mtu kuchanja, imewaletea chanjo wale wanaotaka kujikinga.

Mtu kama Gwajima anadhani wenzake wanafanya ivyo kushindana nae au kwenda kinyume na Magufuli (ambae hakuwa sahihi) give people choices sio uwaamulie yeye hakuwa na mamlaka na maisha ya wengine.

Mama Samia kwenye ili na wizara inavyofanya ndio njia sahihi chanjo ipo ajalazimishwa ukiitaka hipo na usipotaka sawa.

Sasa sijui Gwajima povu la nini kwani kuna mtu kawekewa bastola kwenda kuchanja na wenzake hawafanyi ivyo kushinda nae wao wana mtazamo mwingine kabisa.

Kweli kabisa hao virologist huko wizarani wapoteze muda kubishana na Gwajima kuhusu medicine labda kama wanataka na wao tuwaone mitambo.
 
Mnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!

Mfano mdogo tu ni wakati ule clip yake ya ngono ilipo vuja sambaa kwenye mitandao ya kijamii! Alifanya nini, zaidi tu ya kuishia kujikanyaga, kuufyata mkia wake, kumaliza uhasama wake na Bashite, na mwisho wa siku kurudi ccm kwa lazima!
Mguno wa verse moja
 
Uzuri jamaa anachimba na mkwara kabisa yaani ukijifanya unashadadia unakula shaba ya kichwa spiritual.
Shaba Kama alizompiga bashite mpaka leo hasikiki.ukitaka League na gwaji boy kichwani lazima plag uiunguze (uwe halfmind )
 
Chanjo ni hiari.. ni maoni yake mbele ya kondoo zake.. Mie sichomi chanjo. Na atae choma pia sito mshangaa ni uamuzi wake binafsi
 
Watu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
Huyu kibwetele hayumbi nini... huyu si alikuwa anafufua misukule huyu
 
Uongo wa Gwajima ni upi hapo?

Katika Nchi yeyote iliyokuwa makini, wale viongozi waliokuwa advocates wa kijifukiza walipaswa wajiuzulu ili kupisha wengine ambao watakuwa advocates wa chanjo.

It doesn't make sense , mwezi wa pili mwaka huu ukatae katukatu chanjo na utoe sababu za kisayansi na mwaka huu huu mwezi wa sita uzikubali chanjo kwa sababu hizo za kisayansi, ni kitu gani kimebadilika ?
 
Mnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!

Mfano mdogo tu ni wakati ule clip yake ya ngono ilipo vuja sambaa kwenye mitandao ya kijamii! Alifanya nini, zaidi tu ya kuishia kujikanyaga, kuufyata mkia wake, kumaliza uhasama wake na Bashite, na mwisho wa siku kurudi ccm kwa lazima!
Ndiyo maana nikasema spiritual#Anaongea na familia yake wasichanjwe.
 
Back
Top Bottom