Mkuu kacheleweshwa sana huyu MbwaAnachokitafuta kipo ready ajili yake aoon atapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kacheleweshwa sana huyu MbwaAnachokitafuta kipo ready ajili yake aoon atapata
Gwajima aungwe mkono. Anayo hoja nzito na maono makubwa ktk hiliAnapointi ila kwa watanzania hawa kila wakati ni waongowaongo.Anagalia hata kazi za ikulu zimeeudi Dar kalibia mwezi na matokeo yake hera nyingi zinatumika kulioana posho
Achana na Gwajima, hutomweza atakupoteza kwenye ulimwengu wa siasa kwa jina la Yesu. Kamuulize walichomfanya paulo.
Gwajima anaitafuta nafasi ya urais wa jmt hivyo anapiga jaramba baada ya kuona ombwe lililopo! Ni kweli ana watu wengi Sana nyuma yake ambao ni wale wasiojitambua ( illiterate) na ukabila kwani yeye ni kiongozi wa wale wa Kanda pendwa kule fb! Mkijashtuka yupo magogoni au chamwino!
Keshawaambia ukishadadia anakupa risasi ya kichwa spiritual.I mean spiritual kama aliyopewa makonda.
Mnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!Jamaaa kiboko ila kiukweli anajua
mie nataka kodi ifanye maendeleo siyo kuwana posho kwa ajili ya vikaokwani kazi za ikulu zikiwa dodoma we unapata faida gani?
Itasubiri sana, vita na Gwajima huwezi shinda, ujasiri alionao unafikiri mjinga?Ashughulikiwe ili iwe funzo kwa wajinga wengine
Mguno wa verse mojaMnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!
Mfano mdogo tu ni wakati ule clip yake ya ngono ilipo vuja sambaa kwenye mitandao ya kijamii! Alifanya nini, zaidi tu ya kuishia kujikanyaga, kuufyata mkia wake, kumaliza uhasama wake na Bashite, na mwisho wa siku kurudi ccm kwa lazima!
Hana kitu yuleItasubiri sana, vita na Gwajima huwezi shinda, ujasiri alionao unafikiri mjinga?
Shaba Kama alizompiga bashite mpaka leo hasikiki.ukitaka League na gwaji boy kichwani lazima plag uiunguze (uwe halfmind )Uzuri jamaa anachimba na mkwara kabisa yaani ukijifanya unashadadia unakula shaba ya kichwa spiritual.
W ewe ni mbwa sana, huwezi kutoa mvhango bila kuudhi mtu?Hana kitu yule
anaachwa kuwapa Moyo wapuuzi kama ninyi
Ila akija shughulikiwa unayempenda wewe utalalamika au kuna uchaguzi wa wanaopaswa na wasiopaswa kushughulikiwa?Ashughulikiwe ili iwe funzo kwa wajinga wengine
Huyu kibwetele hayumbi nini... huyu si alikuwa anafufua misukule huyuWatu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
Ndiyo maana nikasema spiritual#Anaongea na familia yake wasichanjwe.Mnamjaza tu upepo! Gwajima ni mtoto mdogo sana katika nchi hii. Na ni rahisi sana kushambuliwa na maadui zake, kutokana na makondokando yake mengi!
Mfano mdogo tu ni wakati ule clip yake ya ngono ilipo vuja sambaa kwenye mitandao ya kijamii! Alifanya nini, zaidi tu ya kuishia kujikanyaga, kuufyata mkia wake, kumaliza uhasama wake na Bashite, na mwisho wa siku kurudi ccm kwa lazima!
Including YEYE.... Ni tumbo tu linamsumbuaKwa mara ya kwanza namuunga Gwajima mkono "Tuna viongozi wapumbavu wasiojielewa wafuata upepo,wajali matumbo yao"
Wazungu hawajawahi kuitakia mema Afrika yetu usisahau ilohivi hii mbuzi inachotaka ni nini jasa? hayo mambo siyaliisha isha?..