Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!



Unasema: "Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake..." Dhamira yake ni - Peasa, maana KORONA imesababisha kibano mpaka kasalimu amri. Sasa kaingia katika utapeli.

Chond chonde, msithubutu kuingia CHOO CHA KIKE, ni TAPELI wa kutupwa huyu.
 
Nadhani ni uamuzi wa wapiga kura siyo uamuzi wake kuwa mbunge au la. Watu wa eneo hili hawawezi kudanganywa hivyo eti Umetumwa na Mungu!
 
Mkuu punguza mihemuko maana hata wewe na mimi tusijihesabie haki. Wote wakosaji tu.
Mbona Mchungaji Msigwa ni mbunge na ni wakwanza kuonba msamaha baada ya kutoa tuhuma ambazo si zakweli namaanisha MUONGO.
 
Mkuu punguza mihemuko maana hata wewe na mimi tusijihesabie haki. Wote wakosaji tu.
Mbona Mchungaji Msigwa ni mbunge na ni wakwanza kuonba msamaha baada ya kutoa tuhuma ambazo si zakweli namaanisha MUONGO.

Tatizo lako na uelewa tu baasi

1. Umetathmini(ume- Analyse) aina ya huduma ya gwajima vs msigwa

A) Gwajima ndiye muasisi na mtumishi wa kanisa la ufufuo na uzima 24hrs/day.... anacheo chake baba askofu, while never to Peter Msigwa.

B) Ndani ya kanisa lake ndie kuhani mkuu, decision maker na organiser however Msigwa doesn't posses

Anapoondoka hizi critical issues anamsusia Mungu? Nini kinamsukuma kuacha madhabahu kukimbilia bungeni?

2. Umetafakali kauli na matendo ya gwajima vs msigwa?

Gwajima
A) Siwezi gombea ubunge, maana nitakuwa nimejishusha! Mtumishi wa Mungu nizaidi ya kila kitu.

Let this man walk the talk otherwise Mnafiki hananafasi machoni pa Mungu. (Msigwa has never given these controversial statements)

B) Huyu ndiye mwenye kashfa ya ukabila
- kwa kauli zake
- pia mitandaoni kuasisi magroup ya ukabila

Msigwa has never found of these unspeakable revelations

Huo utumishi uliotukuka anautoa wapi? Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…