Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine.
Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake lakini hatuwezi kuhoji haki yake ya msingi ya kiraia. Marehemu Rwakatare na Mchungaji Msigwa wote walikuwa wabunge hatukuwahi kuhoji haki zao.
Watanzania tusome zaidi siasa hata kama hatutaki kuwa wanasiasa ili tunapojadili tujadili mambo kwa kufuata misingi badala ushabiki.
Unasema: "Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake..." Dhamira yake ni - Peasa, maana KORONA imesababisha kibano mpaka kasalimu amri. Sasa kaingia katika utapeli.
Chond chonde, msithubutu kuingia CHOO CHA KIKE, ni TAPELI wa kutupwa huyu.