Na akisaidiwa na polisi maana yake lazima kuwepo na ukiukwaji wa haki za binadamu na hata wizi wa kura.Naomba na mimi nichangie kwenye mada hii! Askofu huyu ni mpumbavu, hakuna tafasiriya hivyo kwenye Biblia. Tena Biblia imekataza kabisa huwezi kuwatumikia mabwana wawili! Yeye kama ameamua kumtumikia Mungu abaki huko huko!! Ila ukweli ubaki pale pale bila mbereko ya polisi hawezi kushindana na Halima!
Maana yake ni kuwa atakuwa mbunge aliyeshinda kwa wizi ilhali yeye ni askofu