Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hoja ya Gwajima nchi kukosa maono kwa sababu ya kila Rais kuja na lake ni uongo mkubwa
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish. Hizo...