kuna maana gani ya vyama vingi... kama hata Hashimu Rungwe akiwa Rais hakuta kuwa na jipya? aelewe Ilani ya chama chetu ipo wazi hakuna Rais aliyeingia madarakani akatoka nje ya ilani...
Ilani ya CCM 2005-2010 CCM kuamia Dodoma
Johnny Sack
View attachment 2183654
Ilani ya CCM 2005-10 Bandari ya Malindi - Rais Mwinyi anaendelea huko nazani taarifa mnazo ya hiki kitu huko malindi
View attachment 2183657
Ilani ya CCM 2005-10 nazania taarifa za wafaranza mnazo kuhusu ujenzi wa uwanja wa dar... na taarifa za viwanja vingine kama songwe pia
View attachment 2183659
Ilani ya CCM 2005-10 nazani Taarifa za kuwatambua diaspora mnazo pia baada ya safari ya kikzi ya mama pale ulaya
View attachment 2183660
Ilani ya CCM mwaka 2005-10 na Reli mpya huku ikiendelea kutafuta pesa kuleta maendeleo
View attachment 2183661
YEHODAYA Last emperor pateni Muda wa kusoma soma hizi ilani zetu kutawasaidia sana... hapa nimeamua kukurejesha nyuma sana uone jinsi maisha ya CCM yalivyo ktk kuwaletea maendeleo wananchi wake....