Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kama Jiwe aliacha miradi ya gas na Bagamoyo...akaja na mambo yakeIla ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu
kuna maana gani ya vyama vingi... kama hata Hashimu Rungwe akiwa Rais hakuta kuwa na jipya? aelewe Ilani ya chama chetu ipo wazi hakuna Rais aliyeingia madarakani akatoka nje ya ilani...Ila ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu
Kidumu Chama...... CCM Oyeeeeee!,Mikakati ya muda mrefu si ndiyo ipo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi chenye kurasa 303
Kidumuu!!!Kidumu Chama...... CCM Oyeeeeee!,
Mambo aliyokuja nayo hakuyatoa mbinguni... pata muda wa kupitia ilani ya chama vizuri... ni aliamua kuanza na jambo aliloanza nalo na mambo ya gas na bagamoyo yaliitaji muda kuyapitia vizuri hasa mikataba yake...Kama Jiwe aliacha miradi ya gas na Bagamoyo...akaja na mambo yake
Ulichokiwaza juzi ndicho unakiwaza leo! Juzi hukuwa na maono haya....leo maono yamekuja kupitia fikra na unayatoa kupitia kinywa ulichobarikiwa. Tatizo lipo wapi hapo?Point ipo ila anapaswa kuwa anaitoa nyakati zote.
Kwani wakati hiyo miradi inajadiliwa kwenye baraza la mawaziri yeye alikuwa wapi?Mambo aliyokuja nayo hakuyatoa mbinguni... pata muda wa kupitia ilani ya chama vizuri... ni aliamua kuanza na jambo aliloanza nalo na mambo ya gas na bagamoyo yaliitaji muda kuyapitia vizuri hasa mikataba yake...
The past does not equal the future !! Nchi isiendeshwe kwa kusema mbona aliyepita alifanya hata kama ilikuwa haistahili kufanywa vile !! Mbunge Gwajima alitakiwa afafanue kwamba hayo maono yanatakiwa yaandikwe wapi ili Rais alazimike kuyafuata !! Na pia itakuwaje kama akikataa kuyafuata !! Mhe Mbunge hajafafanua !!Mbona aliyepita aliacha yamtangulizi wake akaanzisha mapya na hakusema?
Tulieni nyie sukuma Gang zamu yenu ilishapita.
Hakuna tatizo lolote. Anabadilika kulingana na mazingira. Mimi nasisitiza awe na msimamo endelevu kwenye masuala ya msingi na sio kubadilika kila wakati.Ulichokiwaza juzi ndicho unakiwaza leo! Juzi hukuwa na maono haya....leo maono yamekuja kupitia fikra na unayatoa kupitia kinywa ulichobarikiwa. Tatizo lipo wapi hapo?
Kama alivyokuja John magufuli halafu akavuruga vuruga kila kitu.Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Hapo ndipo palipoungua shoka pakabaki mpini !!Ameshindwa kusema kwamba tatizo ni katiba mpya. Ameona akisema hvyo wenzie watamnanga lkn alimaanisha tatizo ni katiba itakayo tengeneza taasisi imara ambayo ndio itamuongoza mtu na siyo mtu kui guide taasisi
Mradi wa kuua watu, kuteka, kutesa na kuwapoteza wanaokosoa, Mama hajauendeleza kwa uaminifu...Ni mambo yapi yaliyoachwa? Maana kama ni miradi Mama Samia kwa kiasi kikubwa anajitahidi kumalizia miradi mikubwa iliyoachwa na marehemu huku pia akianzisha na mengine.
Angemlaumu kwanza jpm ambaye alikuwa anawatukana akina mkapa na jk kila akipewa maiki. Jpm ndo alianza kupandika mbegu mbaya ya chukiAskofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Kondoo gani? Sema kuchunga mazwazwa yasiyo kuwa na elimu Wala akiliHuyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondoa za bwana, ila jpm kwa sabb ya ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry