Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
hacha kulialia pitia ilani ya chama...Kwani wakati hiyo miradi inajadiliwa kwenye baraza la mawaziri yeye alikuwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hacha kulialia pitia ilani ya chama...Kwani wakati hiyo miradi inajadiliwa kwenye baraza la mawaziri yeye alikuwa wapi?
Sio kweli wataalamu wanaandaa mipango ya maendeleo ya muda mrefu ipo mezani toka kipindi cha mkoloniHatuna mwongozo wa Taifa kutokana na ubovu wa katiba. Kila kitu kipo mikononi mwa Rais. Ndiyo maana hata yeye aliweza kuupata ubunge kwa njia chafu.
Tupiganie katiba mpya.
Ni maoni yake yaheshimiwe, kama wewe Jamiiforums inavyokupa space hapa.Huyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondoa za bwana, ila jpm kwa sabb ya ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry
Mangula ulimsikia alipoongea kuhusu bandari ya bagamoyo kuwa kwenye ilani haikuwemo kujenga bandari ya Bagamoyo?hacha kulialia pitia ilani ya chama...
Nimekuelewa Sana mkuu.Sio kweli wataalamu wanaandaa mipango ya maendeleo ya muda mrefu ipo mezani toka kipindi cha mkoloni
Mfano hakuna mtawala mzuri aliyekuwa na mipango mizuri ya kuemuendeleza mtu wa kijijini kama mkoloni.Akaleta mazao ya biashara kama pamba,chai,Kahawa,mkonge...
Mifano yako ni irrelevant kabisa back 70's , maendeleo ya nchi yanapaswa kwenda sambamba na mawazo ya dunia ya sasa, ndio maana tunasema katiba mbovu ya 1977 haiwezi kusolve changamoto ya dunia ya sasa.Sio kweli wataalamu wanaandaa mipango ya maendeleo ya muda mrefu ipo mezani toka kipindi cha mkoloni
Mfano hakuna mtawala mzuri aliyekuwa na mipango mizuri ya kuemuendeleza mtu wa kijijini kama mkoloni.Akaleta mazao ya biashara kama pamba,chai,Kahawa,mkonge...
Hivi, hapa hoja ya Khadija Kopa inaingia? Vile anavyosema kuna kuzaa na kunya?Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo...
Very true, Maono ya kijima ya CCM hayawezi kutatua changamoto za dunia ya sasa, zaidi kututia umasikini tu.Aliekuja na bila kufuata kilichoachwa na mtangulizi wake ni Magufuli, ilikuwa kwenye hata ilani kuhamia Dodoma? uwanja wa Chatto? msituchoshe sie na mambo yenu ya bunge kama whatassps group la CCM
kasome ilani mkuu, hacha maneno ya kusikia...Mangula ulimsikia alipoongea kuhusu bandari ya bagamoyo kuwa kwenye ilani haikuwemo kujenga bandari ya Bagamoyo?
Kujenga bandari.mpya bagamoyo kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka husika mwambie iko wapi? Sababu kila uchaguzi huwa tuna ilani ya CC M ya kipindi hicho tunayoahidi tutafanya kwa Miaka mitano CCM tukiomba kura kaangalie ilani ya 2005 na 2010 kipindi cha Kikwete CCM tukiomba kura ni wapi ilani ilitamka kuhusu ujenzi wa bandari mpya bagamoyokasome ilani mkuu, hacha maneno ya kusikia...
Wewe mjinga unaona ukabila tu badala ya kuangalia alichosema! Huwapendi sana Wasukuma wewe pimbi!Huyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondoa za bwana, ila jpm kwa sabb ya ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry
Katiba ya nchi ndiyo mbovu.Rais anaongozwa na ilani ya chama Cha mapinduzi labda aseme ilani yao ni mbovu ndio nitamuelewa Japo kidogo
Samia kaponda lipi la Magufuli?Gwajima ana hoja
Umemwelewa alichoongea ?
Kila Raisi akija anakuja na yake na kuponda ya mtangulizi wake...