The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake.
Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake ktk kusimamia hili akiwemo huyu mama Samia Suluhu leo wameonesha unafiki na kutoaminika kwao waziwazi mchana kweupe.
Bishop Rev. Josephat Gwajima ni mbunge wa jimbo la Kawe [CCM] ktk mkoa wa Dar as Salaam.
Kasoro yake nionayo mimi ni kwa sababu tu yuko CCM lakini ni kiongozi - mbunge wa tofauti sana na wana CCM wengi.
Ana msimamo dhabiti ktk mambo anayoyaamini kuwa siyo sahihi. Hapo humbadilishi. Si mnafiki walw mwongo kama wanaCCM walio wengi.
The best reference ya kuitumia kum - describe huyu nchungaji ni global pandemic ya COVID 19.
Kuanzia Rais Samia Suluhu Hassani aliyekuwa VP wakati wa u - Rais wa Magufuli, PM Majaliwa, mawaziri karibu wote na wabunge wa CCM wote ni wanafiki na waongo wasio na msimamo.
Wote wamepiga U - TURN ya hatari wakimkana waziwazi mchana kweupe aliyekuwa kinara wao Mwendazake John P. Magufuli..
Lakini Bishop Rev. Josephat Gwajima hamkani kabisa Magufuli na msimamo wake juu ya COVID 19 na chanjo yake. Na kwa msimamo wake huu, wenzake wanamwandama na kuanza kujenga hoja za eti kumfuta uanachama wa CCM.
Mimi najua Bishop Rev. Josephat Gwajima hataweza kamwe kubadili msimamo wake kwenye ishu nzima ya UVIKO 19 na chanjo yake.
Huu ndiyo uongozi na kiongozi wanaohitajika katika jamii iliyostaarabika. Viongozi wenye kusimamia wanachokiamini, wasio vigeugeu, wasio wanafiki, na wasio waoga na waongo kama Rais Samia Hassani na wenzake wote huko CCM.