Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
CCM BWANAA!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na uchache wa chanjo sidhani kama tutafika huko kwa sasa, kama tutakuwa na chanjo nyingi za kuweza kupewa zaidi ya asilimia 60 ya wananchi na wakazi huko huenda tukafika, lakini tunaomba pia upimaji wa Corona uwe bei nafuu au kama si bure kabisa ili watu tujijue afya zetu.Hii Kitu tumeshaambiwa ni HIARI. Mbona kama kuna Watu wanafosi mambo! Nenda Kivyako yako Ukachanjwe.
Ninachohofia Mimi Serikali isije na Matamko kama. Hakuna mtu kuingia Hospitali za Umma Kama hana cheti cha kuchanjwa, Mahakamani marufuku kama hujachanjwa, Polisi na Watoa huduma za Afya lazima chanjo n.k! Hapo Lazima itaingia indirectly. Please please Msitulazimishe
Wakati mwingine misimamo ya kijinga haisaidii. Watu wanafanya mambo kisayansi nyie bado mmekazana na tunguriSamia anaweza kuja kuwa Raisi mbaya kuwahi kutokea hapa Tanzania baada ya kikwete.
waziri mkuu hata aibu hana kabisa na misimamo yote kipindi kile leo anayageuka maneno yake.
Yule ni tapeli tupuBinafsi namheshimu Bishop Rev Gwajimq ila kwa hili la chanjo, hapana.
Na usikute yeye ameshachanjwa,huyu ana roho ya Kibwetere,ipo siku ile misukule yake ataigeuza mishikakiAtachanjwa tu huyo, mpeni muda
Huko CCM yamejaa matapeli ya kisiasa tu,na leo ndiyo wamedhihirisha hilo.Samia anaweza kuja kuwa Raisi mbaya kuwahi kutokea hapa Tanzania baada ya kikwete.
waziri mkuu hata aibu hana kabisa na misimamo yote kipindi kile leo anayageuka maneno yake.
Mi nikikumbuka ile clip anayomkatikia mauno muumini wake... namvulia kofia kabisaHivi we Askofu Rashidi unamjua vizuri lakini?
subiri hutaamini siku ukimuona anaemda kuchanjwa, ye ataawaambia kondoo wake Bwana ameniambia nikanjanje nao wataitikia Ameeeeee kama mazombi
mtu aliwaambia waumini wake kamwe hawezi kuwa mbunge maana atakua amejishusha baadae akawaambia Bwana amemuonyesha,
mtu aliyetwambia ule mkono ulikua sio wake ni wa baunsa huyo sio wa kumuamini hata kidogo
Na kuna treni bado tunalisubiria wana Kawe...Mkono wa BAUNSA ni tapeli ,kashawapeleka vijana wa kawe Birmingham na california ? Vipi kanisa lake la mita 400 kashalimaliza?
HahahaahMagufuli kafika ahera bado anasema "Nireteeni Gwajima".
Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake ktk kusimamia hili akiwemo huyu mama Samia Suluhu leo wameonesha unafiki na kutoaminika kwao waziwazi mchana kweupe.Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake.
Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake ktk kusimamia hili akiwemo huyu mama Samia Suluhu leo wameonesha unafiki na kutoaminika kwao waziwazi mchana kweupe.
Bishop Rev. Josephat Gwajima ni mbunge wa jimbo la Kawe [CCM] ktk mkoa wa Dar as Salaam.
Kasoro yake nionayo mimi ni kwa sababu tu yuko CCM lakini ni kiongozi - mbunge wa tofauti sana na wana CCM wengi.
Ana msimamo dhabiti ktk mambo anayoyaamini kuwa siyo sahihi. Hapo humbadilishi. Si mnafiki walw mwongo kama wanaCCM walio wengi.
The best reference ya kuitumia kum - describe huyu nchungaji ni global pandemic ya COVID 19.
Kuanzia Rais Samia Suluhu Hassani aliyekuwa VP wakati wa u - Rais wa Magufuli, PM Majaliwa, mawaziri karibu wote na wabunge wa CCM wote ni wanafiki na waongo wasio na msimamo.
Wote wamepiga U - TURN ya hatari wakimkana waziwazi mchana kweupe aliyekuwa kinara wao Mwendazake John P. Magufuli..
Lakini Bishop Rev. Josephat Gwajima hamkani kabisa Magufuli na msimamo wake juu ya COVID 19 na chanjo yake. Na kwa msimamo wake huu, wenzake wanamwandama na kuanza kujenga hoja za eti kumfuta uanachama wa CCM.
Mimi najua Bishop Rev. Josephat Gwajima hataweza kamwe kubadili msimamo wake kwenye ishu nzima ya UVIKO 19 na chanzo.
Huu ndiyo uongozi na kiongozi wanaohitajika katika jamii iliyostaarabika. Viongozi wenye kusimamia wanachokiamini, wasio vigeugeu, wasio wanafiki, na wasio waoga na waongo kama Rais Samia Hassani na wenzake wote huko CCM.
Battle lao ni moto.Nayeye Gwajima Leo alimponda Gwajima kuwa mtu mwenye hana na background ya PCB wala CBG ataongelea nini kuhusu chanjo