#COVID19 Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

#COVID19 Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

Usimwamini sana mwanadamu akigeuka utasononeka bila sababu. Naweza kutabiri kuwa Gwajima atachanjwa muda siyo mrefu.
 
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake...
Unasemea gwajoma huyu?

IMG-20210728-WA0011.jpg
 
Gwajima alisema Corona haitakanyaga ardhi ya Tanzania.
 
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake...
Of course, ndiye kiongozi pekee wa dini mwenye msimamo usiyoyumba kuhusu Covid-19 na chanjo zake, lakini pia mwenye msimamo ambao hauna 'justification' (you cannot rely on). Mfano, hana data au utafiti wowote wa kitaalamu ku'support' msimamo wake. Kwa upande wangu, ni useless kuwa na msimamo ambao huwezi kuu'justify'.
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kusoma maandiko matakatifu kuhusu mienendo ya manabii,nadiriki kusema askofu GWAJIMA ni nabii wa MUNGU tena yule muumbaji wa kila kitu, yeye aketiye juu juu juu mawinguni.

Yeye wala siyo kama hawa akina MWAMAKULA ambao kazi yao kutii taasisi za GIZA

Hata manabii ELIYA,MUSA kuna wakati walipingwa na hata kusumbuliwa na watawala.

ONYO: ukipingana na Gwajima ujue unaikataa sauti ya MUNGU,je upo tayari?

NB: MIMI NI TIMU MAGUFULI JANA,LEO,KESHO NA HATA MILELE
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kusoma maandiko matakatifu kuhusu mienendo ya manabii,nadiriki kusema askofu GWAJIMA ni nabii wa MUNGU tena yule muumbaji wa kila kitu,yeye aketiye juu juu juu mawinguni...
Punguza kushabikia uhasama ndani ya jamii.
 
Astrozeneca wavumbue chanjo kwa ajili ya Askofu Rashid ya kumkinga na ushamba.
 
Mbona kuna ukimya wa kushangaza kwa viongozi waliohudumu kwenye serikali ya awamu ya tano!! Hawa watu vipi?Au ndo bendera zinafuata upepo tu.

Walikuwa wakikubaliana na misimamo ya magufuli kuhusu corona tena kwa majigambo kuwa serikali ya awamu ya tano inamaono ya kiungu hivyo janga hilo halitatufika, tena bila chanjo wala kujifungia ndani. Nchi itabaki salama. Kisha wakatuelimisha madhara ya chanjo na namna zinavyoweza kutumaliza.

Kwa sasa wametugeuka, baada ya kutuaminisha chanjo ni kitu kibaya wao wanachanjwa sasa! Hivi walitamani kuchanjwa ila walimugopa Magufuli au mpaka sasa hawapendi kuchanjwa ila wanasapoti kinafiki. Viongozi wetu mbona mmekuwa waoga hivi. Mlikuwa tayali taifa liangamie kwa corona lakini si kusema ukweli kuwa chajo iliitajika ili tujikinge.. Kama mliamini kuwa chanjo ni hatari kwa sasa mpo tayari taifa liangamie lakini si kusema ukweli kuwa chanjo haifai.

Wale Viongozi shupavu wakati wa rais Magufuli ,kwa sasa ni watu wasioeleweka kabisa.. Ngoja tuone ..Chanjo ikisababisha madhara tutawalaumu kwa nini mliogopa kusema ukweli wakati mlijuwa... Na hata chanjo ikituponya tutawalaumu pia kwa kushindwa kusema ukweli wakati wa rais Magufuli.
 
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake.

Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake ktk kusimamia hili akiwemo huyu mama Samia Suluhu leo wameonesha unafiki na kutoaminika kwao waziwazi mchana kweupe.

Bishop Rev. Josephat Gwajima ni mbunge wa jimbo la Kawe [CCM] ktk mkoa wa Dar as Salaam.

Kasoro yake nionayo mimi ni kwa sababu tu yuko CCM lakini ni kiongozi - mbunge wa tofauti sana na wana CCM wengi.

Ana msimamo dhabiti ktk mambo anayoyaamini kuwa siyo sahihi. Hapo humbadilishi. Si mnafiki walw mwongo kama wanaCCM walio wengi.

The best reference ya kuitumia kum - describe huyu nchungaji ni global pandemic ya COVID 19.

Kuanzia Rais Samia Suluhu Hassani aliyekuwa VP wakati wa u - Rais wa Magufuli, PM Majaliwa, mawaziri karibu wote na wabunge wa CCM wote ni wanafiki na waongo wasio na msimamo.

Wote wamepiga U - TURN ya hatari wakimkana waziwazi mchana kweupe aliyekuwa kinara wao Mwendazake John P. Magufuli..

Lakini Bishop Rev. Josephat Gwajima hamkani kabisa Magufuli na msimamo wake juu ya COVID 19 na chanjo yake. Na kwa msimamo wake huu, wenzake wanamwandama na kuanza kujenga hoja za eti kumfuta uanachama wa CCM.

Mimi najua Bishop Rev. Josephat Gwajima hataweza kamwe kubadili msimamo wake kwenye ishu nzima ya UVIKO 19 na chanzo.

Huu ndiyo uongozi na kiongozi wanaohitajika katika jamii iliyostaarabika. Viongozi wenye kusimamia wanachokiamini, wasio vigeugeu, wasio wanafiki, na wasio waoga na waongo kama Rais Samia Hassani na wenzake wote huko CCM.
Hakuna mtu mwenye akili anaweza kuwa na huyu kichaa Gwajima
 
Of course, ndiye kiongozi pekee wa dini mwenye msimamo usiyoyumba kuhusu Covid-19 na chanjo zake, lakini pia mwenye msimamo ambao hauna 'justification' (you cannot rely on). Mfano, hana data au utafiti wowote wa kitaalamu ku'support' msimamo wake. Kwa upande wangu, ni useless kuwa na msimamo ambao huwezi kuu'justify'.
Yeye hana haja ya kuthibitisha chochote; wanaoipigia chanjo upatu ndio watuambie beyond reasonable doubt kuhusu usalama wa chanjo husika. Ndicho ambacho amekuwa akisema Askofu Gwajima tangu kitambo tu.

Justification yake, kama unataka, ni kwamba sisi kama wananchi hatujathibitishiwa usalama wa afya zetu kuhusu suala la chanjo. Soma ile document ya kukubali kuchanjwa, uone namna serikali ya JMT inavyowaruka wananchi mchana kweupe!!!

NB: If you don't appreciate what Bishop Gwajima is talking about, then you cannot appreciate anything else.
 
Mbona kuna ukimya wa kushangaza kwa viongozi waliohudumu kwenye serikali ya awamu ya tano!! Hawa watu vipi?Au ndo bendera zinafuata upepo tu.

Walikuwa wakikubaliana na misimamo ya magufuli kuhusu corona tena kwa majigambo kuwa serikali ya awamu ya tano inamaono ya kiungu hivyo janga hilo halitatufika, tena bila chanjo wala kujifungia ndani. Nchi itabaki salama. Kisha wakatuelimisha madhara ya chanjo na namna zinavyoweza kutumaliza.

Kwa sasa wametugeuka, baada ya kutuaminisha chanjo ni kitu kibaya wao wanachanjwa sasa! Hivi walitamani kuchanjwa ila walimugopa Magufuli au mpaka sasa hawapendi kuchanjwa ila wanasapoti kinafiki. Viongozi wetu mbona mmekuwa waoga hivi. Mlikuwa tayali taifa liangamie kwa corona lakini si kusema ukweli kuwa chajo iliitajika ili tujikinge.. Kama mliamini kuwa chanjo ni hatari kwa sasa mpo tayari taifa liangamie lakini si kusema ukweli kuwa chanjo haifai.

Wale Viongozi shupavu wakati wa rais Magufuli ,kwa sasa ni watu wasioeleweka kabisa.. Ngoja tuone ..Chanjo ikisababisha madhara tutawalaumu kwa nini mliogopa kusema ukweli wakati mlijuwa... Na hata chanjo ikituponya tutawalaumu pia kwa kushindwa kusema ukweli wakati wa rais Magufuli.
Wenzio wanaangalia jinsi ile 2025 itakavyokuja; hivyo wanaanza kujipanga mapema ili majina yasije kukatwa na Bi Mkubwa!!!
 
MISIMAMO ISIYOYUMBA KATIKA MASUALA YASIYO NA JIBU MOJA LA RAHISI RAHISI NI DALILI YA ELIMU KIDUCHU NA UTUMBAFU!
 
Kuanzia Rais Samia Suluhu Hassani aliyekuwa VP wakati wa u - Rais wa Magufuli, PM Majaliwa, mawaziri karibu wote na wabunge wa CCM wote ni wanafiki na waongo wasio na msimamo
👍🤝🙏✍🤛👏
 
Back
Top Bottom