#COVID19 Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake


Kuna watu nchi yeyote watashabikia ujinga tu na hili ndiyo group lake. Anasema anafufua watu wajinga wanakubali. Hivyo kabaki mwenyewe kwasababu ana wafuasi wanaopenda uongo na cha ajabu ndiyo wanampa pesa.
 
Wengi walikuwa wanajipendekeza yaani wanafakiki na inadhihirika sasa
 
Tuwaulize wana Kawe "Yanayaonaje mazingira ya Birmingham" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kuna watu nchi yeyote watashabikia ujinga tu na hili ndiyo group lake. Anasema anafufua watu wajinga wanakubali. Hivyo kabaki mwenyewe kwasababu ana wafuasi wanaopenda uongo na cha ajabu ndiyo wanampa pesa.
Huna maarifa ya kiroho wewe na kwa hiyo ni vigumu kwako kuyaelewa mambo haya unless ugeuke na kumfuata Yesu Kristo...

Imeandikwa, ".....watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa....." [Hosea 4:6a]...

Sasa kwa kuwa wewe umekosa maarifa ya Mungu, umekubali upotee na uangamie kabisa. Ndiyo sababu hutaweza kutuelewa sisi na watu kama Rev. Josephat Gwajima na mimi wanaotazama na kupima kila jambo katika vipimo vya kiroho/ki - Mungu...

Kwa lugha rahisi ni kuwa, sisi na nyie msioyaelewa wala kuamini KATIKA MUNGU, basi maana yake ni hii:

Kwamba tunaishi na kusafiri ktk masafa (frequency) tofauti kabisa....!!

Kwa mantiki hii, si rahisi ukatokea wakati wowote tukaelewana ama kupatana katika mambo haya ya kiroho unless wote tusomeke ktk ukurusa mmoja wa kitabu (same book page)...!
 
Chanjo zingine watoto wanazopata au dawa za malaria, kisukari, ukimwi, tezi dume, kichocho, shinikizo la damu, matende, TB na vitamin supplements etc tunazitumia kwa rely on wataalamu wa afya - wawe wa tiba asilia au ya kisasa. Kama kuna mtu ana wasiwasi na findings zao, basi alete za kwake (mbadala). Lakini kutumia tu platform ya mahubiri kusema tu mambo bila kuwa na justification (mfano kwamba aina ya chanjo iliyoletwa haifai kwa sababu hizi na hizi na badala yake tutumie chanjo x yenye faida hizi na hizi) ni useless. Only, uncritical thinkers can take on board what he says. Mimi nataka mtu anishawishi kwa data na siyo aina ya maneno ya kujenga 'castle in the air'.
 
Mimi siamini kuwa Majaliwa Yuko kwenye kundi Hilo ulilolitaja...

Ila ni kweli there is something wrong somewhere kwenye uongozi..binafsi Nina hofu kubwa na hali Hii...najiuliza Kama tunao strategists na thinkers wanaoweza kutoa ushauri kwa mustakabali wa nchi...nakosa jibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…