Acha upuuzi ww! Tangu lini coca cola imetiliwa shaka! Ndio ninyi mnao kariri na kupita madarasa na kupoteza kitu cha maana kupita vyote kwa msomi...kuhoji/kudadisi!
Ingetokea sintofahamu hii kwenye coca cola tusingeendelea kuitumia!
Unajifanya unaamini sayansi kuliko hata sayansi yenyewe! Unayaelezeaje matukio ya wadungwaji kuganda damu na wengine hata kufa! Unaelezeaje waliochanjwa full dose kuambukizwa na kulazwa tena hospitalini na wengine kufa pamoja kuwa walichanjwa! Au hata hufuatilii yanayojili UK na keingineko ww msomi uchwara!?
Au hufuatilii ukweli kwamba hao virusi wa mafua hujibadilibadili na hivyo hata ukidungwa vichanjo uchwara hivyo vya majaribio vyenye vina7 baada ya muda mfupi virusi vitabadirisha na kuvaa suti nyingine na kuja kusababisha maafa kwenu mliochanjwa kana kwamba hamkuchanjwa!
Ww kama umelishwa mlungula kula kimya kimya ila usituletee hadaa zako hapa pungu1!
Kuna kuongea na facts, na kuongea na mihemko...kila unachorudia kuuliza nimeshakijibu mwenye post yangu uliyoiquote na kusema tu "toa ujinga wako" kama nilichoandika ni "ujinga" basi wewe majibu yako yana "ujinga" wakipekee ni "ujinga" uliokithiri na usio na kikomo !
Taarifa zilizokuwa zinatolewa na serikali ya awamu iliyopita kuhusu ugonjwa huu wa CORONA zimechangia kwa kiasi kikubwa jamii ya tz kuwa wajinga, kuwa na uelewa mbaya kuhusu chanjo na njia sa kujikinga. Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali na madhubuti kudhibiti hali hii vinginevyo huko mbeleni tutalia kama taifa.
Haiingii akilini ni vipi serikali kutumia nguvu kwenye kongamano la Chadema kwa sababu za kudhihibiti Corona lakini si huyu anayehamasisha watu kutochukua tahadhari!
Kwa mwendo huu wa kuzikumbatia siasa uchwara zenye kuweka maslahi binafsi mbele tungali na safari ndefu sana.
-------
My take:
Uzi huu chini unaihusu sana serikali kwa sasa na hasa mheshimiwa SSH:
Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
Waswahili wanasema kenge hasikii mpaka damu imtoke masikioni. Huyu kenge hadi afe ndipo hao wajinga wenzake watakapoelewa kuwa covid siyo ya kufanyia mzaha.
Hajapinga Wala hajabishana nae, jaribu kusoma kwa umakini utaelewa. Hayo ni mawazo yake binafsi habishani, Unadhani waizrael wote wange msikiliza Musa kwa mawazo yake ya kibinadamu; wangeingia nchi ya ahadi? Uvushwe jangwani na MUNGU halafu ushindwe kuingia kwenye mji? Tena si kilomita nyingi Kama kule jangwani walivyo hangaika kutembea usiku na mchana. Mambo ya kiroho tusichangaye na myama ilio shikiliwa na mifupa.
Mbowe amependekeza. Na angekuwa na uwezo wa kukulazimisha kuchanja leo asingekuwa ndani.
Wanachama wa Chadema kama raia mwingine yeyote wa Tanzania wana haki ya kikatiba ys kupendekeza chochote kwa serikali yao. CCM hawana haki au justification yeyote ya kutulazimisha wote tukubaliqna na mawazo yao. Na amani yeyote ambayo inahitaji kulazimishwa haita dumu kwa sababu haipo mioyoni mwa watu. Lakini hilo hautalielewa kwa sababu mzoea vya kunyonga....
Wahenga walisema kupenda upofu. Rudia kusikiliza alichosema Mbowe kuwa serikali iwachanje watu kwa lazima, pia huyo Lissu wenu naye amerudia hicho hicho kuwa serikali ilazimishe watu kuchanja. Ulaghai mtawalaghai wale wavivu wa kufikiri.
Wakati nyinyi mnasema serikali ilazimishe chanjo sisi tunasema serikali ilazimishe kila mtu aishi kwa amani na sio kuleta vurugu.
Taarifa zilizokuwa zinatolewa na serikali ya awamu iliyopita kuhusu ugonjwa huu wa CORONA zimechangia kwa kiasi kikubwa jamii ya tz kuwa wajinga, kuwa na uelewa mbaya kuhusu chanjo na njia sa kujikinga. Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali na madhubuti kudhibiti hali hii vinginevyo huko mbeleni tutalia kama taifa.
Mbona Lissu bado anasikilizwa hadi leo pamoja na kusema kwamba tutashtakiwa ila haikuwa hivyo? wengine walituambia tutaokota maiti barabarani ila haikuwa hivyo.
Mwanzoni kabla chanjo hazijaja walikuwa wakizipigania zije na kusema chanjo ni hiari hivyo tusizuie wanaotaka kuchanjwa hivyo ziletwe wanaotaka kuchoma watachoma na wasiotaka wasichome, ila sasa baada ya chanjo kuja naona hawataki tena hiari wanataka wote tuchanjwe.
Waswahili wanasema kenge hasikii mpaka damu imtoke masikioni. Huyu kenge hadi afe ndipo hao wajinga wenzake watakapoelewa kuwa covid siyo ya kufanyia mzaha.
Sawa covid ipo, na variants zake and whatever waves we are expecting in the future, hata lije wimbi la 40, ni hivi tutahimiza watu wasichanjwe... hawa watu wametengeneza tatizo ku create fear ili wachome watu masindano(chanjo) bila kuwa na uhakika na content ya hizo chanjo? Kachome wewe na familia yako... wanaopinga sio wajinga kama unavyofikiri, we are well informed and we know exactly what is goin on huko duniani... Tumesoma na kujifunza mambo mengi sana kuhusu hizi chanjo. Wajinga pekee ndio watachoma hizo chanjo.
Waswahili wanasema kenge hasikii mpaka damu imtoke masikioni. Huyu kenge hadi afe ndipo hao wajinga wenzake watakapoelewa kuwa covid siyo ya kufanyia mzaha.
Mjinga anaelimishwa na sio kutishwa, ilikuwa inasemwa kwamba akifa Magufuli ndio wataelewa haya Magu kafa ila bado hao watu wapo. Tuelimishane tusitishane wala kutumia hisia mfano kusema sijui subiri mpaka ufiwe ndio utajua corona ipo.
Taarifa zilizokuwa zinatolewa na serikali ya awamu iliyopita kuhusu ugonjwa huu wa CORONA zimechangia kwa kiasi kikubwa jamii ya tz kuwa wajinga, kuwa na uelewa mbaya kuhusu chanjo na njia sa kujikinga. Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali na madhubuti kudhibiti hali hii vinginevyo huko mbeleni tutalia kama taifa.
Mjinga anaelimishwa na sio kutishwa, ilikuwa inasemwa kwamba akifa Magufuli ndio wataelewa haya Magu kafa ila bado hao watu wapo. Tuelimishane tusitishane wala kutumia hisia mfano kusema subiri mpaka ufiwe ndio utajua corona ipo.
Haiingii akilini ni vipi serikali kutumia nguvu kwenye kongamano la Chadema kwa sababu za kudhihibiti Corona lakini si huyu anayehamasisha watu kutochukua tahadhari!
Kwa mwendo huu wa kuzikumbatia siasa uchwara zenye kuweka maslahi binafsi mbele tungali na safari ndefu sana.
-------
My take:
Uzi huu chini unaihusu sana serikali kwa sasa na hasa mheshimiwa SSH:
Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
Mh.Mbowe alitahadharisha VYEMA TU halafu anatokea ndg.yetu askofu Gwajima anaongea mambo ya "kushangaza mno".....hayaishii tu kushangaza bali KUSIKITISHA MNO.....
Gwajima ameendelea kushangaza UMMA.....
ILA....
Mwisho wa siku DHAMANA YA TAIFA...TAIFA...TAIFA....iko katika DOLA na haipo kwa waheshimiwa viongozi wetu wa DINI......
Ni imani yetu kuwa SERIKALI yetu adhimu chini ya mh.Rais SSH itayachukua mawazo chanya na mema kutoka kila UPANDE ili kuendelea kulilinda TAIFA dhidi ya UGONJWA HUU....
Mm kwenye swala la chanjo, namwamini, serikali wanatudanganya kwa hili, huyohuyo waziri wa afya gwajima alikuepo kipindi cha mwendazake na alituhimiza kutokuchanjwa leo ndo anahamasisha baada ya mwendazake kufariki, hawana msimamo ni unafiki tu!!
umeshaambiwa chanjo ni hiari.sasa hapo shida iko wapi.Soma machapisho huko amerika.utakuta watu wako huru kuhamasisha kukataa chanzo hizo.wewe tu unaona tabu watu wakitoa elimu huru.
Mbona Lissu bado anasikilizwa hadi leo pamoja na kusema kwamba tutashtakiwa ila haikuwa hivyo? wengine walituambia tutaokota maiti barabarani ila haikuwa hivyo.
Mwanzoni kabla chanjo hazijaja walikuwa wakizipigania zije na kusema chanjo ni hiari hivyo tusizuie wanaotaka kuchanjwa hivyo ziletwe wanaotaka kuchoma watachoma na wasiotaka wasichome, ila sasa baada ya chanjo kuja naona hawataki tena hiari wanataka wote tuchanjwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.