Demonstrated strong neutralizing antibody activity against the Delta (B.1.617.2) variant Persistent immune responses through at least eight months
www.jnj.com
2. Pia unaposema kwamba hazikujaribiwa kwa mtu mweusi, wakati tunaambiwa majaribio yafanyike si tuligoma tukasema sisi sio nyani wa kufanyiwa majaribio ? Nchi zenye majority ya watu weusi ambazo zilifanyiwa trials nakumbuka ilikuwa South Africa na Kenya na tuliwadhihaki kuwa wamekubali kutolewa chambo.
3. Janssen vaccine haitumii mRNA technology na ndio maana ni rahisi kuletwa Africa , mRNA inahitaji uhifadhi wa joto la chini sana kitu ambacho ni ngumu kupatikana kwenye hizi nchi zetu View attachment 1867812 View attachment 1867813
4. Hizo namba za efficacy kwa vaccines hazina maana inapotumika kulinganisha ubora wa chanjo kwa sababu efficacy figures zinapatikana katika trials, mfano Pfizer inaweza kufanyiwa trials kipindi maambukizi ni madogo nchi tofauti halafu ikaja AstraZeneca ikafanyiwa trials muda maambukizi yako juu na nchi tofauti...mpaka sasa hakuna research iliyofanyika kuangalia ipi ni chanjo bora zaidi. Kinachoangaliwa ni uwezo wa chanjo kumlinda mtu kama atapata maambukizi basi asiumwe ugonjwa mkali utakaopelekea yeye kulazwa ama kufariki , aliyepewa chanjo ana uwezekano mkubwa kuumwa kidogo sana ama kutokuumwa kabisa kama atapata maabukizi ya corona na hivyo kuufanya ugonjwa kutokuwa tishio.
5. Madhara ya chanjo ya Janssen ambayo yaliongelewa sana ni damu kuganda ambapo probability ni 0.000007% ( watu 7 kati ya milioni 1). Uwezekano wa damu kuganda iwapo utapata maambukizi ya CoVID-19 bila chanjo yoyote ni kama umelazwa hospitali ni 0.05%(mtu 1 kati ya 20) na kama upo nyumbani na ugonjwa wa usio mkali ni 0.01% (mtu 1 kati ya 100).
Tatizo taarifa zinaweza kubadilishwa kuweka hofu tu juu ya chanjo bila kuangalia hizo hizo risks zilizopo kama ukiachwa ukaambukizwa hiyo COVID-19.
Watu wamekunywa bupiji,nimricaf, covidol bila kujua humo ndani kuna nini, majaribio yamefanyikia wapi na side effects ni nini, wengine mpaka wamesababisha figo kufeli kwa kuchanganya mitishamba lakini hakuna aliyekuwa na wasi wasi nazo...jiulize hizo nyungu zina efficacy kiasi gani?
Huyu jamaa asipozibitiwa anafitinisha majeshi na serikali, anachotakiwa Ni kuikataa chanjo kwa kudhibitisha kitaalamu na sio kwasababu tu hataki, aseme madhara yake kwa kutumia Takwimu na ushahidi wa mahalimahali
Nimemsikiliza gwajima kwenye mahubiri yake. Ni mahubiri yaliyojaa hadaa nyingi sana.
Gwajima anatumia source za vijiweni kutetea msimamo wake.
Cha kujiuliza ni kwamba anafanya haya kwa sababu gani?
Kwanini haheshimu msimamo wa mwenyekiti wake wa chama?
Ikiwa Dialo walimwambia kama ana mawazo ayawasilishe chamani,, kwanini Gwajima hafanyi hivyo na hakuna mwana ccm anayemwonya?
Jibu la maswali hayo ni moja tu:- Nchi inaendeshwa na genge. Na yeye inasemenkana ndiye kiongozi wa hilo genge.
Utaendelea kuwa mjinga ikiwa umemfanya gwajima ndiyo source ya information ,, hebu jiridhishe na reliable source zinazojulikana. Gwajima anatumia story za vijiweni kuhadaa waumini wake.
Utaendelea kuwa mjinga ikiwa umemfanya gwajima ndiyo source ya information ,, hebu jiridhishe na reliable source zinazojulikana. Gwajima anatumia story za vijiweni kuhadaa waumini wake.
Mafikilio yako ndio yameshagota! Gwagima is by far smarter that u'll ever be!
Taarifa siku hizi hazihodhiwi, kila mtu anaweza kuzipata akitaka! Sijui ujinga wa kuamini chanjo hii ya majaribio umeutoa wapi😡!
Sina imani na vijichanjo vyenu uchwara!
Mafikilio yako ndio yameshagota! Gwagima is by far smarter that u'll ever be!
Taarifa siku hizi hazihodhiwi, kila mtu anaweza kuzipata akitaka! Sijui ujinga wa kuamini chanjo hii ya majaribio umeutoa wapi[emoji35]!
Sina imani na vijichanjo vyenu uchwara!
Ni hali ya hatari kubwa kwa ugonjwa huu unaouwa (ambalo ni tatizo la kisayansi) unapoachwa kufanyiwa siasa au mzaha.
Ni hatari zaidi hali hiyo inapoachwa kuendelea, wakati serikali iliyo na dhamana ya kutulinda, ikiwa imechagua kuwa kama mpenzi mtazamaji tu.
Haiingii akilini ni vipi serikali kutumia nguvu kwenye kongamano la Chadema kwa sababu za kudhihibiti Corona lakini si huyu anayehamasisha watu kutochukua tahadhari!
Kwa mujibu wa maelekezo haya ya wizara ya afya:
Ni wazi kuwa kwa makusudi Mh. Mbunge amedhamiria kufanya upotoshaji wa makusudi.
Kwa mwendo huu wa kuzikumbatia siasa uchwara zenye kuweka maslahi binafsi mbele tungali na safari ndefu sana.
-------
My take:
Uzi huu chini unaihusu sana serikali kwa sasa na hasa mheshimiwa SSH:
Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
Wengi wanakifahamu au wamewahi kukisikia kisa cha Joseph Kibweteere wa Uganda mshirika aliyejitenga kutoka kanisa katoliki na akaanzisha huduma yake iliyokuwa na mafundisho mengi ya ajabu lakini ikijitambulisha kama dhehebu la Kikristo.
Kilele cha huyu bwana ilikuwa March 17,2000 alipowafungia waumini wake takribani 700 ndani ya kanisa akawaaminisha mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia na wakakubali kuchomwa moto wote hadi kufa huko Kanungu Uganda.
Kibwetere mwenyewe haiweleweki mpaka leo kama alijichoma moto na washirika wake au yeye alichoropoka, mpaka leo amebaki katika listi ya mojawapo wa watu wanaotafutwa sana Uganda.
Nikirudi hapa nyumbani katika video na taarifa ziliozasambaa sana leo ni pamoja na ya Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake akiwasisitiza sana wafuasi wake wakatae chanjo kwa sababu wanaweza kugeuka mazombi.
Ameenda mbali zaidi akiipuzulia mapendekezo ya kamati ya wataalamu wa serikali iliyondwa kumshauri Rais katika suala la Corona.
Njia inayoonekana bora katika kukabiliana na Corona mpaka sasa ni chanjo, ikiwa Gwajima atasikilizwa na kutiliwa maanani na maelfu ya watu katika makundi hatarishi ya kupata na kufa kwa korona atakuwa hana tofauti na Kibweteere wa Uganda

Mimi sioni sababu ya kumfuata kibwetere Gwajima.Asitulishe matango Poli.Kanisa lake ni la ufufuo na uzima.Amefufua wangapi tangu lianze.?.Anayetaka kuchanja achanje.na asiyetaka ruksa
Pamoja na yote, tumepoteana zaidi tokea awamu ile. Tulipo ni kama tumemwagiwa petroli. Akitokea mvuta sigara na moto wake karibu inaweza kuwa hatari kubwa.
Walioko madarakani walikuwa na dhamana kubwa ya kuiondoa hali hii wala si kuipalilia.
Mtumishi wa Mungu yupo sahihi, hili swala la Corona tuendelee kumuomba Mungu atuepushe nalo
Maana hatujui hao wazungu wana mpango gani na sisi, hata viongozi wetu ni kuwa nao makini sana na kuzidi kuwaombea Mungu awe kiongozi wao
umeshaambiwa chanjo ni hiari.sasa hapo shida iko wapi.Soma machapisho huko amerika.utakuta watu wako huru kuhamasisha kukataa chanzo hizo.wewe tu unaona tabu watu wakitoa elimu huru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.