#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Ule wa kwanza ulikuwa ukwel, ila huu wa pili, Ni mpango(plan) ambayo cash ndo inawafanya waiendeshe, acha kucheza na fedha mkuu.. 570$
 
Ni muhimu sana kujua aina ya hizo chanjo na i)ubora wake kwa aina zote za COVID 19 ii)Madhara yake ya muda mfupi na ya muda mrefu ili tujue aina bora au tuamue kilicho sahihi

Tukumbuke kila dawa inayotibu huwa ina madhara yake kwa mtumiaji lakini dawa haiwezi kuwa dawa bila effectiveness ya dawa hiyo kuthibitika kwa kuzingatia viwango vya afya vilivyowekwa

Tukumbuke pia kwa wenzetu zinakotoka chanjo kuna waliochanjwa na bado wanaugua


Your browser is not able to display this video.



Mungu ibariki Tanzania 🙏
 
..lakini msimamo wa SERIKALI ni kwamba chanjo za covid-19 ni salama.

..sasa Gwajima anaposema polisi na wanajeshi wasichanjwe ana maana gani?

..hudhani kuwa amevuka mipaka kuizungumzia serikali na vyombo vya ulinzi na usalama namna hiyo?
Ni salama kwa Nan?? Nan kathibitisha?? Lin? Wap? Kiongz yupi wa ngz za juu amechanjwa?? Au ndo Yale maigizo yakina nanillliiiii??
 
Achana naye nawewe nenda kajitokeze utetee kivyako.
 
Ngoja nikuoneshe jinsi ulivyo naive......

nime quote baadhi ya maneno yako kama ifuatavyo...........uliandika hivi "Serikali ndio inayofanya kazi ya kujua kipi ni salama kwa wananchi wake, kama serikali na vyombo husika vikisema kitu ni salama, serikali za nchi nyingine zikasema ni salama, taasisi nyingine za kimataifa zikasema ni salama then who are you kupinga bila evidence ?"

Sasa naomba ukachukue kasha la kuhifadhia sigara yoyote iliyotengenezwa hapa Tanzania,utaona kuna maandishi makubwa yanasema "UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO",halafu pembeni ya kasha hilo kuna nembo ya TBS imepigwa hapo juu ya kasha,

Je,unaweza kunieleza kwanini TBS wamekubali kuthibitisha matumizi ya kitu ambacho hata aliyekitengeneza anakubali kwamba ni hatari kwa matumizi?

Nimekupa evidence kama ulivyotaka,maana najua utauliza evidence,sasa kafanye kama nilivyokwambia ili wewe mwenyewe ujionee hiyo evidence,ukishafanya hivyo rudi tena hapa niite nikupe elimu labda naweza kukuokoa na ujinga ambao unaweza kukusababishia madhara makubwa kwako au kwa uwapendao sasa au baadaye.
 
Kwenye uzi wa Elli M aliouanzisha jana uhusu chanjo, niligundua kitu. Kuna baadhi ya bavicha walianza kuziponda chanjo zilizoletwa na CCM wakidai kuwa zina madhara, nikawa nashangaa kwakua siku sio nyingi walikuwa wanadai chanjo zije Ili wao wachanjwe haraka na yeyote yule aliyejitokeza kuhoji usalama wa zile chanjo alioneka kuwa Sukuma gang😂.


Kwa alichokizungumza Gwajima atapondwa sana na baadhi ya Bavicha hapa,ila hata wao kimsingi wanaziogopa sana hizo chanjo.
 
Tapeli Gwajima kashindwa kumfufua Magu, Bora mwizi wa kuku kuliko mwizi mtumia dini.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Huu ni uongo na upotoshaji wa hali juu unaotaka kuuelza hapa. Serikali haijawahi kupotosha kuhusu UVIKO -19 (CORONA - 19) bali likuwa inatoa wananchi wake HOFU, WASIWASI NA WOGA juu ya UVIKO-19 na hivyo kuwatayarisha katika mapambano dhidi ya gonjwa hili na KUWA RUDISHA WATU WAMTEGEMEE MUNGU WAO! Hili nalo ni uongo au upotoshaji? Kila kiongozi huwa na approach na Imani kwa Mungu wake ili aiponye nchi (sasa hili ni la KIIMANI ZAIDI) kama wewe humuamini Mungu basi!
 
Mkuu umeandika VIZURI ,ila pia ,nitoe shukrani KWA Mungu, maana Kuna kipindi uliandika kua na changamoto ya kiafya, nami ,nilisema KWA kuombea kwamba kuugua Sio kufa utarudi ukiwa mzima na imekua,


Usiache mtegemea Mungu katika wakati wote mgum kwako , Yeye anajua kesho yetu, karibu tena mkuu
 
Tapeli Gwajima kashindwa kumfufua Magu, Bora mwizi wa kuku kuliko mwizi mtumia dini.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Jenga hoja kulingana na mada iliyotajwa,acha personal attacks na ushabiki wa kijinga.

Kama ni hivyo acha na mimi nikuulize kitu, Gaidi Mbowe yuko wapi?
 
Umefufuka?
 
Wewe na Gwajima wote ni vigugeu! Hivi karibuni ulikuja humu kuaga kuwa unakaribia kufa!? Ingefaa kwanza kabla hujamnyooshea mwenzio kidole utueleze nini kimekufanya uwepo hapa leo
 
Sijui vyombo vya dola viko wapi kumdhibiti huyu. Kwani Serikali ilisema kuwa chanjo inahitaji kura ya maoni hadi yeye kupiga kampeni ya hapana?
 
Uingereza kuna mjadala unaendelea na wao hawataki kupata chanjo kwani asilimia 69 ya wanaopata corona ni wale waliopata chanjo ila kwa sababu sisi huku tumekuwa watu wa majaribio tusubiri kufanyiwa majaribio
 
Waumini mazuzu wanasimama na kupunga mkono hehehh
 
Bwashee kauli ya Ngwajima haina tofauti na ugaidi labda ni kwa vile imetolewa na mwanafamilia mwenzetu.
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…