Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wa kwanza ulikuwa ukwel, ila huu wa pili, Ni mpango(plan) ambayo cash ndo inawafanya waiendeshe, acha kucheza na fedha mkuu.. 570$Serikali ndio ilikuwa ya kwanza kupotosha wananchi wake, ndio maana sasa inakuwa ngumu kueleweka!!na wale wapotoshaji ndio hao hao leo wanaipigia debe!!hayo ni mawazo potofu tu kuwa eti wanajeshi wachanjwe kwa majaribio!!ina maana hizo nchi nyingine walizochanja wanajeshi, hawana akili kama tayari mmshekubali chanjo?!!hao manesi , madaktari polisi hawana umuhimu kwa taifa?!!
Ni salama kwa Nan?? Nan kathibitisha?? Lin? Wap? Kiongz yupi wa ngz za juu amechanjwa?? Au ndo Yale maigizo yakina nanillliiiii??..lakini msimamo wa SERIKALI ni kwamba chanjo za covid-19 ni salama.
..sasa Gwajima anaposema polisi na wanajeshi wasichanjwe ana maana gani?
..hudhani kuwa amevuka mipaka kuizungumzia serikali na vyombo vya ulinzi na usalama namna hiyo?
Achana naye nawewe nenda kajitokeze utetee kivyako.Punguza jazba , leo GWAJIMA ,anaponda chanjo KWA hoja nyepesi Sana kana vile wazungu hawatupendi , hivi GWAJIMA si anawatoto, na je hawakuwai kuchanjwa chanjo , ukiachana na Yeye mwenyewe kwamba Hana kovu la BCG kwenye bega lake la kulia,? Na Kama ndivyo izo chanjo zilitengenezwa na nani? Leo ndo anaona chanjo Zina madhala
GWAJIMA ANASEMA madactari wanao shabikia chanjo ya Cov 19 watakufa, hakuna Mungu wa ivyo, naungana na mtoa mada, GWAJIMA ni MNAFIKI, leo anajiona ni mtakatifu mbele za bwana, wakati ubunge kapata KWA njia ya dhuluma, Mungu wake ni yupi anaependa dhuluma?
Kama ni mtumishi wa Mungu Alie hai ,ajiuzuru ubunge,na akatubu
Watz fulsa ya chanjo Kama ipo tukachanje, GWAJIMA na waumini wake hawalazimishwi , ila asipotoshe watanzania,
Ngoja nikuoneshe jinsi ulivyo naive......Maandiko ya kisayansi yapo yanayoelezea jinsi chanjo inavyofanya kazi na composition yake na hata majaribio yaliyofanyika kuweza kujiridhisha ufanisi wake....serikali kupitia vyombo vyake husika ndio ina uwezo wa kuhakiki kilichomo...wewe unafahamu chemical composition ya coca cola ?
Unafahamu hasa kiasi cha electromagnetic waves zinazotoka kwenye simu yako kama ni salama ?
Serikali ndio inayofanya kazi ya kujua kipi ni salama kwa wananchi wake, kama serikali na vyombo husika vikisema kitu ni salama, serikali za nchi nyingine zikasema ni salama, taasisi nyingine za kimataifa zikasema ni salama then who are you kupinga bila evidence ? Kama ukisema kisitumike basi weka ushahidi katika mfumo wa andiko la kisayansi ambapo wanasayansi wengine watajifunza kutoka kwako ama kukukosoa.
Mkuu umeandika VIZURI ,ila pia ,nitoe shukrani KWA Mungu, maana Kuna kipindi uliandika kua na changamoto ya kiafya, nami ,nilisema KWA kuombea kwamba kuugua Sio kufa utarudi ukiwa mzima na imekua,Njia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
Jenga hoja kulingana na mada iliyotajwa,acha personal attacks na ushabiki wa kijinga.Tapeli Gwajima kashindwa kumfufua Magu, Bora mwizi wa kuku kuliko mwizi mtumia dini.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Umefufuka?Njia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
Wewe na Gwajima wote ni vigugeu! Hivi karibuni ulikuja humu kuaga kuwa unakaribia kufa!? Ingefaa kwanza kabla hujamnyooshea mwenzio kidole utueleze nini kimekufanya uwepo hapa leoNjia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
Sijui vyombo vya dola viko wapi kumdhibiti huyu. Kwani Serikali ilisema kuwa chanjo inahitaji kura ya maoni hadi yeye kupiga kampeni ya hapana?Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo.
Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo.
Askofu Gwajima amewataka wafuasi wake na wapiga kura wa jimbo la Kawe wakatae kabisa kuchanja kwa sababu watapata hasara kubwa sana maishani.
" Naikataa kabisa chanjo ya Corona " amesisitiza baba askofu.
Chanzo: Mtandao wa You tube!
Ni salama kwa Nan?? Nan kathibitisha?? Lin? Wap? Kiongz yupi wa ngz za juu amechanjwa?? Au ndo Yale maigizo yakina nanillliiiii??
Huna akiliNi muhimu sana kujua aina ya hizo chanjo na i)ubora wake kwa aina zote za COVID 19 ii)Madhara yake ya muda mfupi na ya muda mrefu ili tujue aina bora au tuamue kilicho sahihi
Tukumbuke kila dawa inayotibu huwa ina madhara yake kwa mtumiaji lakini dawa haiwezi kuwa dawa bila effectiveness ya dawa hiyo kuthibitika kwa kuzingatia viwango vya afya vilivyowekwa
Tukumbuke pia kwa wenzetu zinakotoka chanjo kuna waliochanjwa na bado wanaugua
View attachment 1868906
Mungu ibariki Tanzania 🙏