#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Gwajima ambaye hawezi kuelewa hata ingredients za aspirin ataelewaje ingredients za chanjo ?!
Kbisa mkuu Gwajima corcern yake nikujua ile chanjo ipo na component gani na athari yake ni ipo kwasasa na kwa muda ujao .
 
Gwajiboy angekuwa hayuko upande tawala ungesikia hajalipa ada za Rita,pia hajahuisha wadhamini wa kanisa nakukaguliwa akauti.
Chezea CCM wewe
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Wewe chanjwa Tu shida nn ambao hatutaki chanjo tuacheni nasisi

Chanjo ni hiari mkuu ndiyo maana hakuna anayelazimishwa kuchanjwa au kutochanjwa.

Tofautisha kuchanjwa na elimu kuhusu chanjo.

Elimu kuhusu chanjo ni kwa mujibu wa kauli za serikali. Unataka chanjo hutaki chanjo tahadhari zingine zote pia ni kwa mujibu wa kauli ya serikali.

Kuhamasisha watu kukiuka kauli ya serikali kuhusu Corona ndiyo msingi wa mada.

Kwa hilo Gwajima anakosea na anapaswa kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Cc: Jumbe Brown
 
Hakuna kosa mtu akitoa maoni yake ilihali hajavunja sheria.

Mnapenda kusikia tu mnacho kipenda.
 
Mbona siku hizi za Korona wajinga mmeongezeka saana,

Jinga kabisa, Kanisa lifungwe kwa sababu zipi, Yule anahubiri kile kilichoko kwenye kitabu chake, na kitabu chake kinasema, hata baba yake mzazi akimzuia kuhubiri anaouhuru wa kumuona ni kama siyo baba yake tena, na huyo unayemsema, atausimamia ukweli wa kitabu anachokiamini na yuko tayari kukifia, utamtisha nini hapo?

Biblia ilionya juu ya siku za mwisho kwamba kutakuweko na chapa ya shetani na chapa hiyo ya shetani kwa atakayeikataa ataandamwa, hatauza wala kununua, atatengwa kama yatima, atateswa, lakini avumiliaye Hadi mwisho,huyo ataokoka

halafu wewe unaandika ujinga tu, mimi mwenyewe hapa stochanjwa na liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…