#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Kufungia kanisa lake ni kumpa kiki,ACHA waumini wake wajibebe, ili Hali siku ya mwisho KILA mtu atachimbiwa kaburi lake,na ataukumiwa kivyake, ACHA WAPUMBAVU WAENDELEE KUA WAPUMBAVU

Hakuna wa kubeba mzigo wa mwanzako siku ukifika ,utajipagania mwenyewe, that's hakuna kufa na ukarudi,ukirudi Basi hata akili haiwezi kua sawasawa ,siri ya mungu ni ya ajabu sana
 
shida yako ni nini? ni chanjo? si wamesema hiari? wewe nenda taratibu kapigwe chanjo kwasababu unataka, wasiotaka waache kama walivyo, hata maza alisema ile ni "hiari", sio lazima. sasa shida yako nini?
 
Kinga au Dawa ya Ukimwi (HIV) imetoka lini?.
Tumia akili basi, siyo kila kitu lazima aje mzungu akwambie, toka kuwepo kwa magonjwa hatari ya kushtukiza ni ugonjwa gani ambao dawa/kinga yake ilivumbuliwa kwa haraka na dunia kuipokea kwa mikono miwili pasi shaka kama hii?.
 
Umeandika upumbavu sana, acha kuchanjwa, kuna ofisi hutaingia, utakuwa unaingia chooni kwako tu, nani umuachia maugonjwa yako?
 
Mkuu upo??
Watu walisema umefariki mkuu??
Binadam wabaya Sana

Unaendeleaje lkn kuna siku umetuaga hapa jukwaani
Nmecheka nikakumbuka ule uzi. Nilipoanza kusoma nilikuwa najiuliza hivyo na mimi.
 
Gwajima Ni mtu hatari Sana katika hii Nchi,mama atoe go ahead apate dawa yake mshenzi huyo
 
Mimi nataka polisi wote wachanjwe hata wakifa hakuna hasara ya taifa hapo ni sherehe
 
Sahihi kabisa....

Nchi iko vitani dhidi ya UVIKO halafu mtu asiye na uelewa na mambo ya afya anapotosha tu mambo kwa sababu za kiimani na "conspiracy theories"....😲🤣

It's terrible.....

#TujitokezeTuchanjwe
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Acha ushabiki wewe, hivi unatumia mind yako vizuri. Kwani kuchanjwa ni lazima. Si ukwende kuchanjwa hukooooo
 
Kilaza mkubwa wewe!! hujaona kilichotahadharishwa na hicho kitabu anachokihubiri askofu Gwajima? ndicho hicho unachojitapa eti mtu ambaye hana chanjo hataingia baadhi ya ofsi, wewe unaona hicho tu,bado hatasomesha watoto wake, hatanunua aridhi, hatafanya biashara, hatasafiri, hataruhusiwa kujichanganya na wengine, wewe unaona kuingia ofisini tu, Hayo ni lazima yaje ili kubakie walioyakana maisha yao, ambao wako tayari kwa kuifia Imani licha ya mateso kama hayo ila si kwa kuipokea chapa ya shetani, Kina Gwajima wako maelfu ambao wako tayari kwa hayo na zaidi, hata huko US wako ambao wameachishwa kazi kwa kukataa chapa hiyo ya mnyama,

Hata ukiishi miaka mia, lakini mwisho wake si ni kufa?

kwanza wewe kinakuuma nini na maisha ya wanaotaka wafe kwa kukataa chanjo mjinga wewe?
Umeandika upumbavu sana, acha kuchanjwa, kuna ofisi hutaingia, utakuwa unaingia chooni kwako tu, nani umuachia maugonjwa yako?
[/QUOTE
 
Hospitali zinatumia janga la Corona kumaliza matatizo ya muda mrefu,nimefanya kazi ktk hospital moja kubwa ya rufaa,mitungi ya Oxygen ilikuwa haitoshi,hi inaitwa mgeni njoo mwenyeji apona.
 
Huyu Gwajima ni mtu hatari huyu ni gaidi kabisa.
 
Mkuu mimi nimeshakata tamaa ná huyo mama. Asipofanya mabadiliko ya nguvu ya Baraza la Mawaziri kuwatema Majaliwa, Mwigulu, Gwajima, Ndugulile, Ummy na labda wachache wengine wa timu mwendazake basi dharau yao kwake itakuwa kubwa sana.
mama anatakiwa awe kauzu aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reactions: BAK
Haya maswali watetezi wa chanjo ndo wanatakiwa watupe majibu,siyo upupu wa kupinga alichosema Gwajima,au kusema tu asiyetaka asichanjwe.
 
Sahihi kabisa....

Nchi iko vitani dhidi ya UVIKO halafu mtu asiye na uelewa na mambo ya afya anapotosha tu mambo kwa sababu za kiimani na "conspiracy theories"....😲🤣

It's terrible.....

#TujitokezeTuchanjwe
#NchiKwanza
#KaziIendelee

Ilikuwa muhimu serikali ikatambua rasmi na hadharani:

1. kuwa awamu ya tano ilipotoka kwa kuchanganya siasa na Corona na yote yahusianayo na ugonjwa huo.
2. kuwa jitihada zisizochoka za Mh. Freeman Mbowe kuhimiza Corona kutofanyiwa usanii wa kisiasa zilikuwa ni za kizalendo.
3. umuhimu wa kuzuia hamasishaji haramu zote kuhusu Corona na chanjo zikiwamo hizi porojo za askofu Rashid.
4. msimamo wake ya kutumia nguvu ikibidi ili kuona maisha ya wananchi wake yanalindwa na kutofanyiwa ajizi na yeyote.

Au nasema uongo ndugu yangu Jumbe Brown ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…