4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kufungia kanisa lake ni kumpa kiki,ACHA waumini wake wajibebe, ili Hali siku ya mwisho KILA mtu atachimbiwa kaburi lake,na ataukumiwa kivyake, ACHA WAPUMBAVU WAENDELEE KUA WAPUMBAVUNashangaa serikali inalea taasisi za hovyo kabisa kama kanisa la Gwajima, amekuwa akitoa kauli za kuhatarisha amani ya nchi lakini anaachwa tu kana kwamba nchi haina sheria.
Huyu alisikika akitoa kauli kwamba aunde kundi la wasukuma ndani ya serikali, na ahamasishe wasukuma wawe kabila la kuitawala nchi hii, je, kanisa lake lina malengo ya ukabila? Sheria ya usajili wa makanisa inaruhusu hilo? Msajili wa makanisa yuko wapi kuchukua hatua!
Juzi juzi tu alisikika akikashifu uislamu, amekashifu viongozi,anafanya siasa kanisani na serikali inamwangalia, siasa za kibaguzi, za kichawi, zinazohatarisha amani ya nchi!
Leo anamkashifu Rais wa nchi, anakashifu serikali nzima, watu wako kimya! Serikali ifute kanisa hili, ukidharau mwiba,mguu huota tende
Kikanisa hichi cha mtu mmoja chenye watu wasiofika 5000 kiharibu amani na ustawi wa watu milioni 60? Hivi usajili wake ukifutwa kuna hata vumbi yao itaonekana?
Tunahitaji serikali iingie kazini kupambana na huyu muhaini, haikubaliki, hii nchi ina serikali, huyu muhuni mmoja asituharibie nchi
Rwanda wanawadhibiti wahuni kama hawa kwa maslahi ya nchi,nchi kwanza
Hakuna wa kubeba mzigo wa mwanzako siku ukifika ,utajipagania mwenyewe, that's hakuna kufa na ukarudi,ukirudi Basi hata akili haiwezi kua sawasawa ,siri ya mungu ni ya ajabu sana