#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Huyo jamaa alifaulu mno kuicheza ile filamu ya ngono kudadadeq! Alikata uno huku anatukania
 
Sasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?

Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
 

Wewe unajuaje hizo chanjo za watoto hazina madhara?
 
Kwahiyo wamarekani au tuseme arsenal ya kijeshi inatishwa na /wanawaogopa wanajeshi wa Tanzania mpaka waweke "kitu" kwenye chanjo?
 
Dah yani corona imekuwa kipaumbele, why??
 
Wao hawahitaji usalama DA AF ya sao,na je waoni bora kuliko wstanzaznia we fine?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wataalamu wetu toeni majibu ya Mtanzania mwenzetu ndg Gwajima

Kumshambulia bila kutolea majibu ya maswali yake, kwa haraka haraka, nyinyi ndio vilaza

Tunaona mashambulizi yamekuwa mengi mengine yakitoka kwa watu waliosomea biashara hawajui chochote kuhusu mfumo wa viumbe hai, Hao tunawaita, watetezi wa biashara hii!!

Ina maana Hatuna watu ambao wanaweza kujibu hoja za Gwajima?

Na kivipi achukuliwe kama anakosea na wakati huu ndio muda mzuri wa kuhoji juu ya msitakabali wa maisha yetu ya sasa na yajayo kuhusu Chanjo?
 
Wabongo kwa kujitia ujuaji, hizi chanjo zipo dunia nzima jamani. Kampuni zinazotoa chanjo zinajulikana zote j&j, feizer, moderna n.k. Ni mambo ya kugoogle tuu kidogo kujua ni watu wangapi washachanja na wamepata madhara gani.

Takriban nchi zote walioko mstari wa mbele ndio wanaonza, kutokana na wao kuwa more exposed. Utaratibu huu umetumika nchi zote, TZ sio ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…