Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?Sio wanajeshi tu bali watanzania wote wanatakiwa wapewe elimu kuhusu madhara ya hizi chanjo inayopigiwa upatu.
Nikichanjwa naweza kuambukizwa? Ndio [emoji1787][emoji1787]
Nikichanjwa naweza kuambukiza? Ndio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikichanjwa napaswa kuvaa barakoa? Ndio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikipatwa na madhara ya hiyo chanjo serikali itawajibika? Hapana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania tukatae kwa nguvu hizi chanjo kwa wakati huu wa majaribio! Kataa kutolewa kafara
Wataharibika na nini?..awa wazungu wangetaka kutuharibu wangeanza na chanjo za watoto wetu hebu fikiria sahv watoto wachanga wanachomwa sindano za chanjo za mapaja 3 kwa miez mitatu mfulululizo jumlsha na za mabega ,hivi siwangeanza na watoto wetu,tuachen fikra potofu,pia madawa tunayotumia toka enz za mwalim huko mahospital inamana wakishindwa kutuharb kote huko
Ndio maswali tunatakiwa tujiulize na tuwaulize viongozi wanaoipromotiSasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?
Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
Changamoto wallahSasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?
Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
Wewe toka ulivochomwa umepata madhara gani?? Tuanzie hapoWewe unajuaje hizo chanjo za watoto hazina madhara?
Kwahiyo wamarekani au tuseme arsenal ya kijeshi inatishwa na /wanawaogopa wanajeshi wa Tanzania mpaka waweke "kitu" kwenye chanjo?Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.
Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.
Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.
Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.
Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.
Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.
Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.
Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Hawanaga majibu hawa zaidi ya ujanja ujanja tu.Ndio maswali tunatakiwa tujiulize na tuwaulize viongozi wanaoipromoti
Wewe toka ulivochomwa umepata madhara gani??
Sijui.Kwahiyo wamarekani au tuseme arsenal ya kijeshi inatishwa na /wanawaogopa wanajeshi wa Tanzania mpaka waweke "kitu" kwenye chanjo?
Dah yani corona imekuwa kipaumbele, why??Point... Kuna hoja muhimu zinazohitaji majibu na ufafanuzi
1. Chemical content zilizomo ni zipi?
2. Effects zake ni nini? (Long term na short term)
3. Chanjo tunayochanjwa watu weusi ni sawa na wanayochanjwa watu wa dunia ya kwanza? Kama siyo, kwanini?
4. Chanjo watakayochanja wakubwa zetu ndo tutayochanjwa akina kajamba nani?
5. Kwanini serikali inayotuaminisha kuwa chanjo ni salama wanajitoa kudhamini chanjo hii? Kuwa madhara utayopata wao hawahusiku?
6. Any scientific proofs kuwa tz wamefanya utafiti wa kimaabara na kuonyesha kuwa chanjo hii ni safe?
7. Kwanini movement ya corona inakuwa kubwa sana kipindi hiki? Yaani hatupumui, tukilala corona, tukiamka corona. Kuna nini nyuma ya pazia?! Serikali nzima sasa wimbo ni corona corona corona.
Wao hawahitaji usalama DA AF ya sao,na je waoni bora kuliko wstanzaznia we fine?Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.
Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.
Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.
Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.
Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.
Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.
Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.
Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Hizi chanjo kwa wazungu ni za kawaida sana ila kwa mtu mweusi kifua cha kubana na mafua haviitaji chanjo sema wana jambo lao tu ndio maana wanapambana kuzileta.Sasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?
Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
Kwahio unataka kusema toka umezaliwa hujawahi pata chanjo yoyote,? Ambacho nikitu kisichowezekanaNilivyochomwa wapi?
Akili za Pa ya hizoSasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?
Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
Zipi?
Wabongo kwa kujitia ujuaji, hizi chanjo zipo dunia nzima jamani. Kampuni zinazotoa chanjo zinajulikana zote j&j, feizer, moderna n.k. Ni mambo ya kugoogle tuu kidogo kujua ni watu wangapi washachanja na wamepata madhara gani.Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.