#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Huyo jamaa alifaulu mno kuicheza ile filamu ya ngono kudadadeq! Alikata uno huku anatukania
 
Sio wanajeshi tu bali watanzania wote wanatakiwa wapewe elimu kuhusu madhara ya hizi chanjo inayopigiwa upatu.

Nikichanjwa naweza kuambukizwa? Ndio [emoji1787][emoji1787]

Nikichanjwa naweza kuambukiza? Ndio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikichanjwa napaswa kuvaa barakoa? Ndio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikipatwa na madhara ya hiyo chanjo serikali itawajibika? Hapana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watanzania tukatae kwa nguvu hizi chanjo kwa wakati huu wa majaribio! Kataa kutolewa kafara
Sasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?

Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
 
Wataharibika na nini?..awa wazungu wangetaka kutuharibu wangeanza na chanjo za watoto wetu hebu fikiria sahv watoto wachanga wanachomwa sindano za chanjo za mapaja 3 kwa miez mitatu mfulululizo jumlsha na za mabega ,hivi siwangeanza na watoto wetu,tuachen fikra potofu,pia madawa tunayotumia toka enz za mwalim huko mahospital inamana wakishindwa kutuharb kote huko

Wewe unajuaje hizo chanjo za watoto hazina madhara?
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.

Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.

Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.

Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.

Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.

Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.

Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.

Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Kwahiyo wamarekani au tuseme arsenal ya kijeshi inatishwa na /wanawaogopa wanajeshi wa Tanzania mpaka waweke "kitu" kwenye chanjo?
 
Point... Kuna hoja muhimu zinazohitaji majibu na ufafanuzi

1. Chemical content zilizomo ni zipi?
2. Effects zake ni nini? (Long term na short term)
3. Chanjo tunayochanjwa watu weusi ni sawa na wanayochanjwa watu wa dunia ya kwanza? Kama siyo, kwanini?
4. Chanjo watakayochanja wakubwa zetu ndo tutayochanjwa akina kajamba nani?
5. Kwanini serikali inayotuaminisha kuwa chanjo ni salama wanajitoa kudhamini chanjo hii? Kuwa madhara utayopata wao hawahusiku?
6. Any scientific proofs kuwa tz wamefanya utafiti wa kimaabara na kuonyesha kuwa chanjo hii ni safe?
7. Kwanini movement ya corona inakuwa kubwa sana kipindi hiki? Yaani hatupumui, tukilala corona, tukiamka corona. Kuna nini nyuma ya pazia?! Serikali nzima sasa wimbo ni corona corona corona.
Dah yani corona imekuwa kipaumbele, why??
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.

Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.

Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.

Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.

Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.

Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.

Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.

Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Wao hawahitaji usalama DA AF ya sao,na je waoni bora kuliko wstanzaznia we fine?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wataalamu wetu toeni majibu ya Mtanzania mwenzetu ndg Gwajima

Kumshambulia bila kutolea majibu ya maswali yake, kwa haraka haraka, nyinyi ndio vilaza

Tunaona mashambulizi yamekuwa mengi mengine yakitoka kwa watu waliosomea biashara hawajui chochote kuhusu mfumo wa viumbe hai, Hao tunawaita, watetezi wa biashara hii!!

Ina maana Hatuna watu ambao wanaweza kujibu hoja za Gwajima?

Na kivipi achukuliwe kama anakosea na wakati huu ndio muda mzuri wa kuhoji juu ya msitakabali wa maisha yetu ya sasa na yajayo kuhusu Chanjo?
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.

Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.

Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.

Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.

Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.

Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.

Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.

Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Wabongo kwa kujitia ujuaji, hizi chanjo zipo dunia nzima jamani. Kampuni zinazotoa chanjo zinajulikana zote j&j, feizer, moderna n.k. Ni mambo ya kugoogle tuu kidogo kujua ni watu wangapi washachanja na wamepata madhara gani.

Takriban nchi zote walioko mstari wa mbele ndio wanaonza, kutokana na wao kuwa more exposed. Utaratibu huu umetumika nchi zote, TZ sio ya kwanza.
 
Back
Top Bottom