#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Kwa siasa zilivyo nchi sahau kama Mbowe atastaafu.

Atalazimishwa kuchukua fomu
 
Mange kimambi anarudi na atakuwa mwenyekiti wao
 
Kipindi corona ipo China marekani kupitia Donard Trump walisema ni fursa kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu hoja unazijua long term side effects?
Kwanini Serikali imejitoa kuhusika na madhara yoyote yakitokea baada ya kuchanjwa? Ni sawa na mzazi anawaletea watoto chakula,halafu kabla hawajala anawaambia mkipatwa na madhara kwenye chakula hicho Simo ,atakuwa na akili.kweli?
Yule mnafiki wa Kawe amehamia huku? Huyu mtu wanamwachaje anataka kuchezea vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kutia hofu na uchochezi?
J
 
Ukimsikiliza vizuri utamwelewa.
Chanjo hii bado haina usalama kwa kuthibitika..]
Chanjo zote huko nyuma ulizochanjwa au walizochanjwa watoto wako unajua usalama wake?

Nenda kapige chanjo .... la utajikuta chini futi sita!!
 
Naona mbowe alikuwa hana dalili ya kuondoka chadema uenyekiti sasa hatimaye dawa yake imepatikana ...
 
tutajua akishaondoka, kwa sasa ajenda ni KATIBA MPYA - maana kiini cha matatizo yote tuliyonayo ya kisiasa, kiuchumi na hata kijamii yanatokana na Katiba, tunakwenda kutibu CHANZO.
 
Vipi hao mbwa wenu wameshamuwekea ile sumu tayari?
 
Wewe dada hebu olewa basi. Utapuyanga mpk lini? Una watoto wawili kila mtu na babake huoni aibu??
 
Heri James atakuwa mwenyekiti mpya wa Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…