Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juliana Shonza you're so obsessed with Chadema ww msaliti.Ndugu zangu,
Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya Chadema unaisha....
Jibu kwa hoja siyo kuita watu wapumbavu wakati hata hujui nini kinaendeleaAkina amfifiro?wewe ni mpumbavu wa mwisho kwahiyo unadhani hizi ni propaganda kama hizo zenu nyie mawakala wa bilgate?
JYule mnafiki wa Kawe amehamia huku? Huyu mtu wanamwachaje anataka kuchezea vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kutia hofu na uchochezi?
Wakiharibika ndiyo watakuwa wamefanya kazi yao ya kutulinda wananchi.Wakiharibika?
Chanjo zote huko nyuma ulizochanjwa au walizochanjwa watoto wako unajua usalama wake?Ukimsikiliza vizuri utamwelewa.
Chanjo hii bado haina usalama kwa kuthibitika..]
Hahahaaaa Mwigullu tena?!!Juliana Shonza you're so obsessed with Chadema ww msaliti.
Anayefaa kuongoza Chadema ni mchepuko wako Mwigulu Madiluu
tutajua akishaondoka, kwa sasa ajenda ni KATIBA MPYA - maana kiini cha matatizo yote tuliyonayo ya kisiasa, kiuchumi na hata kijamii yanatokana na Katiba, tunakwenda kutibu CHANZO.Ndugu zangu,
Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaisha.
Alianza mwenyewe kusema kuwa ataondoka mwaka 2023 lakini sasa msukumo toka ndani ya wahafidhina umeshika kasi.
Ni wakati muafaka sasa kujua wana - Chadema mbadala watakao weza kushika nafasi ya Uenyekiti na kuendesha siasa zenye manufaa mapana ya Taifa.
Mjadala upo wazi, karibuni.
Vipi hao mbwa wenu wameshamuwekea ile sumu tayari?Ndugu zangu,
Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaisha.
Alianza mwenyewe kusema kuwa ataondoka mwaka 2023 lakini sasa msukumo toka ndani ya wahafidhina umeshika kasi.
Ni wakati muafaka sasa kujua wana - Chadema mbadala watakao weza kushika nafasi ya Uenyekiti na kuendesha siasa zenye manufaa mapana ya Taifa.
Mjadala upo wazi, karibuni.
Wewe dada hebu olewa basi. Utapuyanga mpk lini? Una watoto wawili kila mtu na babake huoni aibu??Ndugu zangu,