#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Point. Kuna hoja muhimu zinazohitaji majibu na ufafanuzi

1. Chemical content zilizomo ni zipi?

2. Effects zake ni nini? (Long term na short term)...
Maswali ya muhimu sana hayo.

Madaktari wetu wapime contents za hiyo chanjo kwa umakini mkubwa ili watupe jibu moja linaloeleweka kuwa hiyo chanjo inafaa au haifai. BASI

Kwanza mpaka muda huu tulipaswa tuwe tumepata majibu kutoka kwa madaktari wa hapa nchini kwetu. Sijui wanasubiri nini au uzembe tu wa kawaida wa kibongo.

Haya mengine hayana umuhimu ni maneno tu
 
Tatizo lililopo ni kuwa siasa ndo inaamua majibu ya kila kitu... Kuna vitu matabibu walipaswa kuvifanyia kazi badala yake wanasiasa kwa maslahi ya gizani... Narudia, kwa maslahi ya gizani ndo kwanza wapo bize kupigia chapuo Western methods za ku-deal na corona...

Binafsi imani kwa wakubwa wetu wa ki-siasa imekwisha kabisa... Wale ambao juzi walituaminisha kwa miti shamba na kutuaminisha walikuta papai lina corona siyo hawa walio bize na mabarakoa usiku mchana.

Naingiwa hofu kwenye chanjo kikitokea cha kutokea wataruka futi mia kugeuka kuwa si wao walioiokota huko na kutuletea... So sad and it's so shameful asee.

#pray4tz
 
Chanjo inaitwa "experimental vaccine" Ingawa sasa hivi kuna confusion kidogo kwa sababu imeanza kuitwa " 'emergency authorized vaccine'. Chanjo hii ni ya hiari,isipokuwa tu hakuna sababu ya kuwatisha watu kupita kiasi.

Serikali ya Tunisia,Waziri Mkuu amejiuzulu,serikali imeanguka kwa saba bu watu hawataki chanjo na lockdown.
Strictly speaking,rais wetu hapaswi kutumia chanjo ya majaribio. Ni raia tu ndio wanapaswa kuambiwa watumie chanjo kwa hiari yao.
Kwa mtu ambaye umri wake ni chini ya miaka 65,chanjo haipaswi kuwa ya lazima kwa sababu covid-19 siyo tishio kubwa kwake.

Haya ndiyo mambo inasemekana yalimuua Julius. Alisema"Huyu Jimmy Carter ni rafiki yangu,lakini haina maana hawezi kufanya uhuni. Hii chanjo iliyopendekezwa,nipe kwanza mimi halafu ndio uwape Watanzania."

Mimi nina mawazo gani kuhusu chanjo? Watanzania wachanjwe tu kama wanataka.
 
Ukishachanjwa unaingizwa kwenye database ya watu waliochanjwa duniani, hivyo ni rahisi tu kuangalia jina kwenye passport yako au kitambulisho chako chochote na kuingiza kwenye system kuangalia kama upo.

Ingawa inawezekana kufoji, yaani wakaingiza jina lako kwenye database bila kuchanjwa,ila kazi ndio iko hapo ya kushawishi mtu akuingize kwenye database bila kuchanjwa.

na kama wataweka system ya RFID basi huwezi tena kufoji, na hilo ndio lengo lao la baadaye.
 
Mapendekezo.ya kamati ni wachanjwe wa kimapumbele,Afya,Jeshi,polic,magereza

Leo wakuu wa hizo sehemu wameonyesha mfano kwa kuchanjwa hadharani.
 
Mapendekezo.ya kamati ni wachanjwe wa kimapumbele,Afya,Jeshi,polic,magereza

Leo wakuu wa hizo sehemu wameonyesha mfano kwa kuchanjwa hadharani.
kwa dunia yetu ya sasa ilivyo,siamini kama kweli sindano itazama ndani ya mishipa yao ya damu,na hata kama kweli itazama,sidhani kama kimiminika kitakachoingia ni sawa na kile ambacho wananchi wengine wanakwenda kudungwa...

Naona wameanza kutoa vitisho kwa watu eti wanaoitwa wapotoshaji,mimi niko tayari kukamatwa,kwakua najua sayansi na siasa ni vitu viwili tofauti....labda watumie nguvu.

Namkumbuka sana Magufuli kwa hili,sasa hivi viongozi wetu wameshatekwa kwa pesa na vitisho kutoka kwa mabeberu,wanafuata maelekezo ya mabeberu tu,hata baadhi ya viongozi najua wataenda kudungwa chanjo kwa shingo upande kwa maana ndani yao wapo wanaojua ukweli.

Hizi nchi zetu za kiafrika zimeshikwa pabaya sana na wazungu. Kiongozi atakayepingana na sera na nia ovu za mabeberu anauawa,ukiona kiongozi wa nchi za kiafrika anaendelea kudumu kwenye kiti huku akifurahiwa na kusifiwa na wazungu basi mjue hilo ni galasa tu,hamna kitu.

NB 1:Someni kitabu kiitwacho "CONFESSIONS OF AN ECONOMIC HITMAN" cha John Perkins, mtajua kwa undani haya yote yanayotokea sasa kwa viongozi wetu.Hii sio conspiracy kama wengi wanavyodhani, tunaangamia taratibu kwa ujinga tu.

Yaani ni kheri kina chifu Mangungo kwakua walisaini mikataba kwa kudanganywa na wakalimani kuliko hawa viongozi wetu wa sasa wanaotuuza mchana kweupe wakisaini mikataba ya hatari huku wakijua wazi ndani yake kumeandikwa nini.

1. Kuharamishwa kwa mmea wote wa bangi kuanzia mizizi,mti,mbegu hadi majani bila kujali matumizi yake huku wakiruhusu matumizi ya sigara/tumbaku ingawa wameandika "uvutaji wa sigara hatari kwa afya yako" na juu yake TBS wakapiga chapa yao bila kujali onyo hilo, huu ni upuuzi mchana kweupe halafu watu wanajifanya hawaoni hili.

2. Viongozi wetu kushindwa kupinga hadharani sera ya ushoga kwa kuogopa mabeberu, wame-mute ili wasijulikane wako upande gani, huu ni upuuzi mchana kweupe.

3. Kuweka sheria kwa watoa tiba za asili kutotangaza kama wanatibu cancer hata kama ni kweli wanatibu, huu ni upuuzi mchana kweupe na ni jambo la kushangaza sana.

NB 2:Hakuna dalili hata moja ambayo ipo kwenye covid19 lakini haipo kwenye Seasona Flu/influenza, HAKUNA. Dalili zote za UVIKO19 ni za seasonal flu/influenza.

Wenye akili ya kufikiri wataelewa namaanisha nini. Influenza ikipotea na UVIKO19 unapotea,maana umaarufu wa UVIKO19 umejijenga juu ya seasonal influenza kama umaarufu wa HIV/AIDS ulivyojijenga juu ya TB, Madhara ya ARVs, lifestyle nk.

Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
[emoji848][emoji848]View attachment 1872659
 
Ni kwasababu" Gwajiboy" ni kiungo muhimu sana nchini..gwaji anajua siri nyeti kabisaa za nchi hii kwaio mwendazake alkua anaogopa kumkwaza ili gwaji asimwage mchele kwenye kuku wengi ila huo ndio ukweli gwaji anasiri nyeti muhimu sanaa za nchi hii uyu mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…