4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Tulia mkuu, ACHA jazba, GWAJIMA haongei kiroho, ni sarakasi tu , Mungu Sio mwanadam mpaka akutumie hata kwenye dhuluma, hayupo Mungu wa ivyo mkuu , nakubali GWAJIMA WENDA alikua na kitu ndani yake, ila KWa Sasa hamna kitu pale asema bwana, utabisha kisa naongea ukweli, mpaka mda nisemavyo anachaguo moja, na simwambii, ila Kama anae Mungu wa kweli ,Basi ampe jibu vinginevyo ajipange tu, WENDA akaja shangaa wakati ana mda mda na Jambo la kufanya ili kurudisha connection na Mungu wake,
Ila tu aelewe tu huu ni mwanzo akiendelea au shupaza shingo ,ipo siku usipo sema, Basi mawe yatasema,Amin nakwambia
Ila tu aelewe tu huu ni mwanzo akiendelea au shupaza shingo ,ipo siku usipo sema, Basi mawe yatasema,Amin nakwambia
Achana naye nawewe nenda kajitokeze utetee kivyako.