Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani pia tycon wa fasihi hujapata bahati ya kunielewa.Mkuu, umesoma ukaelewa nilichoandika?
Mbona nimeshaeleza kuwa, Huyo Gwajima Kwa nini asiwe na wasiwasi kwenye madawa mengine au Chanjo zingine isipokuwa Chanjo ya Corona yeye ndio kaiona?
Nani alimuambia Dawa zinazoletwa TANZANIA hazifanyiwi uchunguzi mbali na hiyo Chanjo ya Corona??
Au kihere here cha mdomo wake?
Yeye ni vitu vingapi anavitumia yakiwemo madawa yanathibitishwa na Wataalamu wa kitanzania pasipo kelele wala Matangazo?
Kwani hao wanaosema ipo salama wana ushahidi wowote kwamba ipo salama? au kwa kuwa mzungu kasema ipo salama.Mimi simsikilizi mtu ambaye anaongea mambo ya hewani. Ningeweza kumskiliza kama angekuwa na ushahidi wowote kuonyesha jinsi hiyo chanjo iliyoletwa isivyo salama. Otherwise, hizi ni porojo tu. Hana justification yoyote ya kile anachokisema. Kwa hiyo, kwa mtu kama huyu natumia 'methodical doubt' ya mwanafalsafa wa Kifaransa René Descartes kutupilia mbali maoni yake.
Dunia inapitia kipindi kigumu sana cha hawa Mapopulist, Trump, KayafaPopulist
Mimi wewe au Gwajima!"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Wakiharibika?Wanajeshi toka mwaka 1978 miaka 40 iliyopita wanalipwa mishahara ..bure
Wanasubiri vita na haiji..
Bora watangulie chanjo..kama ina madhara tupate majibu
Dola imesema vyombo vya dola vidungwe chanjo.Vyombo vya dola vyenyewe zinasemaje!