#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Maswali yake ni rahisi ila magumu kuyajibu. Kauliza swali dogo tu: ni daktari yupi Tanzania amefanya analysis ya kilichomo ndani ya ile chanjo na atuambie the chemical composition? Kauliza tena, ile chanjo tuliyopewa msaada sisi nchi tajiri kwa msaasa wa watu wa Marekani ndiyo hiyohiyo wanayochoma akina Biden na madam Harris?

Akina Dr. Gwajima na msaidizi wake wapo wanabwabwaja tu. Tumejaza wachumia tumbo pale Muhimbili ambao wanasway kwa matakwa na mitazamo ya Rais aliyepo kwenye kiti. Mabingwa wa kukariri. Clueless!
Alafu mtu anambeza Gwajima kuwa hana elimu....kwani elimu ni nini?.....hii reasoning inaonyesha ana kitu...haya sasa wajibu haya maswali
 
Unajuaje kama walichodungwa wanajeshi wa nchi zingine ndicho watakachodungwa wanajeshi wetu?
Kwa hiyo target ni Tanzania peke yake ....!!? Au unafikiri kuna chanjo ya Tanzania, chanjo ya Uganda, Chanjo ya RSA...!! Don't be too ignorant!!

But my point is clear. Wao kama walinzi wetu kwa nini wasiwe msitali wa mbele kutuhakikishia kuwa chanjo ni salama badala ya kutanguliza raia....!!
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
Sawa tu.

Kwa mantiki yako maana yake sasa wanajeshi wetu......

Wawe wanapewa togwa badala ya cocacola, pepsi, nk za hao "mashetani" wazungu Wakiugua badala ya kupewa vidonge na dawa za wazungu wawe wanabwia miarobaini.

Halafu wasiwe wanapanda ndege engine zimewekwa sumu na wazungu - wawe wanatumia ungo!

Wakiugua wawe wanapelekwa kwa kina kinjekitile, siyo hospitali zenye vifaa vilivyotengenezwa na "washenzi" hawa wazungu!
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukiz...
HAWA NDIO WAKUCHANJA MAPEMA.MKUU YAAN HAWA WATATUPA MWANGA KAMA.N WAS MDA AMA WA MILELE
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
HAWA NDIO WAKUCHANJA MAPEMA.MKUU YAAN HAWA WATATUPA MWANGA KAMA.N WAS MDA AMA WA MILELE WAANGAZIWE
 
Kwa hiyo target ni Tanzania peke yake ....!!? Au unafikiri kuna chanjo ya Tanzania, chanjo ya Uganda, Chanjo ya RSA...!! Don't be too ignorant!!

But my point is clear. Wao kama walinzi wetu kwa nini wasiwe msitali wa mbele kutuhakikishia kuwa chanjo ni salama badala ya kutanguliza raia....!!

Umeshadungwa chanjo lakini au unabwabwaje tu hapa?
 
Umeshadungwa chanjo lakini au unabwabwaje tu hapa?
Nishandungwa tayari mwezi wa tatu sasa .... wewe endelea tu na ubishi wako!

Otherwise, kesho Mama akidungwa kwenye ufunguzi kajipange foleni undungwe pia kabla hawajawa watu wengi!!
 
Nyie mnaochangia bila kutumia akili ila kwa chuki zenu acheni ujinga hii nchi siyo ya mtu mmoja gwajima alichokisema ni sawa serikali itoke ije ijibu hoja ili wananchi tuikubal gwajima na mimi tupo tunauliza iyo chanjo mbona ata ukichanjwa na bado utapata korona je ni chanjo ya kuzuia nini hii?

Na kama inasaidia mbona bado naweza kupata iyo korona ? Sasa kuna umuuhimu gani wa kutumia na kuweka nguvu kwenye kitu ambacho hakisaidii?
 
Mimi simsikilizi mtu ambaye anaongea mambo ya hewani. Ningeweza kumskiliza kama angekuwa na ushahidi wowote kuonyesha jinsi hiyo chanjo iliyoletwa isivyo salama. Otherwise, hizi ni porojo tu.

Hana justification yoyote ya kile anachokisema. Kwa hiyo, kwa mtu kama huyu natumia 'methodical doubt' ya mwanafalsafa wa Kifaransa René Descartes kutupilia mbali maoni yake.
Nenda kachanjwe mkuu.
 
Muulize kama ana uwezo wa kufufua watu Kwa nini hakumfufua mpuuzi mwenzake Magufuli?
huu ujinga uloandika hapa, ndio hoja ya Askofu Gwajima inayojadiliwa?

Usikute na wewe ni prof au ni mhitimu wa chuo,

nyakati hizi za Korona, ujinga naona unashika Kasi sana!
 
Hiyo propaganda ilipigwa kipindi hicho ambapo huo uchunguzi ulikuwa mufilisi mashine iliyowekewa mfumo wa kuangalia kama kuna viashiria vya corona au la kwenye mwili wa binadamu italeta majibu yasiyo sahihi kama ukiipa mapapi, mbuzi na oili chafu...hilo jambo lilielezwa na wataalamu waliopigwa mawe na hiyo ripoti haiwezi kutolewa kwa sababu itamchafua Rais kwa hiyo ni funika kombwe mwanaharamu apite.

Jiulize tunaambiwa tuliishinda corona kwa sala na maombi tu halafu baadaye tukaanza kusikia vifo vya nimonia vilvyofuatana kwa haraka mpaka baadaye tukaanza kuambiwa sijui watu waliochanja wameleta corona ya ajabu ajabu, mara wakaanza kujitetea kwamba tuna muingiliano na watu wa mataifa mengine kwa hiyo tunaweza kupata corona, tulijaribu kupingana na uelekeo wa dunia kwa propaganda kuwa hatuna corona na mwisho wake ulikuaje ?
Je,unajua kama pneumonia ni dalili mojawapo ya seasonal Influenza pia?......Tatizo la watu wengi ukiwemo na wewe ni kushabikia vitu ambavyo hata undani wake hamvijui,mnaamini vya kuambiwa zaidi ya kutafiti wenyewe.....

SWALI:Kama kweli unajua unachokitetea,nitajie dalili moja tu ya covid19 ambayo kwenye Influenza haipo,taja dalili moja tu.Halafu weka source unapotoa jibu lako ili watu waone.
 
NYIE MNAOCHANGIA BILA KUTUMIA AKILI ILA KWA CHUKI ZENU ACHENI UJINGA HII NCHI SIYO YA MTU MMOJA GWAJIMA ALICHOKISEMA NI SAWA SERIKALI ITOKE IJE IJIBU HOJA ILI WANANCHI TUIKUBAL GWAJIMA NA MIMI TUPO TUNAULIZA IYO CHANJO MBONA ATA UKICHANJWA NA BADO UTAPATA KORONA JE NI CHANJO YA KUZUIA NINI HII ? Na kama inasaidia mbona bado naweza kupata iyo korona ? Sasa kuna umuuhimu gani wa kutumia na kuweka nguvu kwenye kitu ambacho hakisaidii ??
Wanaotaka kuchanjwa waende, Sitaki kuamini kama kauli ya Gwajima inaweza kumfanya mtu aliyapanga kuchanjwa eti aahirishe.

Mimi kama mimi siwezi kuchanjwa leo mpaka kesho kiama, sio kwasababu Gwajima kasema ila ni kwasababu siziamini hizo chanjo za wazungu na hata zile nilizowahi kuchanjwa nafikiri ni kwasababu nilikua mtoto, vinginevyo isingewezekana.Kama nitaugua Corona na kufa acha nife Ila kwakua tangia Corona ije sijawahi kupata hata dalili za mafua ya kijinga l, najua nitatoboa na sitakuwa mhanga wa hizo chanjo kwa miaka kadhaa ijayo.

Jingine utalisikia linasema eti limechanjwa na mpaka saivi lipo vizuri, hivi kama mzungu anaweza kupanga mipango kimaendeleo ya miaka 50 mbele,anashindwa nini kukupangia mipango ya afya yako kwa miaka hata 20 mbele? Mnaijua half-life ya hizo chanjo?

Kimsingi chanjo ni biashara za wazungu tu,wanatengeneza magonjwa kisha wanaleta dawa kama bidhaa, mimi nina mzee wangu sasahivi anaelekea miaka 94 hana chanjo hata moja na bado anaishi na afya inayoridhisha, Ila vijana wanaolilia chanjo humu wengi ni kama ma broiler tu, nguvu za kiume hawana, visukari wanaugua na miaka 25, mara cancer ya ini , cancer ya shingo ya kizazi, mara brabra😂, wajinga kabisa.

Kachanjeni ila msilazimishe watu.
 
Gwajima anapaswa atoke hadharani awaombe Radhi watanzania. vinginevyo atawajibika kwa kauli zake za upotoshaji wakati Taifa lipo ktk mapambano ya janga hili la korona.
 
Ndugu zangu,

Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaisha.

Alianza mwenyewe kusema kuwa ataondoka mwaka 2023 lakini sasa msukumo toka ndani ya wahafidhina umeshika kasi.

Ni wakati muafaka sasa kujua wana - Chadema mbadala watakao weza kushika nafasi ya Uenyekiti na kuendesha siasa zenye manufaa mapana ya Taifa.

Mjadala upo wazi, karibuni.
 
Unaelewa maana na dhumuni ya chapa ya TBS katika sigara ? Ni kuonyesha imekidhi kiwango cha ubora wa kuitwa sigara unaokubalika kimataifa huo ubora unaanzia inapohifadhiwa, inapoandaliwa mpaka kumfikia mtumiaji na kutokana na mvutano uliopo kimataifa matangazo yote ya sigara na hata makasha ya sigara yanahitaji kuwa na onyo ili kujaribu kupunguza ongezeko la watumiaji wa sigara bila kuingilia uhuru wa wale ambao watataka kuitumia pamoja na kujua athari yake, hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Matumizi ya bidhaa za Tumbaku Tanzania. Hata matangazo ya sigara yanatakiwa kulenga kuwafikia watumiaji waliopo na sio kushawishi watumiaji wapya, ambapo mpaka leo hii ni tatizo kwa maana bado kuna watumiaji wapya wanashawishiwa, hata mahali pa kuweka hayo matangazo pametajwa na sheria hiyo hiyo.

Bado ni serikali hiyo hiyo inadhumuni la kushawishi watu kuacha matumizi ya sigara na ndio imefanya hatua kubwa kujulisha watu kuwa uvutaji sigara ni hatari.

Nachotaka unipe evidence kwamba chanjo X ya corona inamadhara Y kuliko faida Z ...na hiyo evidence uonyeshe takwimu za taifiti uliyofanya ama takwimu za wanasayansi wengine...vinginevyo ni kelele tu utakuwa unapiga !
Majibu:
1.usidanganye watu ndugu yangu,kazi za TBS yeyote anaweza kuzijua kama anaamua kufuatilia.Unataka wenzako walete evidence halafu wakati huohuo wewe unaongea bila evidence....angalia website hapo chini kuhusu kazi za TBS...


Vision​

"Sustainable standardization for HIGH QUALITY LIVELIHOOD SOCIETY".


Mission​

To promote standardization , SAFETY and quality assurance in industry and commerce through standards development, certification, registration, inspection, testing and metrology services for sustainable socio-economic development”.


nadhani unaelewa maana ya hayo maneno yenye herufi kubwa.


2.Naweza kuzungumzia madhara tu ya hiyo chanjo,lakini siwezi kuzungumzia faida za hiyo chanjo wakati ugonjwa wenyewe uliotengenezewa hiyo chanjo haupo.

Ni sawasawa na kuniuliza nitaje faida na hasara za mtu kutembea hewani.

 
nashauri tuufute huu ushauri....
IMG-20210727-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom