ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
Alisema wafu au misukule.?Muulize kama ana uwezo wa kufufua watu Kwa nini hakumfufua mpuuzi mwenzake Magufuli?
Jibuni hoja kamanda.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema wafu au misukule.?Muulize kama ana uwezo wa kufufua watu Kwa nini hakumfufua mpuuzi mwenzake Magufuli?
Yaani unarudi mule muleDikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
Alafu mtu anambeza Gwajima kuwa hana elimu....kwani elimu ni nini?.....hii reasoning inaonyesha ana kitu...haya sasa wajibu haya maswaliMaswali yake ni rahisi ila magumu kuyajibu. Kauliza swali dogo tu: ni daktari yupi Tanzania amefanya analysis ya kilichomo ndani ya ile chanjo na atuambie the chemical composition? Kauliza tena, ile chanjo tuliyopewa msaada sisi nchi tajiri kwa msaasa wa watu wa Marekani ndiyo hiyohiyo wanayochoma akina Biden na madam Harris?
Akina Dr. Gwajima na msaidizi wake wapo wanabwabwaja tu. Tumejaza wachumia tumbo pale Muhimbili ambao wanasway kwa matakwa na mitazamo ya Rais aliyepo kwenye kiti. Mabingwa wa kukariri. Clueless!
Kwa hiyo target ni Tanzania peke yake ....!!? Au unafikiri kuna chanjo ya Tanzania, chanjo ya Uganda, Chanjo ya RSA...!! Don't be too ignorant!!Unajuaje kama walichodungwa wanajeshi wa nchi zingine ndicho watakachodungwa wanajeshi wetu?
Sawa tu.Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
HAWA NDIO WAKUCHANJA MAPEMA.MKUU YAAN HAWA WATATUPA MWANGA KAMA.N WAS MDA AMA WA MILELEKuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukiz...
HAWA NDIO WAKUCHANJA MAPEMA.MKUU YAAN HAWA WATATUPA MWANGA KAMA.N WAS MDA AMA WA MILELE WAANGAZIWEKuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
Kwa hiyo target ni Tanzania peke yake ....!!? Au unafikiri kuna chanjo ya Tanzania, chanjo ya Uganda, Chanjo ya RSA...!! Don't be too ignorant!!
But my point is clear. Wao kama walinzi wetu kwa nini wasiwe msitali wa mbele kutuhakikishia kuwa chanjo ni salama badala ya kutanguliza raia....!!
Nishandungwa tayari mwezi wa tatu sasa .... wewe endelea tu na ubishi wako!Umeshadungwa chanjo lakini au unabwabwaje tu hapa?
Nenda kachanjwe mkuu.Mimi simsikilizi mtu ambaye anaongea mambo ya hewani. Ningeweza kumskiliza kama angekuwa na ushahidi wowote kuonyesha jinsi hiyo chanjo iliyoletwa isivyo salama. Otherwise, hizi ni porojo tu.
Hana justification yoyote ya kile anachokisema. Kwa hiyo, kwa mtu kama huyu natumia 'methodical doubt' ya mwanafalsafa wa Kifaransa René Descartes kutupilia mbali maoni yake.
huu ujinga uloandika hapa, ndio hoja ya Askofu Gwajima inayojadiliwa?Muulize kama ana uwezo wa kufufua watu Kwa nini hakumfufua mpuuzi mwenzake Magufuli?
Je,unajua kama pneumonia ni dalili mojawapo ya seasonal Influenza pia?......Tatizo la watu wengi ukiwemo na wewe ni kushabikia vitu ambavyo hata undani wake hamvijui,mnaamini vya kuambiwa zaidi ya kutafiti wenyewe.....Hiyo propaganda ilipigwa kipindi hicho ambapo huo uchunguzi ulikuwa mufilisi mashine iliyowekewa mfumo wa kuangalia kama kuna viashiria vya corona au la kwenye mwili wa binadamu italeta majibu yasiyo sahihi kama ukiipa mapapi, mbuzi na oili chafu...hilo jambo lilielezwa na wataalamu waliopigwa mawe na hiyo ripoti haiwezi kutolewa kwa sababu itamchafua Rais kwa hiyo ni funika kombwe mwanaharamu apite.
Jiulize tunaambiwa tuliishinda corona kwa sala na maombi tu halafu baadaye tukaanza kusikia vifo vya nimonia vilvyofuatana kwa haraka mpaka baadaye tukaanza kuambiwa sijui watu waliochanja wameleta corona ya ajabu ajabu, mara wakaanza kujitetea kwamba tuna muingiliano na watu wa mataifa mengine kwa hiyo tunaweza kupata corona, tulijaribu kupingana na uelekeo wa dunia kwa propaganda kuwa hatuna corona na mwisho wake ulikuaje ?
Wanaotaka kuchanjwa waende, Sitaki kuamini kama kauli ya Gwajima inaweza kumfanya mtu aliyapanga kuchanjwa eti aahirishe.NYIE MNAOCHANGIA BILA KUTUMIA AKILI ILA KWA CHUKI ZENU ACHENI UJINGA HII NCHI SIYO YA MTU MMOJA GWAJIMA ALICHOKISEMA NI SAWA SERIKALI ITOKE IJE IJIBU HOJA ILI WANANCHI TUIKUBAL GWAJIMA NA MIMI TUPO TUNAULIZA IYO CHANJO MBONA ATA UKICHANJWA NA BADO UTAPATA KORONA JE NI CHANJO YA KUZUIA NINI HII ? Na kama inasaidia mbona bado naweza kupata iyo korona ? Sasa kuna umuuhimu gani wa kutumia na kuweka nguvu kwenye kitu ambacho hakisaidii ??
Majibu:Unaelewa maana na dhumuni ya chapa ya TBS katika sigara ? Ni kuonyesha imekidhi kiwango cha ubora wa kuitwa sigara unaokubalika kimataifa huo ubora unaanzia inapohifadhiwa, inapoandaliwa mpaka kumfikia mtumiaji na kutokana na mvutano uliopo kimataifa matangazo yote ya sigara na hata makasha ya sigara yanahitaji kuwa na onyo ili kujaribu kupunguza ongezeko la watumiaji wa sigara bila kuingilia uhuru wa wale ambao watataka kuitumia pamoja na kujua athari yake, hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Matumizi ya bidhaa za Tumbaku Tanzania. Hata matangazo ya sigara yanatakiwa kulenga kuwafikia watumiaji waliopo na sio kushawishi watumiaji wapya, ambapo mpaka leo hii ni tatizo kwa maana bado kuna watumiaji wapya wanashawishiwa, hata mahali pa kuweka hayo matangazo pametajwa na sheria hiyo hiyo.
Bado ni serikali hiyo hiyo inadhumuni la kushawishi watu kuacha matumizi ya sigara na ndio imefanya hatua kubwa kujulisha watu kuwa uvutaji sigara ni hatari.
Nachotaka unipe evidence kwamba chanjo X ya corona inamadhara Y kuliko faida Z ...na hiyo evidence uonyeshe takwimu za taifiti uliyofanya ama takwimu za wanasayansi wengine...vinginevyo ni kelele tu utakuwa unapiga !