#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Hapana. Tatizo ni kuwa Watanzania hatusomi! Tumebaki kulalamika kuwa hatuijui chanjo. Watu wote hadi Rais aliyetangulia mnasema hamjui! Data za majaribio ya chanjo zote zilikuwa zinatolewa mwaka mzima mwaka jana, na ripoti zote za phase ya mwisho ya majaribio, Phase 3 zilielezwa vizuri sana na kuchambuliwa na wataalamu huru kuanzia Desemba 2021. Sasa tuko Phase 4 ya monitoring, halafu asiyesoma anasema tusubiri wataalamu wetu waseme. Sijui hawa wataalamu watarudi Phase ya kwanza? Watu huko duniani wanatikisa vichwa tu jinsi tulivyoachwa maili maelfu. Jebu someni New England Journal of Medicine moate hizo ripoti za Pfizer, Moderna, Astrozeneca na J&J. Sisi wengine sasa hivi tunamalizia kusoma za Urusi, China, India (nazo zinatumika), na Soberana ya Cuba.
Na wanaokufa kwa kuganda damu je
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Propaganda tupu, ni kipi anachokijua, anatakiwa aulizwe!
By the way, anapotosha kama yeye hahitaji, asiwasemee wanaohitaji. Suala la afya ni la mtu binafsi!, yeye halazimishwi wala ndugu zake.
 
Jamani US wameanza mchakato wa kuomba patent zilegezwe ili manufacturers wa chanjo waongezeke.

Sasa nilitegemea wabunge waombe serikali ipewe patent ili tuwe na pattern zote sie tutengeneze chanjo yetu. Sie tumekalia kulalamika tu na kukosoa chanjo kila siku.

Kwani nani amekataza waTZ kuwa na chanjo yetu? China wanatumia chanjo za UK? mbona EU haijawekea vikwazo nchi yao?

Huyu jamaa toka apotoshe eti 5G ndio inaleta Covid 19 na akaahidi Covid 19 itaishia kenya haitowahi tua Dar najiuliza nani bado anamuamini?? Kama nabii tu hawezi kupatia ubashiri je hta uchambuzi tu ndio ataweza.

Masuala ya kitaaluma tuachie wataalam ni hatari sana HKL kujadili epidemiology
Jamaa anapotosha sana aisee, sijui ni kwa faida ya nani
 
Nadhani chanjo huwa haijalishi ugonjwa upo au hamna.... Ni kama homa ya manjano tu huwa tunapigwa chanjo kila miaka 10 whether ugonjwa upo ama lah.

That said issue hapa ni kuomba patent tutengeneze za kwetu kukosoa tu na kejeli za bungeni kwa chanjo za mabeberu ni kujidhalilisha tu.

Kama hawaziamini ni rahisi tu tuombe leseni tutengeneze za kwetu maana tumeshindwa kubuni yetu. Tuache kujificha kwenye madhaifu ya chanjo za wenzetu
COVID-19 ilikuwepo Kenya 🇰🇪, Uganda 🇺🇬, Rwanda 🇷🇼 na nchi nyingine zinazotuzunguka na ulimwenguni kote.

Na nchi zote hizo tayari walishatumia chanjo ya kuangamiza COVID-19 kwa kukiri kuwa COVID-19 ipo na inauwa.

Sasa kwa upande wa Tanzania 🇹🇿, hizo taarifa za uwepo wa COVID-19 zinasemaje?

Kwa sababu COVID-19 ni janga la dunia "GLOBAL PANDEMIC", kwanini Tanzania 🇹🇿 ikimbilie kwenye chanjo bila kukiri uwepo wa COVID-19?
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
1. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
2. Nawsalimu kwa jina la Mungu aliye hai?
3. Nawasalimu kwa jina la Yesu mfufuka?
4. Nawasalimu kwa jina la Mtume?
5. Nawasalimu kwa jina la Baba?
6. Nawasalimu kwa jina la Mama?

Ipi salamu yenye mantiki, halisi na tamaduni dumishi?

Timu iliyoundwa kutafiti uwepo wa UVIKO, athari zilizotokea, athari zinazotarajiwa, kiuchumi, kiafya na kijamii, kwa uthibitisho usiokuwa na shaka na kushauri hatua stahiki za kuchukuliwa kupambana na hali husika.

Kabla timu haijakabidhi ripoti yake umma tayari uemshaanza kuandaliwa mazingira ya kile kinachofuata (Hapa matokeo ya timu yatashawishiwa kuzingatia mkondo huo ili kufurahisha matakwa ya jamii fulani kwa sababu maalum-compromised and influenced research findings)

utafiti huo unafanyika kwa kutumia 'sample' ya hospitali zipi kimaeneo hapa Tanzania ambako watathibitisha uwepo wa UVIKO na ushahidi ni upi maana hapa haitakiwi kuweka maoni ya timu kama ushaihidi kutokana na kuona uongozi wa nchi kwa sasa una mwelekeo upi na kwa lengo lipi?

Si kila Mtanzania huwa anasafiri kwenda nje ya nchi hivyo si halali kumlazimisha kila mmoja kuchanjwa. Kwa mfano kwa sasa homa ya manjano mtu anachanjwa endapo anataka kusafiri kwenda nje ya nchi.

Chanjo ya UVIKO ni tofauti na chanjo zingine kama TB, Polio, Kifaduro,Suruia nk kwa kuwa hakuna kesi za kupata athari. Chanjo ya UVIKO athari zake zimesemwa sana na kila mmoja amesikia lakini cha msingi chanjo hiyo haina uwezo wa kuponya, kukinga au kuzui kwa kuwa masharti unaendelea kufanya vile vile kama yule ambaye hajachanjwa.

Visingizio vya kuhalalisha vitasimama kwenye mahusiiano ya kimataifa na biashara ya bidhaa husika zaidi ya hapo hakuna manufaa licha ya vimelea vianvyopandikzwa kubadili mfumo asili wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu-(A system that absolutely alters the functioning of the human body anatomy)
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
KWELI ondoka usemwe
 
Mbona wewe hujapukutika?
Mimi niko mkoa wa Shinyanga kama QUARANTINE, kwa muda sasa tangu mlipuko wa COVID-19 umetangazwa rasmi.

Sasa sijajua ni kwanini Tanzania 🇹🇿 ikimbilie kwenye chanjo ilhali taarifa rasmi kuhusu uwepo wa COVID-19 bado hazijawa wazi?

Kuna nini ambacho serikali ya Tanzania 🇹🇿 inaficha ficha?
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Hivi hawa wanaotaka tufanyiwe chanjo si ndio wale wajukuu wa Karl peters aliye mtapeli babu yetu Mangungo?

Hiyo chanjo waipeleke kwa Bidden pumbavu zao
 
Tuanza na kenya,Uganda, Rwanda, wezentu wameishapata chanjo vipi ni madhara yapi wamepata mpaka mda huu, alafu why tunaogopa Sana chanjo ya c 19 ali Hali hepatitis vaccine tunadungwa kila siku ,Busara itumike chanjo zije anaetaka achanje asietaka Basi,
Huko kote walikubali kuwa kuna ugonjwa wa COVID-19 na walishachukua hatua zote. Iweje kwa upande wa Tanzania 🇹🇿?
 
Chanjo yetu ya nyungo ilikuwa the best medically and psychologically. Kwani hatukuwa na fatalities nyingi na pia social interactions ziliendelea kama kawaida. That was the best vaccination ever
Mwendazake kapiga nyungu lakini bado kafa kama panya buku. Endelea kumsikia Porn Star mwenye Kanisa la misukule
 
Ulipokuwa unaikataa chanzo na inasemekana wewe ndieuliyemharibu Mwendazake katika hatua za kudili na korona, ulikuwa una mtizamo tofauti na sasa unapoikubali?
Au tuseme ni ile dhana ya bendere hufuata upepo maana rais wa sasa anataka korona ikabiliwe kwa ushauri wa kisayansi.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".

Tatizo Tanzania kina mtu akiitwa Dr wanafikiri anajua kila kitu. Huyu ni Dr wa mapambio tu na hata kura hajashinda Polisi walikuwa wanabea kura za wizi waziwazi. Tuwaachie wataalamu wa kweli wafanye maamuzi kama mtu binafsi hutaki chanjo usipige tutatuma RIP kama kawaida
 
Wapuuziaji watampinga.
Nazidi kuona maono mema ya Hayati Magufuli, alipambana sana Gwajima aingie bungeni. Jamaa yupo vizuri kichwani.
'Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajimaaaaaaa!"
Kama kuna mtu hapaswi kuwa kwenye vyeo vya kisiasa basi ni Askofu Gwajima. Huyu mtu ni toxic. Amewapumbaza waumini wake vibaya sana, huwa wanakaa na maiti hadi siku 3 wakiamini Gwajima atawafufua. Halafu anafanya biashara ya madawa ya kulevya.

Mwendazake ametuletea disaster kwa kuwaweka hawa bungeni
 
Hii chanjo ya corona binafsi nazidi kuiogopa hasa nikisikia inahusika na maswala ya DNA moja kwa moja.

Sina utaalamu wa maswala ya afya ila angalau huwa "nasoma soma" mambo mbalimbali ambayo dunia inapitia na bila kusahau kitabu kinachotumiwa na wakristo "Bible"

Biblia tunaisoma kwa imani tukiaminishwa kwamba yale ni maandiko matakatifu yaliyoandikwa kwa uvuvio wa roho wa Mungu kwa watu wake

Hata hivyo, ukisoma historia ya maandiko yanayohusu kitabu hicho utagundua kwamba hata kama tunaambiwa kiliandikwa kwa uvuvio wa roho mtakatifu lakini kuna namna serikali au siasa za dunia zinapita mule mule kwenye hayo maandiko.

Ni kama inatumika Kama "guidelines" hasa kwa baadhi ya matukio. Kuna vitu ukivifanyia refference unaweza kufikiri walioandika Biblia wanafanya "monitoring" kwenye siasa za dunia zifuate humo humo kutegemea na nyakati

Toka enzi za vita vya dunia, milipuko ya magonjwa, matukio ya ajabu na vitu vingine vingi.

Unaweza kukubali kwa Biblia ni maneno ya Mungu kupitia kwa manabii na mitume wake lakini ukajiuliza kwanini watu hao hao wanaoamini kwamba Biblia yote ni maneno matakatifu ya Mungu wameondoa baadhi ya vitabu na wengine wamebaki navyo!?

Yaani watu wa imani hiyo hiyo wenye mlengo fulani walikataa baadhi ya maandiko na wengine wa imani hiyo hiyo waliyakubali maandiko ya vitabu hivyo kwenye biblia kwa mlengo fulani (ie. Refer Bible inayotumiwa na wakatoliki Kuna baadhi ya vitabu havimo kwenye biblia ya Protestants)

Hii ilinifanya niamini kidogo kwamba kuna mpango "mkakati" ndani ya vitabu vyetu vya dini zote ambao wanaouelewa ni wale tu wanaojua yaliyomo na wanaojibidisha kutafuta maarifa

Hii inanifanya niwaze sana kuhusiana na utabiri wa chapa ya mnyama uliotolewa ndani ya Bible kuelezea siku "walizoziita za mwisho". Huenda kwenye Biblia ndio tumefikia ukurasa huo na piga ua garagaza kuukwepa ni vigumu!

Gwajima kaongea vizuri sana kwamba " tuna uchaguzi mgumu sana wa either tukubali chanjo turuhusiwe kusafiri (tukubalike na dunia) au tukatae chanjo tufungiwe na dunia"

Kwenye maandiko ya Biblia kuhusiana na habari ya chapa ya mnyama yaani 666 mambo ni hayo hayo.

Ukubali chapa ya mnyama ukubaliwe na dunia au ukatae chapa ukataliwe na dunia. Yaani uzuiliwe kununua, kusafiri na kujumuika na wengine!

Dunia ina siri kubwa sana nyuma ya corona hasa tukirudi nyuma wakati ugonjwa unaingia kipindi cha marumbano ya hadharani kati ya Marekani na China juu ya nani "katengeneza" kirusi cha corona

Marekani alimshutuma China hadharani na China alimjibu Marekani hadharani na pale WHO alipoingilia alipigwa mkwara wa kunyimwa ufadhili

Ghafla story imehamia kwenye chanjo. Dunia nzima inahimizwa kuchanjwa na asiyechanjwa lazima atatengezwa!

By the way, wafadhili wakuu wa chanjo nyingi duniani (hasa Africa) Billigate na Melinda wamepeana taraka, wamekorofishana kitu gani au ni kuchokana tu!?.... nilikuwa nachomekea tu ndugu zangu[emoji3]
 
Back
Top Bottom