#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Tofautisha magonjwa ya kuambukizana tena ya mlipuko. Ndio maana Ukimwi or covid unapewa coverage coz kila mtu ni potential kuupata.

Kiufupi mafua ya kawaida tu huuwa watu laki 5 kila mwaka..... Hta ya mafua ya ndege na nguruwe yaliua sana but haimasnishi ndio upotezewe eti sababu hta kabla ya covid watu bado walikufa tu!! Hyo ni mentality mbovu.

Mfano wazazi wangu wana matatizo ya moyo miaka yote ila Covid ilipowapiga wakawekwa ICU!! Ikimaanisha kuna correlation kati ya kuongezeka vifo vya wenye matatizo ya moyo na ongezeko la Covid ingawa haimaanishi kuna causal relationship.

Cc bernard10
Point yangu ni kwamba hizo takwimu za vifo vya magonjwa mbalimbali ambazo zipo kila mwaka ila ni kama kwamba sasa vimegeuka na kuwa vifo vya corona, lakini pia kama nilivyosema kipindi cha mwanzo mwaka jana watu wenye matatizo kama hayo ya moyo walikuwa wanaogopa kwenda clinic kwa kuogopa huko hospitali watapata corona,sasa hali ile ingekuwa inaendelea unadhani ingekuaje?
 
Sizungumzii hitilafu, nachozungumzia ni hali ya kuhesabu kifo cha corona kwa sababu tu marehemu alipimwa na kukutwa na hivyo virusi lakini hata kama amefariki na ugonjwa wa moyo au kansa maadamu alikuwa postive basi kunakuwa na hitimisho na marehemu kafa corona na kuingia kwenye takwimu.
Mkuu ni sahihi mtu aliekutwa na virusi basi anaingia kwenye takwimu moja kwa moja. Nimeweka neno la kiengereza hapo kwenye machapisho yaliopita "cause of death is complications related to covid-19". Hii haimanishi umekufa na corona, labda kiswahili fasaha mtu amekufa na athari/changamoto zinazosababishwa na virusi vya covid-19.

Nimesema hapo awali uwe na maradhi ya aina yoyote au uwe na afya mzima, ukifa ukipimwa una virusi unaingia kwenye takwimu. Wapo watu hadi watoto wadogo waliokufa na covid-19. Kwani strategy yako ni ipi kukusanya hizo data za vifo vinavyohusishwa na haya maradhi ?
 
Kufanya hivyo inafanya tuwe na takwimu za vifo vingi vya corona hali ni kwamba kuna vifo ambavyo havikusababishwa na corona, lengo la kufanya hivyo ni lipi?
 
we have people who have been fully vaccinated against covid(Bill Maher etc) ,wanakuja kua re-infected against na hiki kirusi,,if that doesn't raise alarm bells ,I don't know what does?
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Tangia lini aonaye akaongozwa njia na kipofu ambaye wala hana fimbo ya kukong'otea (vifaa vya kuhakiki ubora wa hizo chanjo)? Hoja ya Gwajima ni ya kusherehesha bunge tu.
 
Hapana. Tatizo ni kuwa Watanzania hatusomi! Tumebaki kulalamika kuwa hatuijui chanjo. Watu wote hadi Rais aliyetangulia mnasema hamjui! Data za majaribio ya chanjo zote zilikuwa zinatolewa mwaka mzima mwaka jana, na ripoti zote za phase ya mwisho ya majaribio, Phase 3 zilielezwa vizuri sana na kuchambuliwa na wataalamu huru kuanzia Desemba 2021.

Sasa tuko Phase 4 ya monitoring, halafu asiyesoma anasema tusubiri wataalamu wetu waseme. Sijui hawa wataalamu watarudi Phase ya kwanza? Watu huko duniani wanatikisa vichwa tu jinsi tulivyoachwa maili maelfu.

Jebu someni New England Journal of Medicine moate hizo ripoti za Pfizer, Moderna, Astrozeneca na J&J. Sisi wengine sasa hivi tunamalizia kusoma za Urusi, China, India (nazo zinatumika), na Soberana ya Cuba.
Achana nao. Mwendazake kawakaririsha. Wanaimba kama kasuku.
 
Kufanya hivyo inafanya tuwe na takwimu za vifo vingi vya corona hali ni kwamba kuna vifo ambavyo havikusababishwa na corona, lengo la kufanya hivyo ni lipi?
Uwezekano wa kufariki ukakutikana na virusi vya covid-19, halafu sababu ya kufariki ikawa nyengine ni mdogo mno. Hususan kama umri wako uko juu au una maradhi mengine kama moyo, sukari, mapafu n.k. Kwa mtu mwenye afya yake labda hii inaweza kuwa tofauti kidogo tuu, lakini symtoms zinajulikana nyingi related to breathing system.

Labda kwa mtu asiefahamu huu ugonjwa unasumbua kiasi gani ndio ataweza kuleta mawazo mengine. Naishi kwenye nchi ambayo tatizo hili lipo kwa miaka takriban 2 sasa. Mwanzoni ilikuwa wengi wanaopokelewa emergency ni wazee baada ya wengi wao kupigwa shots. Data zinaonesha vijana wanaongoza (ambao ndio wanaanza kuchomwa vacine).

Data does provide light on how one should look into this subject. Without it we are doomed!
 
we have people who have been fully vaccinated against covid(Bill Maher etc) ,wanakuja kua re-infected against na hiki kirusi,,if that doesn't raise alarm bells ,I don't know what does?
Hakuna chanjo 100% ndio maana katika kila watu laki 1 lazima utakuta elfu 1 ambao chanjo haiwi effective kutokana na variation za miili na afya.

Mfano mtu mwenye UKIMWI can chanjo be effective? As compared tu mwenye kinga imara?
 
Uwezekano wa kufariki ukakutikana na virusi vya covid-19, halafu sababu ya kufariki ikawa nyengine ni mdogo mno. Hususan kama umri wako uko juu au una maradhi mengine kama moyo, sukari, mapafu n.k. Kwa mtu mwenye afya yake labda hii inaweza kuwa tofauti kidogo tuu, lakini symtoms zinajulikana nyingi related to breathing system.

Labda kwa mtu asiefahamu huu ugonjwa unasumbua kiasi gani ndio ataweza kuleta mawazo mengine. Naishi kwenye nchi ambayo tatizo hili lipo kwa miaka takriban 2 sasa. Mwanzoni ilikuwa wengi wanaopokelewa emergency ni wazee baada ya wengi wao kupigwa shots. Data zinaonesha vijana wanaongoza (ambao ndio wanaanza kuchomwa vacine).

Data does provide light on how one should look into this subject. Without it we are doomed!
"Uwezekano wa kufariki ukakutikana na virusi vya covid-19, halafu sababu ya kufariki ikawa nyengine ni mdogo mno"

Kama hakufanyiki vipimo zaidi kujua chanzo cha kifo basi hiyo unaweza kuongea kauli kama hiyo, lakini pia takwimu za vifo ikoje kabla ya corona? kwa watu wenye matatizo kama hayo ya moyo sukari mapafu n.k na hata baada ya uwepo wa corona uangalizi wao ukoje kwa waru wenye magonjwa kama hayo? maana wanahitaji uangalizi wa karibu sana.
 
Sasa mtu alikuwa anaishi vizuri na maradhi yake ya moyo au sukari. Halafu ghafla kashindwa kupumua (symtoms related to covid-19) akafia hospitali. Wewe unataka tuseme amefariki na sukari. Tokea lini mtu wa sukari au moyo akawa na matatizo ya kupumua ? Naona bora tufunge chapter, au kwa mameno mengine tunakupa mji 😀
 
WHO wametoa muongozo na nchi zote duniani kasoro TZ, wamekusanya data kwa namna hii na zimewasaidia kuokoa maisha ya watu. Endeleeni kufukiza na kula miti shamba....wait pengine hata tatizo halipo maana hakuna test results kwa hio hatujuwi kama covid-19 ipo au haipo....🤷‍♂️
 
Nyie mlimdanganya mwendazake kwa mapambio yenu mpaka mkampa na kombe eti la ''kushinda corona'' mkampoza akajiamini akidhani haitampata. Ona alivyoishia mwisho mbaya tena kwa corona hiyo hiyo ilivyofanya zake. Unadahni virus wa corona na ukimwi ni sawa? Someni basi ili angalau mkiandika ime-make sense.
Tangu afe huyo mwendazake, mbona hatushuhudii tena vifo mfulilizo vya Viongozi? Au hiyo Corona ilikuwa ni kwaajili yake na Viongozi wenye misimamo kama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Homa ya manjano ile Vaccine yake imeua watu zaidi ya laki 5 directly kabisa tokea iwe introduced mbona sijasikia mkiipiga marufuku na ndio kwanza tunatumia hiyo kila tukisafiri nje!!

Mkatae kwa sababu tu hamtaki ila msijustify eti madhara cjui nini.... Coz ikiwa hivyo inapaswa mpaka Radiotherapy isitishwe pale ocean road maana ile madhara yake ni makubwa sana kwa kila anayetumia tiba ile.

Tuache double standard

Acha hizo, bhana! Ina maana wewe tofauti ya hivi vitu huioni? Mtu mmoja anakuambia, “possible side effects za ABC ni 1, 2, 3, et cetera” na mtu mwingine anakuambia, “possible side effects za XYZ hatuzijui, lakini bado tunaendelea na utafiti”. Are they talking about the same degree of risk?

Uamuzi wa kukubali chanjo ambayo short-term, medium-term and long-term side effects zake hazifahamiki ni reckless by any standard. Ni kama kukubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
 
Kwamba Radiotherapy haina madhara kwa above 20% ya watumiaji wake? Ila hampingi ila mnapinga chanjo ambayo risk ipo kwa 0.0001 ya waliodungwa wote? Duh
 
Kwamba Radiotherapy haina madhara kwa above 20% ya watumiaji wake? Ila hampingi ila mnapinga chanjo ambayo risk ipo kwa 0.0001 ya waliodungwa wote? Duh
Inakuwaje mtu ankubali risk ya kufukuzwa na watu wenye mapanga na kura bandia kisha baadae anakubali kuwa waliomfukuza na mapanga wameshinda na uchaguzi haukuwa na mapungufu?
 
Mzee Gwajima we utaalam wako ni kufufua misukule - huku kwenye chanjo na utatibuu ulikovamia waachie wenyewe.
 
Chanjo hizi zimeharakiswa mno hata waliozitengeneza hawajuwi madhara ambayo bado hayajajitokeza kwenye mwili wa mwanadamu.
Lakini wanaendelea kuzigombania!. Nimeona mahali Umoja wa Ulaya wameishtaki kampuni inayotengeneza chanjo ya corona kwa kushindwa kuwapatia idadi ya chanjo walizokubaliana,
Maana yake, pamoja na madhara yanayojitokeza na yanayoweza kujitokeza, wameona kwa sasa hiyo ndiyo njia iliyopo kwa kuwa haya madhara ni kidogo. Nilisikia kule Marekani kuwa kati watu milioni saba waliochanjwa chanjo hiyo, ni sita tu ndiyo walipata mgando wa damu!
 
Back
Top Bottom