#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Lakini wanaendelea kuzigombania!. Nimeona mahali Umoja wa Ulaya wameishtaki kampuni inayotengeneza chanjo ya corona kwa kushindwa kuwapatia idadi ya chanjo walizokubaliana,
Maana yake, pamoja na madhara yanayojitokeza na yanayoweza kujitokeza, wameona kwa sasa hiyo ndiyo njia iliyopo kwa kuwa haya madhara ni kidogo. Nilisikia kule Marekani kuwa kati watu milioni saba waliochanjwa chanjo hiyo, ni sita tu ndiyo walipata mgando wa damu!ahshs

Lakini wanaendelea kuzigombania!. Nimeona mahali Umoja wa Ulaya wameishtaki kampuni inayotengeneza chanjo ya corona kwa kushindwa kuwapatia idadi ya chanjo walizokubaliana,
Maana yake, pamoja na madhara yanayojitokeza na yanayoweza kujitokeza, wameona kwa sasa hiyo ndiyo njia iliyopo kwa kuwa haya madhara ni kidogo. Nilisikia kule Marekani kuwa kati watu milioni saba waliochanjwa chanjo hiyo, ni sita tu ndiyo walipata mgando wa damu!
Ahahahaha duniani kuna mambo yaani bado unawaamini wazungu wanachozungumza juu ya corona?ahahaha.
 
Inakuwaje mtu ankubali risk ya kufukuzwa na watu wenye mapanga na kura bandia kisha baadae anakubali kuwa waliomfukuza na mapanga wameshinda na uchaguzi haukuwa na mapungufu?
Muulize Zitto mwenyewe, hoja hapa ni kivp radiotherapy haipigwi marufuku pale ocean road?
 
Ahahahaha duniani kuna mambo yaani bado unawaamini wazungu wanachozungumza juu ya corona?ahahaha.
90% ya vitu unavyotumia hapo ni vya huyo unayemkejeli. Inashangaza sana kukejeli innovation za watu hku sisi hakuna tulilobuni zaidi tunategemea imports kutoka kwao.
 
Lakini wanaendelea kuzigombania!. Nimeona mahali Umoja wa Ulaya wameishtaki kampuni inayotengeneza chanjo ya corona kwa kushindwa kuwapatia idadi ya chanjo walizokubaliana,
Maana yake, pamoja na madhara yanayojitokeza na yanayoweza kujitokeza, wameona kwa sasa hiyo ndiyo njia iliyopo kwa kuwa haya madhara ni kidogo. Nilisikia kule Marekani kuwa kati watu milioni saba waliochanjwa chanjo hiyo, ni sita tu ndiyo walipata mgando wa damu!
Cha kujifunza ni kwamba, chanjo inayosadikiwa kufanya kazi Ulaya au Marekani, inawezekana isiwe na nguvu kukinga virusi vilivyo Tanzania. Afrika kusaini waliletewa chanjo mwaka jana haraka wakagundua haina manufaa kukinga virusi vya Corona vilivyokuwa huko Afrika Kusini. Badala ya sisi kuagiza chochote kilichokuwa sokoni lazima tujiridhishe kama hiyo chanjo itafanya kazi Tanzania.

Hata hao wanaotengeneza chanjo wameshindwa kuhakikishia dunia kama chanjo hizi zinakukinga au zinazuia maambukizo kutoka kwa mtu moja kwenda kwa mingine au zinapunguza makali ya ugonjwa wa Corona. Hakuna mwanasayansi yoyote ambaye amekuja na majibu hayo vile vile madhara gani ya muda mrefu unaweza kupata.
 
Tangu afe huyo mwendazake, mbona hatushuhudii tena vifo mfulilizo vya Viongozi? Au hiyo Corona ilikuwa ni kwaajili yake na Viongozi wenye misimamo kama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inakuja kwa waves. Unakumbuka hata mwaka jana ililipuka halafu ikapoa? Ilikuwa tu coincidence yeye alikufa wakati wave imefikia ukingoni. Na inaweza kurudi tena kwa ukali zaidi. Chunga.
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".

Nimemsikiliza alichoongea na nimegundua kuwa alifanya research kwanza kabla ya kuongea bungeni tafauti na wengine wanaokuja na kuropoka tu. Nimemfahamu angle anayoiangalia na nimeona ni aina gani ya habari ambazo amebukuwa kutoka katika mitandao na kuzitumia kwa advantage yake. Hata hivyo jambo la kwanza ambalo amekosea ni pale aliposhindwa kusema kama Tanzania ipo corona ama haipo, kama haioo basi kulikuwa hapana haja ya kujadili juu ya chanjo. Pili ameshindwa ku suggest ni nini kifanyike pale (God forbids) Tanzania itakapokuja kujikuta imevamiwa na covid kama ilivyovyamiwa India sasa hivi.

Ikiwa mheshimiwa yuko against na chanjo zilizopo, jee anashauri watu wajilinde vipi? Hilo hakugusia kabisa. Kadhalika katika kufahamisha bunge juu ya chanja hizi amesema kuwa official websites za watengenezaji wa chanjo hizi wameweka bayana kuwa zipo sides effects ikiwa pamoja na kifo, lakini ameshindwa kulielimisha bunge kuwa ni jambo la kawaida kwa kampuni yeyote ile kuweka tahadhari ya side effects ya aina ya dawa yeyote ile kwa sababu hakuna hakuna dawa hata iliyovumbuliwa miaka zaidi ya hamsini ambayo ni 100% with no side effects. Ndio maana hata condoms ukisoma boksi yake inasema inasaidia 99% kutopata mimba au kupata sexual transmitted deseases. Ndio maana cleaning agents zote zinasema kuwa zinaua 99% of viruses na sio 100%

Mheshimiwa ameshindwa kuweka bayana kuwa chochote kila ambacho kinachoingia mwilini, huitwa foreign object na ipo chance kuwa mwili wa binaadamu ukaweza kukikataa (reject) na kuufanya mwili kutowa reaction tafauti, na ndio maana hata panadol. asprin sindano za insuline nk ambazo tunapewa mahospitali kila kukicha zinaweza kumfanya mtu yeyote yule aumwe zaidi au hata kufa, hii haimaanishi kuwa hizi dawa hazifai, ila kuwa inategemea na mwili wa mtu na hali yake ya kiafya kiujumla huweza zikamfanya mgonjwa kufariki.

Mengine hata sina muda wa kuandika hapa, lakini ingelifaa mheshimiwa jue kuwa bado hakuna dawa ya kutibu direct maradhi haya, iliyopo ni chanjo ya kinga ambayo inapunguza chance ya kupata maradhi haya, itafaa ajuwe kuwa nchi zote bado hazijachanja wananchi wao wote na hii ndio sababu hawataki kwa sasa watu ambao hawakuchanja kuingia nchini mwao. Kwa sasa wanachofanya ni kupunguza wasiochanjwa sio kuongeza wasiochanjwa.
 
Kwamba Radiotherapy haina madhara kwa above 20% ya watumiaji wake? Ila hampingi ila mnapinga chanjo ambayo risk ipo kwa 0.0001 ya waliodungwa wote? Duh

Hii ni debate ya known side effects vs unknown side effects. Na wewe unasema known side effects are worse than unknown side effects. What’s the basis for your conclusion?
 
Acha hizo, bhana! Ina maana wewe tofauti ya hivi vitu huioni? Mtu mmoja anakuambia, “possible side effects za ABC ni 1, 2, 3, et cetera” na mtu mwingine anakuambia, “possible side effects za XYZ hatuzijui, lakini bado tunaendelea na utafiti”. Are they talking about the same degree of risk?

Uamuzi wa kukubali chanjo ambayo short-term, medium-term and long-term side effects zake hazifahamiki ni reckless by any standard. Ni kama kukubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
Idadi ya watu zaidi ya elf1 ambao nawafaham wamechanja Astra Zeneca na Mordena ,hakuna kifo kilichotokea.
Wachache wana maumivu ya sindano na kuchoka kwa muda usiozidi siku moja.
Gwajboy ametengeneza story huku akirushia facts chache ili apatwe kuungwa mkono,,
cha kujiuliza;
,,Ametunga story hii kwa faida ya nani? Au ndo katika ile inasemekana mipango yao miovu bado inachakatwa?
 
Unamuonea Askofu Gwajima. Wapo mamilioni wanaohoji usalama wa hizo chanjo na wengine wamekwishaamua hawako tayari kuchanjwa, liwake jua au inyeshe mvua!

Sio kila pharmaceutical product ina immediate side effect; unaweza kuitumia leo, madhara yake yakajitokeza a few years later! ...Kwamba hakuna anayejua side effects za hizo chanjo is a fact, sio maoni ya mtu fulani!
 
Wanasema ndiye kiongozi wa genge.
Sponsor wa Sukuma Gang.
FB_IMG_1618549208269.jpg
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala Chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga Chanjo, hapana! Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio".

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Nakumbuka mamake alikufa na hajawahi kumfufua huyu kwa hiyo ana deni la familia, Aliahidi kanisani kwakwe kwamba tayari amenunua treni na ndege viko njiani, hii ilikuwa ni mwaka wa 2016-2017 ( Mkesha) hajawahi kutekeleza. Aliahidi anajenga mji kwa ajili ya familia ya ufufuo na uzima ( waumini wake) hawajawahi tekeleza. Aliahidi kumfufua Amina Chifupa hajawahi kutekeleza, Wakati anasisitiza waumini wake washinde na kulala kanisani kwa maombi watafanikiwa yeye pamoja na kukamua sadaka zao ametafuta ubunge aendelee kuwa tajiri, Yeye mwenyewe ameshindwa kumtegemea Mungu katika ulinzi wake analindwa na wanadamu Aliahidi akishinda ubunge atawapeleka wananchi wa Kawe Marekani sijui kama atatekeleza, Je bado kuna sababu ya kumwamini huyu tapeli?
Mama ameshaidhinisha chanjo sisi tutachanjwa yeye na familia waktae make siyo lazima
 
Hii ni debate ya known side effects vs unknown side effects. Na wewe unasema known side effects are worse than unknown side effects. What’s the basis for your conclusion?
Nachosema known side efffects zenye probability ya above 30% hampigii kelele ila known side effects inayoathiri 0.00001% ya watumiaji wote ndio mnapigia kelele.

Radiology nimekwambia ni saa 24 tu athari sana na mgonjwa anaonyesha symptoms!! Kwanini hamtumii nguvu hii hii kuhakikisha ocean road iache tiba ya mionzi?
 
Kwani huko ulaya kuna nini ambacho huku hamna,na ni akina nani wanataka kwenda ulaya kwanini?nayakumbuka maneno ya puttin kwamba afrika ni sehemu ya makaburi tuu.
 
Nachosema known side efffects zenye probability ya above 30% hampigii kelele ila known side effects inayoathiri 0.00001% ya watumiaji wote ndio mnapigia kelele.

Radiology nimekwambia ni saa 24 tu athari sana na mgonjwa anaonyesha symptoms!! Kwanini hamtumii nguvu hii hii kuhakikisha ocean road iache tiba ya mionzi?

Watengenezaji wa hizo vaccines wanakuambia bado hawazijui side effects zake. Wewe hizo known side effects unazipata wapi?
 
Watengenezaji wa hizo vaccines wanakuambia bado hawazijui side effects zake. Wewe hizo known side effects unazipata wapi?
Sasa si blod clots, exhaustion etc zimekua documented na observed kwenye description ya chanjo zao. Na ndio so far hata waliokufa na kudhurika moja kwa moja kwa reported cases hawazidi 0.001% ya wapigwa sindano wote.

WHO na taasisi shiriki zimeshasema faida ni kubwa kuliko madhara coz you can estimate repercussions using scientific methods.... Kama kwenye sample ya watu million 17 tumeona watu almost 20 walidhurika directly ndani ya mwezi mmoja wa kuchomwa Oxford astraZeneca then unaweza predict variations kwenye afya za waliopata chanjo. Sidhani kma WHO hawana estimation techniques kiasi wasijue eti madhara yatawagusa wangapi
 
wa
You can't separate his points from himself. We shall pay the costs of bringing these nincompoops in our national assembly. Gwajima is so toxic and detrimental to our population. Whatever he preaches is a product of little education, consipiracy theories and lies. He is a clown who has succeded to brainwash thousands of followers under pretext of resurrection and healing church.
wacha zije sababu kuna watu humu wanashadadia sana hizo kinga.tunataka kuwaona wawe wa kwanza kudungwa.wasishadadie tu ili watoto wa wakulima wadungwe hapana na hakuna mtoto wa mkulima anayetaka hizo chanjo.tunataka experiment ifanyike kwa watoto wa viongozi kwanza sababu wanaopendekeza wameanza na agenda za kuwadunga wazee,wenye pressure,wafanyakazi wa mahospitali,lkn watoto wao nihiari hakuna waanze wakubwa na watoto wao kwanza.
 
Sasa si blod clots, exhaustion etc zimekua documented na observed kwenye description ya chanjo zao. Na ndio so far hata waliokufa na kudhurika moja kwa moja kwa reported cases hawazidi 0.001% ya wapigwa sindano wote.

WHO na taasisi shiriki zimeshasema faida ni kubwa kuliko madhara coz you can estimate repercussions using scientific methods.... Kama kwenye sample ya watu million 17 tumeona watu almost 20 walidhurika directly ndani ya mwezi mmoja wa kuchomwa Oxford astraZeneca then unaweza predict variations kwenye afya za waliopata chanjo. Sidhani kma WHO hawana estimation techniques kiasi wasijue eti madhara yatawagusa wangapi

Side effects zinaweza kuwa short-term, medium-term au long-term. Just kwa mtu hajapata madhara immediately baada ya kuchanjwa haina maana kwamba hiyo chanjo haina madhara hata kwa baadaye!
 
Back
Top Bottom