#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Side effects zinaweza kuwa short-term, medium-term au long-term. Just kwa mtu hajapata madhara immediately baada ya kuchanjwa haina maana kwamba hiyo chanjo haina madhara hata kwa baadaye!
Kwahiyo ina maana Epidemiologists na maprofesa wa Virology hawalijui hili ilani Tanzania tu ndio tumegundua hili tena bipa scientific paper?

Hapo tu Ndio huwa najiuliza
 
Chanjo ni hiyari yako uchomwe au usichomwe. Siyo lazima. Wabongo mbona ni wagumu kuelewa.
 
Tujipe muda wa mwaka mmoja tu mbele na kila kitu kitakuwa wazi. Sasa hivi wameshaanza kupiga ndogo ndogo kuwa chanjo iwe kila mwaka!! Mabeberu wameona fursa ya biashara ya kudumu!! Hebu fikiri nchi kama Kenya yenye watu takriban milioni 50. Mpaka sasa imepima pungufu ya milioni 2, wanahitaji miaka 25 kuwapima wakenya wote, na hiyo ni pesa!
 
Kwahiyo ina maana Epidemiologists na maprofesa wa Virology hawalijui hili ilani Tanzania tu ndio tumegundua hili tena bipa scientific paper?

Hapo tu Ndio huwa najiuliza

Nani amekuambia ni Tanzania pekee yake? Wewe hujaona maandamano ya wazungu huko nchi za Ulaya kupinga hizi chanjo?
 
Kumbe raia wa kawaida nlidhani maandamano ya maprofessor wa virology!! Nachofahamu uingereza ni zaidi ya 80% wamechanjwa so hao wazungu kumi hawawezi reflect maoni ya walio wengi
 
Wanaoratibu hayo maandamano sio laypeople. Ni scientists ambao wanaamini kuwa the rushed authorization ya hizo vaccines kwa global administration is quite irresponsible!
 
Ina maana hakunaga utaratibu miaka yote kwamba ikitokea mlipuko kama huu chanjo itafutwe kwa muda gani? Maana mlipuko hauwezi kuwa foreseen unapotokea ndio chanjo ama tiba hutafutwa.

Sasa unataka kusema protocol zilizopo zinataka chanjo iwe inapatikana baada ya miaka 10 au zaidi ilihali mlipuko unakua unaua kila siku??

Nadhani tukiwa na taarifa sahihi ndio tutatoa maoni objectively maana kwa ssa naona wengi mnatumia hisia tu. Hvi emergency vaccination plan mlitaka itumie miaka mingapi?? Mbona chanjo ya Ebola ilithibitishiwa na WHO ndani ya saa 48 pekee ila sijasikia kelele kma kwa hizi za Covid?? Kuna shida gani katika hili ilihali sio mara ya kwanza.

Nadhani maprofessor wa Virology know better than us tukikosoa wkt sote hapa hatuna walau certificate ya masomo tajwa nadhani tunarusha ngumi hewani..Nmeitafuta sana paper ya mtanzania kukosoa chanjo kisayansi ila sijapata mpaka sasa zaidi ya kelele za waliosoma Theology na BBA!!
 
Unadhani ni kwanini hizi vaccines zimepewa emergency use authorization (EUA) kama standard approval process imekamilika?

Unakosea sana unapofanya assumption kwamba wanaopinga hizi vaccines ni laypeople. Hao community leaders unaowashambulia ni figureheads tu katika hii anti-vaccine campaign. Nyuma yao kuna wabobezi wa fields zinazohusika!
 
Sasa si blod clots, exhaustion etc zimekua documented na observed kwenye description ya chanjo zao. Na ndio so far hata waliokufa na kudhurika moja kwa moja kwa reported cases hawazidi 0.001% ya wapigwa sindano wote.

WHO na taasisi shiriki zimeshasema faida ni kubwa kuliko madhara coz you can estimate repercussions using scientific methods.... Kama kwenye sample ya watu million 17 tumeona watu almost 20 walidhurika directly ndani ya mwezi mmoja wa kuchomwa Oxford astraZeneca then unaweza predict variations kwenye afya za waliopata chanjo. Sidhani kma WHO hawana estimation techniques kiasi wasijue eti madhara yatawagusa wangapi
Kuna makala nyingi za kisayansi zimechapishwa na zingine kuwekwa kwenye bandiko hili kuhusu Uwezo, Ubora, Usalama na Uhakika wa Chanjo za COVID-19 kumkinga binadamu dhidi ya maambukizi bila kuathiri afya yake katika muda mfupi, wa kati na mrefu.

Isitoshe karibu Chanjo zote, kwa sasa, zinahitaji utunzaji wa hali juu ili zifanye kazi iliyokusudiwa. Kwa nchi nyingi uwezo huo ni mdogo au hakuna kabisa.

Pia, kuna taarifa za Chanjo feki. Uwezo wa baadhi ya nchi kupima na kuthibitisha Usahihi wa Chanjo zilizoletwa ni mdogo au hakuna. Hapa nchini tunashuhudia uuzaji wa madawa yaliyopitwa na wakati au feki yakiteketezwa mara kwa mara, itakuwa hizo Chanjo!

Suala la kuangamiza binadamu, hasa Waafrika, nalo linaongelewa na Wanasayansi, Kijamii na Kisiasa.
 
Unadhani ni kwanini hizi vaccines zimepewa emergency use authorization (EUA) kama standard approval process imekamilika?

Unakosea sana unapofanya assumption kwamba wanaopinga hizi vaccines ni laypeople. Hao community leaders unaowashambulia ni figureheads tu katika hii anti-vaccine campaign. Nyuma yao kuna wabobezi wa fields zinazohusika!
Ndio maana nikauliza mlitaka chanjo inayotengenezwa kwa rapid demand ichukue muda gani? Yaani mlipuko ukitokea leo mlitaka chanjo ije miaka 5 baadae ili imuokoe nani ssa??

Na emergency authorization huwa ipo kwa ajili ya kukurupuka tu yaani haina protocol?? Maana emergency ni uharaka wala hai-deal na content ya kitu kinachoharakishwa.

Ni sawa na pale Aga Khan ukifika emergency room huduma unayopewa ni sawa na mtu aliyelazwa Temeke wiki nzima but ww unapewa package ya huduma na check up ndani ya dakika chache sana. Ila haimaainishi eti zinatolewa chini ya kiwango but SPEED ndio inayoangaliwa.

Mfano chanjo ya Ebola nmekwambia hapo ilipitishwa na WHO ndani ya saa 48 pekee!! Sasa unataka kusema kutoa accreditation ndani ya muda mfupi haija standard za content quality?
 
Kuna makala nyingi za kisayansi zimechapishwa na zingine kuwekwa kwenye bandiko hili kuhusu Uwezo, Ubora, Usalama na Uhakika wa Chanjo za COVID-19 kumkinga binadamu dhidi ya maambukizi bila kuathiri afya yake katika muda mfupi, wa kati na mrefu.

Isitoshe karibu Chanjo zote, kwa sasa, zinahitaji utunzaji wa hali juu ili zifanye kazi iliyokusudiwa. Kwa nchi nyingi uwezo huo ni mdogo au hakuna kabisa.

Pia, kuna taarifa za Chanjo feki. Uwezo wa baadhi ya nchi kupima na kuthibitisha Usahihi wa Chanjo zilizoletwa ni mdogo au hakuna. Hapa nchini tunashuhudia uuzaji wa madawa yaliyopitwa na wakati au feki yakiteketezwa mara kwa mara, itakuwa hizo Chanjo!

Suala la kuangamiza binadamu, hasa Waafrika, nalo linaongelewa na Wanasayansi, Kijamii na Kisiasa.
Kwani hakuna TFDA,TMDA,TBS,NIMR, ofisi ya Mkemia mkuu, na regulators wengine wanaoweza kung'amua chanjo feki na madawa feki? Au unakiri kwamba serikali ya CCM haina wataalam na vifaa husika kukinga nchi dhidi ya hujuma za mabeberu??
 
Ndio maana nikauliza mlitaka chanjo inayotengenezwa kwa rapid demand ichukue muda gani? Yaani mlipuko ukitokea leo mlitaka chanjo ije miaka 5 baadae ili imuokoe nani ssa??

Na emergency authorization huwa ipo kwa ajili ya kukurupuka tu yaani haina protocol?? Maana emergency ni uharaka wala hai-deal na content ya kitu kinachoharakishwa.

Ni sawa na pale Aga Khan ukifika emergency room huduma unayopewa ni sawa na mtu aliyelazwa Temeke wiki nzima but ww unapewa package ya huduma na check up ndani ya dakika chache sana. Ila haimaainishi eti zinatolewa chini ya kiwango but SPEED ndio inayoangaliwa.

Mfano chanjo ya Ebola nmekwambia hapo ilipitishwa na WHO ndani ya saa 48 pekee!! Sasa unataka kusema kutoa accreditation ndani ya muda mfupi haija standard za content quality?

The length of time (number of years) has little or no scientific significance here. Kitu muhimu ni kukamilika kwa standard approval process. Wakiweza, wakamilishe hata within 24 hours! Implication ya EUA ni kwamba standard approval process haikukamilika. This isn’t debatable!
 
Hapana. Tatizo ni kuwa Watanzania hatusomi! Tumebaki kulalamika kuwa hatuijui chanjo. Watu wote hadi Rais aliyetangulia mnasema hamjui! Data za majaribio ya chanjo zote zilikuwa zinatolewa mwaka mzima mwaka jana, na ripoti zote za phase ya mwisho ya majaribio, Phase 3 zilielezwa vizuri sana na kuchambuliwa na wataalamu huru kuanzia Desemba 2021.

Sasa tuko Phase 4 ya monitoring, halafu asiyesoma anasema tusubiri wataalamu wetu waseme. Sijui hawa wataalamu watarudi Phase ya kwanza? Watu huko duniani wanatikisa vichwa tu jinsi tulivyoachwa maili maelfu.

Jebu someni New England Journal of Medicine moate hizo ripoti za Pfizer, Moderna, Astrozeneca na J&J. Sisi wengine sasa hivi tunamalizia kusoma za Urusi, China, India (nazo zinatumika), na Soberana ya Cuba.
Kijana, hivi hiyo New England Journal of Medicine ndiyo nini? Wewe unayeelewa kilichoandikwa humo ndani ndiyo ungefanya kazi ya kutufanyia tafsiri tukaelewa, siyo kutwambia tukasome hilo Journal.
 
The length of time (number of years) has little or no scientific significance here. Kitu muhimu ni kukamilika kwa standard approval process. Wakiweza, wakamilishe hata within 24 hours! Implication ya EUA ni kwamba standard approval process haikukamilika. This isn’t debatable!

Website yao mbona inakinzana na unachosema hapa kwamba approval process haijakamilika? Yaani ni kama taasisi ambayo haina protocol na vigezo.

Embu soma hii

Once submitted, FDA will evaluate an EUA request and determine whether the relevant statutory criteria are met, taking into account the totality of the scientific evidence about the vaccine that is available to FDA.
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga chanjo, hapana. Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio''.

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Bado unamsikiliza gwajima tu., juzi katakiwa afufue wapendwa wetu bungeni hakuonyesha njia yoyote
Ni katika wabunge waliopandikizwa ni mwendazake., hawakuwa chaguo la wananchi, hana sifa
 
Ndio maana nikauliza mlitaka chanjo inayotengenezwa kwa rapid demand ichukue muda gani? Yaani mlipuko ukitokea leo mlitaka chanjo ije miaka 5 baadae ili imuokoe nani ssa??

Na emergency authorization huwa ipo kwa ajili ya kukurupuka tu yaani haina protocol?? Maana emergency ni uharaka wala hai-deal na content ya kitu kinachoharakishwa.

Ni sawa na pale Aga Khan ukifika emergency room huduma unayopewa ni sawa na mtu aliyelazwa Temeke wiki nzima but ww unapewa package ya huduma na check up ndani ya dakika chache sana. Ila haimaainishi eti zinatolewa chini ya kiwango but SPEED ndio inayoangaliwa.

Mfano chanjo ya Ebola nmekwambia hapo ilipitishwa na WHO ndani ya saa 48 pekee!! Sasa unataka kusema kutoa accreditation ndani ya muda mfupi haija standard za content quality?
Mkuu zitto junior una maoni gani kwa taarifa ifuatayo:

Supreme Court has canceled universal vaccination

In the United States, the Supreme Court has canceled universal vaccination. Bill Gates, US Chief Infectious Disease Specialist Fauci, and Big Pharma have lost a lawsuit in the US Supreme Court, failing to prove that all of their vaccines over the past 32 years have been safe for the health of citizens! The lawsuit was filed by a group of scientists led by Senator Kennedy.

Robert F. Kennedy Jr .: “The new COVID vaccine should be avoided at all costs.

"I urgently draw your attention to important issues related to the next vaccination against Covid-19.

For the first time in the history of vaccination, the so-called mRNA vaccines of the latest generation directly interfere with the patient's genetic material and therefore alter the individual genetic material, which is genetic manipulation, which was already prohibited and was previously considered a crime.

The coronavirus VACCINE IS NOT A VACCINE! ATTENTION!
What has always been a vaccine?
It was always the pathogen itself - a microbe or virus that was killed or attenuated, that is, weakened - and it was introduced into the body in order to produce antibodies.
Not even a coronavirus vaccine!
She's not that at all!
It is part of the newest group of mRNA (mRNA) allegedly "vaccines"
Once inside a human cell, mRNA reprograms normal RNA / DNA, which begins to make another protein.
That is, nothing to do with traditional vaccines! That is, it is an instrument of genetic influence. Gene weapon! That is, they were going to destroy from earthlings, and the survivors will become GMOs!
Following the unprecedented mRNA vaccine, the vaccinated will no longer be able to treat the symptoms of the vaccine in an additional way.
Vaccinated people will have to come to terms with the consequences, because they can no longer be cured by simply removing toxins from the human body, as in a person with a genetic defect such as Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic heart failure, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc. ), because the genetic defect is forever!

This clearly means:
if a symptom of vaccination develops after mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because
DAMAGE CAUSED BY VACCINATION WILL BE GENETICALLY Irreversible.

[emoji779]Vaccination -
weapons of genocide of the 21st century.

Former Pfizer Chief Scientist Mike Yeedon has once again expressed his position that it is too late now to save those who have been injected with a substance publicly called "the Covid-19 vaccine."

He encourages those who have not yet received the lethal injection to fight for their lives, those around them and the lives of their children.

The internationally renowned immunologist goes on to describe a process that he says will kill the vast majority of people:
"Immediately after the first vaccination, about 0.8% of people die within two weeks.
The average life expectancy of survivors will be a maximum of two years, but it also decreases with each new "injection". "

Additional vaccines are still being developed to cause deterioration in certain organs, including the heart, lungs and brain.

After two decades at Pfizer, Professor Yedon was familiar with the functions and research and development goals of pharmaceutical giant Pfizer, and states that the ultimate goal of the current "vaccination" regime can only be a massive demographic event that will make all world wars put together, like Mickey's staging Mouse.

"Billions of people have already been sentenced to certain, inevitable and painful death. Anyone who receives the injection will die prematurely, and three years is a generous estimate of how long they can survive"
 
Website yao mbona inakinzana na unachosema hapa kwamba approval process haijakamilika? Yaani ni kama taasisi ambayo haina protocol na vigezo.

Embu soma hii

Once submitted, FDA will evaluate an EUA request and determine whether the relevant statutory criteria are met, taking into account the totality of the scientific evidence about the vaccine that is available to FDA.

Nadhani unachanganya mambo. Process ya granting of EUA na standard process ya approval of new drugs, including vaccines, ni vitu viwili tofauti.
 
Authorization na Approval!!! U then have to give me an English lesson.
 
Mkuu zitto junior una maoni gani kwa taarifa ifuatayo:

Supreme Court has canceled universal vaccination

In the United States, the Supreme Court has canceled universal vaccination. Bill Gates, US Chief Infectious Disease Specialist Fauci, and Big Pharma have lost a lawsuit in the US Supreme Court, failing to prove that all of their vaccines over the past 32 years have been safe for the health of citizens! The lawsuit was filed by a group of scientists led by Senator Kennedy.

Robert F. Kennedy Jr .: “The new COVID vaccine should be avoided at all costs.

"I urgently draw your attention to important issues related to the next vaccination against Covid-19.

For the first time in the history of vaccination, the so-called mRNA vaccines of the latest generation directly interfere with the patient's genetic material and therefore alter the individual genetic material, which is genetic manipulation, which was already prohibited and was previously considered a crime.

The coronavirus VACCINE IS NOT A VACCINE! ATTENTION!
What has always been a vaccine?
It was always the pathogen itself - a microbe or virus that was killed or attenuated, that is, weakened - and it was introduced into the body in order to produce antibodies.
Not even a coronavirus vaccine!
She's not that at all!
It is part of the newest group of mRNA (mRNA) allegedly "vaccines"
Once inside a human cell, mRNA reprograms normal RNA / DNA, which begins to make another protein.
That is, nothing to do with traditional vaccines! That is, it is an instrument of genetic influence. Gene weapon! That is, they were going to destroy from earthlings, and the survivors will become GMOs!
Following the unprecedented mRNA vaccine, the vaccinated will no longer be able to treat the symptoms of the vaccine in an additional way.
Vaccinated people will have to come to terms with the consequences, because they can no longer be cured by simply removing toxins from the human body, as in a person with a genetic defect such as Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic heart failure, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc. ), because the genetic defect is forever!

This clearly means:
if a symptom of vaccination develops after mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because
DAMAGE CAUSED BY VACCINATION WILL BE GENETICALLY Irreversible.

[emoji779]Vaccination -
weapons of genocide of the 21st century.

Former Pfizer Chief Scientist Mike Yeedon has once again expressed his position that it is too late now to save those who have been injected with a substance publicly called "the Covid-19 vaccine."

He encourages those who have not yet received the lethal injection to fight for their lives, those around them and the lives of their children.

The internationally renowned immunologist goes on to describe a process that he says will kill the vast majority of people:
"Immediately after the first vaccination, about 0.8% of people die within two weeks.
The average life expectancy of survivors will be a maximum of two years, but it also decreases with each new "injection". "

Additional vaccines are still being developed to cause deterioration in certain organs, including the heart, lungs and brain.

After two decades at Pfizer, Professor Yedon was familiar with the functions and research and development goals of pharmaceutical giant Pfizer, and states that the ultimate goal of the current "vaccination" regime can only be a massive demographic event that will make all world wars put together, like Mickey's staging Mouse.

"Billions of people have already been sentenced to certain, inevitable and painful death. Anyone who receives the injection will die prematurely, and three years is a generous estimate of how long they can survive"
Fake News hii

Kingine Hakuna mahala WHO imelazimisha tutumie chanjo za Magharibi juzi tu hapa wame endorse Vaccine za kichina.

Moja ya mapendekezo ya kamati ya TZ about Covid ni tuwe na kiwanda cha kutengeneza chanjo na kumonitor effectiveness yake katika kila hatua. Hayo tukifanya ya magharibi yatatuhusu nini tena?? Mbona China hawasubiri Oxford wala Moderna?

Tuache kulia lia tujipange na Chanjo na maadam sio lazima hata Uganda huko watu wanachanjwa kwa hiyari wanaoogopa wameacha na hamna aloyelazimisha. But unachopaswa ujue Vaccine passport itakua inauliziwa kila anayesafiri so hapo ni lazma tujiandae either chanjo zetu au jinsi ya ku lobby tusiwe implicated na mabadiliko hayo otherwise kelele zenu haziwezi kusaidia kitu.
 
Back
Top Bottom