Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Kama hakuna haki hicho kinaweza kutokea tu japo sijakielewa unachokisema
 
Kwani sisiemu wakipinduliwa Kwa usalama wa taifa tatizo nini
 
Wameona Mabeyo aliyemkingia kifua katiba ifuatwe ameomdoka wanaleta za kuleta ,hatutaki mambo ya Afrika magharibi mtoeni kwenye Chama na sio mapinduzi
Muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Anajua na amesema ikitokea vita nani anabeba silaha na kwenda mstari wa mbele? Huyo ndiye mzalendo. Anayekwenda kufichwa wakati wa vita si mzalendo namba 1.
 
Ngoja, mwenzie juzi walisema kajenga njiani. Hivi hawa watu wana nini?
 
Urais wa famlia yako?
 
Acha kumsingizia Uongo ili ibirisi wa ccm mpate kisingizio cha kumbambikia kesi
 
Kuna muda saa mbovu inasema kweli, hapa saa mbovu imeongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…