Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Ni sahihi kwa muktadha huo,kimataifa na kikatiba anabaki kuwa CinC hadi itokee referendum na ikubaliwe kujitenga,refer John Garang,Salva Mayardit na yaliyotokea SudanNchi haiwezi kuwa na CinC wawili hivyo aliye na support ya jeshi [jeshi la wananchi] ndio anakuwa amiri jeshi mkuu bila backup ya jeshi hilo hawezi kuwa it is simple as that!
Watu wakiunda militia na kujitenga na kufanya guerilla warfare na wakawa na support ya kanda [mikoa 15] mkuu wao utasema ni amiri jeshi mkuu? huku ukanda mwingine akiwa hana support kubwa kuliko yule ambaye ndio ana support kubwa hadi kuwa CinC?
We kibwengo ndiyo umekwama tena kwenye matope mazito, Kiongozi mkuu asiwe mzalendo? We unaumwaAmiri haihusiani na uzalendo. Kuwa amiri Jeshi mkuu sio kuwa mwanajeshi. Mnakwama wapi ninyi wadanganyika!?
Hawezi kuiingilia mahakama, we ulimtuma kufanya uhaini?Amuachie Lissu
Wewe pia hujui huyu amirijeshi mkuu wetu sio mwanajeshi. Samia sio ka m7, slm au traoreGwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Haelewi chochote kuhusu wanajeshiAkizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
You have a pointThe final level of being smart is just pretending you don’t know anything to make your life easier.
Labda wewe,Nyie sindio mashabiki wake.nenda ukafungwe nae uwe u amliwaza mzee LissuHawezi kuiingilia mahakama, we ulimtuma kufanya uhaini?
Wewe akili huna unadhani Jeshi ni JWTZ tu kuna wana taaluma za kijeshi wako usalama wa taifa na vyeo vizitoAmiri Jeshi Mkuu ni cheo cha kisiasa na siyo cha kitaaluma wee
Amiri jeshi mkuu ni nani?Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Lissu domo siyo MhainiHawezi kuiingilia mahakama, we ulimtuma kufanya uhaini?
nimekuja kugundua MAGUFULI ndio alikuwa MZALENDO namba moja na si kwamba alikuwa mzalendo pekee tu BALI ALIKUWA MPINZANI halisi akiwapinga ma cartel/syndicate MAFISADI NA MAJIZI ya nchi hii,na ndio maana nguvu nyingi ikatumika kumchafua kwenye mitandao kama twitter ,siku hizi sisikii hata kigogo2014 akiongea madudu yanayofanyika awamu hii ambayo ni mengi na makubwa kuliko kuliko awamu zote.We aliyeweza kufanya hivyo ni magu tu.
Hiki ulichoandika hakina utofauti na yule Tax waziri wa ulinzi afu hajui hata kutumia darubini 😂Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Basi point yangu ni kuwa hakuna CinC bila jeshi ndio maana hata Samia na Mgufuli waliwahi kutinga sare za TPDF na sio za MT,PT maana kisheria jeshi ni JWTZ wengine ni paramilitary.Ni sahihi kwa muktadha huo,kimataifa na kikatiba anabaki kuwa CinC hadi itokee referendum na ikubaliwe kujitenga,refer John Garang,Salva Mayardit na yaliyotokea Sudan
Kwani yupo nchini!!??Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Gwajima Yupo anaishi nyumba mapadri wa katolikiKwani yupo nchini!!??
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima