Kwa hiyo unasema wananchi wote walipwe kama rais!Wafanyakazi wote ni sawa hakuna aliye mzalendo zaidi ya mwingine.
Kuwalipa wanajeshi pesa zaidi ya wafanyakazi wengine kwa kigezo cha uzalendo tu si sawa
Shingo inateseka!Point yake Haina mashiko maana rais ni amri jesho kwaiyo automatic ni mwanajeshi
Madam ndoa yako inasumbua?Pamoja na kukuelewesha kote hukumuelewa! Familia yako inapitia kipindi kigumu!
Huyu anatafuta huruma ya jeshiAkizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
HajitambuiWe kibwengo ndiyo umekwama tena kwenye matope mazito, Kiongozi mkuu asiwe mzalendo? We unaumwa
HaweziHuyu anatafuta huruma ya jeshi
Ehee huyu Kuna kipindi alikuwa anafufua wafuHawezi
Mfufua watu anashabikiwa na chadomo nyumbuEhee huyu Kuna kipindi alikuwa anafufua wafu
Ndio uone,alafu nyumbu wanashangiliaSasa jeshi linahusika vp kma sio kujipendekeza
Wafanyakazi wote Walipwe kwa vigezo vinavyotumika sasa: education level, work experience.Kwa hiyo unasema wananchi wote walipwe kama rais!
Binafsi naona walipwe vizuri maana tukiwafuta wao hakuna mfanyakazi mwingine yeyote atakayefanya kazi kwa amani. Ila wawe wazalendo kweli badala ya kuwalinda wanasiasa walinde nchi.Wafanyakazi wote Walipwe kwa vigezo vinavyotumika sasa: education level, work experience.
Uzalendo kisiwe kigezo cha kulipwa mishahara mikubwa.
Labda hao wazalendo wapewe cheti cha shukrani tu.
Wee kinyesi cha mama kwani hujui Usalama wa Taifa ni sehemu ya jeshi!Lissu domo siyo Mhaini
He is a confused frustrated and deluded citizen asiyejua limits zake
Which is okay because zile risasi kamwe haziwezi kukua lcha ukawa normal
Alifanyiwa ushenzi sana
Kinachoendelea mahakamani ni kukumbushwa tu what contitute uhaini and what not
Soon atarudi mtaani na iuwa mpole Kama baba ndubwi
Sijui Gwajima anakusudia nini kwa kauli yake hii.Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Kaongea fact, kua Amiri jeshi haina maana ww ni mwanajeshi, au unataka kuniambia rais ameenda kozi za kijeshi zozote.? Kuna mbinu ya Kavita anaijua.? Hiko cheo ni cha kisiasa. Vita ikitokea huwez ona yupo vitani lakon CDF atakuwepo kwasabab yeye ni mwanajeshi halisi na ndio mkuu wa majeshi yote amepata mafuzo ya kijeshi kuanzia uacadetGwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Ndicho alichoitia press?Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.