Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

Ameua bila kukusudia kwani nia ilikuwa ni kujitetea na kutetea heshima na utu wake. Hamna kesi hapa vinginevyo hakimu au jaji awe mbakaji kama marehemu na wazazi wa pande zote mbili. Kuna somo kubwa hapa kwa wenye akili. RIP kijana wetu umeuawa na tamaa ya wazazi na ujinga na mila potofu. Legal and Human Rights Center hapa ndipo mahali pa kuonyeshea ugwiji katika kutetea haki za binadamu. Ningekuwa karibu ningemtetea binti huyu pro bono na kuhakikisha haki inatendeka pari-passu,
 
Lakini umeelewa alichoongea mkuu

Kaongea point hakuna haja ya kupinga kila kitu
Siipendi ccm Ila jamaa kaongea point kubwa Sana

I have learned to look things in a bigger perspective ways
Mkuu mimi mkazi wa Kawe nataka arudi jimboni huku. Tumechoka na usanii wake bana.

Huyu ni mmoja wa waliokuwa wanampigia sana debe Magufuli aongoze milele ilihali anajua kabisa Mungu ndiye mwamuzi wa yote.
Ni kigeugeu mno, ana kauli zake nyingi zinaji contradict sana - siwezi kukiamini chochote anachokisema leo, kesho wala keshokutwa!
 
That's true!
 
Mimi sikatai mawazo yako ya katiba lakini na maswali makuu mawili ya msingi. Katiba hii tuliyonayo ambayo tunasema ina madhaifu na mimi nakubali ina madhaifu wengi hatuijui tunajuwa baadhi ya vifungu tu lakini hata hii katiba inavunjwa kila leo na hakuna mtu anawajibika mfano mdogo tu leo kuna wabunge wako ndani hawana vyama. sasa swali hii inavunjwa na haifwati ila kwa vipengele wanavyopenda wakuu sasa katiba mpya ndio itafwata? Hakuna hata chombo cha kimahakama ikasema hapo full stop katiba unavunja. yule CAG alifukuzwa kinyume cha katiba, Uhuru wa kupata habari unavunjwa.... na mengi tu sasa kwa hili inakuwa vigumu kuamini katiba ndio solution wakati hakuna wakuilinda na kuiheshimu. Unajuwa mfano USA wale majudge wa supreme court akishapitishwa hakuna wakuweza kumtengua pale mpaka siku kafa labda inampa nguvu ya kusimamia haki na katiba wenzetu hakuna mtu mwenye uwezo wa kuvunja katiba hapa kwende speaker wa bunge tu ndio lakutunga sheria anavunja tena wa kujigamba na hafanywi kitu. Katiba mpya ije kwanza tukiwa na mfumo wa kuilinda hata hii tuliyonayo.
 
Wote ni wa Ccm na hawaelewani.
Kwan ccm hamna mwongozo wenu?
 
Gwajima asizunguke sana, hayo anayoyasema yameainishwa kwenye katiba mpya ya Warioba. Kama anataka Taifa liwe na hayo maono alikumbushe bunge lilejee Rasimu ya pili ya jaji Warioba. Mule ndani ya Rasimu kuna moyo wa nchi na maono yote anayosema yote yako mle.



Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah
 

Shekh Rashid huyo. Si mchezo
 
Gwajima tunasubiri u edit yale mahubiri uliokuwa unambeza Hayati Maalim Seifu utoe jina lake uweke la meko ili tuende sawa.
 
Nakupinga kwa hili. Sisi tukosahihi kwa sera zetu hatuwezi kukalia kitu kimoja tuuu miaka yote!

Mkapa kauza viwanda ni vilishindwa kujiendesha dhidi ya kutegemea ruzuku serikalini na alitangaza wazi kuwa anauza kwa mtanzania Yeyote kwanaza anaeweza kumudu tutampa kipaumbele.

Na walioshindwa kuvimudu ni baba na mama zenu!!

Mfano Brewaries bia za mgawo miaka ile tabu tupu! Walishindwa.
Sigara mwendo wa kuruka.walishindwa vibaya kuviendesha.

Angalia kumpa kaburu tu bia zipo mpaka kijijini za kumwaga mpaka dakika hii.

Viwanda vya sukari mama weee!! Utalia .....

Na mkapa alitamka wazi kuwa anauza japo inauma. Tuchague mkuki wa kutu choma!!

Leo mnalalama tena!!! hata hamueleweki mnataka nini km mitoto yatima!!
Kamwe Africa Hamutaweza kujiendesha mpaka Yesu anarudi.

Hauta kalia sera moja hiyohiyo tuuu!! Km unaona Rais idara ya kazi ameharibu ameboresha kwingine!

Sera za nchi ni endelevu siyo kudumaa!! Wewe acha mazoea utaelewa!!

Kwa hesabu za hrka sidhani hata malengo yetu km nchi unayajua!!!
 
Siyo kweli hakuna muendelezo mkuu, tuwe fair kwa nchi ili tusonge mbele
 
Unataka hiyo hoja ifanyiwe kazi baada ya awamu ya sita siyo??? Wacha tuendelee kupiga spana za upatikanaji wa katiba mpya kabla ya 2025, ili yaje yafanyiwe kazi aliyosema Gwajima
 
Hivi kuna umuhimu wowote wa kusikiliza wanafiki kama Gwajima? Kwa lipi hasa? Peleka huko mfuasi wa Sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…